Zile shuhuda kwenye maombezi ya Manabii

Zile shuhuda kwenye maombezi ya Manabii

Pale magomeni nilipokuwa naishi.Basi kule nyuma kuna apartment wamepanga mashoga bana.Basi siku moja namsikia shoga anaongea na simu,Anamwambia mwenzie kuwa shost siku hizi KY GEL tupa kule haina lolote,Siku hizi tunatumia mafuta ya upako kitu kinatoka kwa Mwamposa.Nilibaki nimeduwaaa sana hadi leo.
 
Pale magomeni nilipokuwa naishi.Basi kule nyuma kuna apartment wamepanga mashoga bana.Basi siku moja namsikia shoga anaongea na simu,Anamwambia mwenzie kuwa shost siku hizi KY GEL tupa kule haina lolote,Siku hizi tunatumia mafuta ya upako kitu kinatoka kwa Mwamposa.Nilibaki nimeduwaaa sana hadi leo.
Loooh
 
Hadi ukimwi unapotea chui kwanini wasi ji link na wizara ya afya,amref na angaza kusaidia kumaliza tatizo
 
Ndio hapo sasa tunarudi kwenye uhalisia wa swala zima la imani. Mimi nafikiri kuna tatizo kubwa sana kwenye uumbaji, au la basi kuna tatizo kwenye maandiko!

Haiingii akilini kwamba eti Malaika walioumbwa na Mungu, wakaishi nae mbinguni, eti wanaweza kufika mahali wakamgeuka na kuanza kupigana nae vita!!! Ina maana malaika wenyewe hawakua wanamuamini Mungu, walikua wanamuona anazingua maana otherwise kwanini waingie msituni kama kila kitu kilikua poa?

Adam na Hawa, wameongea na Mungu ana kwa ana kama mimi na wewe tunavyoongea hapa, wanapiga stori, wanacheka fresh, ila mwisho nao wakaona huyu anazingua wakamgeuka!!

Akina Musa, mfalme Daudi, Sulemani nk mpaka hao wa agano jipya kina Petro, Yuda, Tomaso na wengine wengi hatukutegemea kabisa wawe na chembe ya mashaka kwani wao waliona "first hand" kila kitu Mungu alichofanya!

Sasa kama hao walishindwa kuwa na imani, hivi sisi huku madongokuinama tunawezaje kujidai kua na imani?? Hiyo imani tunaitolea wapi kwa mfano? Huku wengi tunazuga tuu hamna cha imani wala nini.
Maswali magumu ambayo hakuna mtu anaweza kukujibu Kwa ufasaha na ukaridhika , ni 1.Chanzo na asili ya dhambi 2. Kisa cha ukombozi (Mungu kujigeuza kuwa mwanadamu na kufa msalabani) ...

Hakuna mtu anayeweza kukusimulia hapa ukaelewa , Sana Sana atakudanganya tuu.... Yote Kwa yote Kuokolewa ni neema , Sisi wanadamu tupo too weak kuupata wokovu , tusidanganyane
 
Yani sikuhizi ndo biashara inayotrend
Katika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame ku attract watu.

Na cha kushangaza watoa Shuhuda wengi huwa ni wageni maachoni mwa waumini. Unakuta ni Sura ngeni au mpya.

Na huu Usanii anaufanya sana anaye jiita Mwaponsa yule Jamaa ni Master wa ku frame shuhuda
 
Katika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame ku attract watu.

Na cha kushangaza watoa Shuhuda wengi huwa ni wageni maachoni mwa waumini. Unakuta ni Sura ngeni au mpya.

Na huu Usanii anaufanya sana anaye jiita Mwaponsa yule Jamaa ni Master wa ku frame shuhuda

Hata wale wanaofufuliwa utakuta ni wageni, sura ngeni au mpya tu.
Hutakaa usikie mtu unayemfahamu vizuri kwamba amefariki na Mzee wa Ufufuo kamfufua, never!
 
Huyo ni msabato , jamaa injili Yao imenyooka tatizo kwenye sadaka zao , hatari Sana wao zaka ni 20% na bado michango ya hapa na pale mara sjui makambi full makoro koro
Acha uongo kwa usichokijua, huyo sio msabato na wala hakujawahi kuwa na 20% ya zaka. Mimi mwenyewe ni msabato kitambo hicho ila Zaka huwa ni Moja ya Kumi ya ulichobarikiwa. Acha upotoshaji.
 
Acha uongo kwa usichokijua, huyo sio msabato na wala hakujawahi kuwa na 20% ya zaka. Mimi mwenyewe ni msabato kitambo hicho ila Zaka huwa ni Moja ya Kumi ya ulichobarikiwa. Acha upotoshaji.
Unaijua combined budget wewe (Zaka kamili) ...asilimia kumi ni jina tuu lakini ili uonekane umetoa matoleo sahihi inatakiwa angalau 20% .... Means zaka 10% + Sadaka 10% , wanasema sadaka ni ishara ya upendo ,.... Mfano kwenye zaka unatoa moja ya kumi Ila sadaka unaangalia sadaka iliyonona syo kilema , so angalau ianzie kiwango kama cha zaka na Zaid na siyo chini ya hapo ...maana chini ya hapo ni kama umetoa sadaka kilema ... Kama unabisha kamuulize mchungaj wako.... Idea Yao inaweza kuwa ipo vyema tatizo wanaifanya kuwa command hapo ndo tunachengana ,na usipofanya hvi hata uongozi kanisani hupewi, utaambiwa wewe hujamjua Mungu , dini ya Mungu ni kutoa... Mi najua zaka ni command sadaka ni hiari , kuiunganisha sadaka iwe level moja na zaka in term of umuhimu huo ni utapeli .....
Na bado kuna sadaka nyingi nyingi nje ya hyo 20% , makambi ( shukrani), ujenzi kambi, majengo , n.k.... piga mahesabu kama mshahara wako ni 100000 itakutoka sh ngap kwenda kanisani


Issue inakuja zaka yote 10% inaenda conference ,na asilimia 58 ya sadaka inaenda conference , kanisa Mahalia mnabaki na asilimia 42 tuu , inakuwa haitoshi Kwa budget inabid mpeane magori tena huku wao huko conference wakiendesha magari ....
Alaf wanasingizia et watu hawatoi Kwa uaminifu ndo mana kuna michango michango .... Sherehe kama za makambi ni mikakati Tu ya wachungaji kupiga pesa , Kwa taarifa yako kila sku mchungaji akisimama kwenye makambi analipwa 50000 kama posho ndo mana wanakomalia Sana hyo sadaka ....

Mgawanyo wa sadaka na zaka kwenye kanisa upo kuwanufaisha wachungaji na sio makanisa Mahalia ili yafanye vyema.... Matokeo yake mchungaji akisimama kila fungu atakalosoma analielekeza kwenye matoleo..... Hzi dini miyeyusho sana
 
Kwa siku moja mtume na nabii mwamposa. Anaingiza Zaid ya watu elf 15 kwa siku ibada iko mbili pale ..najuulizaga hv kweli watu wote hao hawashtuki kuwa wanatapeliwa ...na kila siku watu utoa ushuhuda pale kwake ..nashindwa kuelewa na kuamini kuwa mtu huyu Kuna kitu nyum ya Kaz zake hiz za ibada mnk watu wanajah haswaa haswa .....

Huwenda. Ikawa Ni mpakwa mafuta kweli
Ni ngumu Sana kumshuhudia uongo ..
Wajinga huwa hawaishi mkuu
 
Back
Top Bottom