MURUSI
JF-Expert Member
- Jun 25, 2013
- 4,574
- 8,907
Katika vitu nilivyo shindwa kuviamini ni zile shuhuda zinazo tolewa, Ukikaa ukasoma between the line zile shuhuda kama kuna za kweli basi ni moja kati ya 1000 zinazo bakia ni za ku frame kuvutia watu.
Na cha kushangaza watoa Shuhuda wengi huwa ni wageni maachoni mwa waumini. Unakuta ni Sura ngeni au mpya.
Na huu Usanii anaufanya sana anaye jiita Mwaponsa yule Jamaa ni Master wa ku frame shuhuda