Mbaga Jr
JF-Expert Member
- May 28, 2018
- 52,112
- 126,039
Nabii hana jinsi zaidi ya kusingizia huna imani, sasa cjui imani ina muonekano upiKitendo cha kwenda kanisani maana yake una imani tayari
Nabii hana jinsi zaidi ya kusingizia huna imani, sasa cjui imani ina muonekano upiKitendo cha kwenda kanisani maana yake una imani tayari
"Yesu akamwambia, Wewe, kwa kuwa umeniona, umesadiki; wa heri wale wasioona, wakasadiki."
Yohana 20:29.
Kuna mama mmoja ni mstaafu wa jeshila wananchi, alipopokea mafao yake chap kwa ukali akammegea mtumishi wake milioni 25 za shukran kmmmk.
Mkuu jamaa alipangwa kabisaYaani kwenye shuhuda kuna usanii wa kutisha, mimi sitakagi hata kuzisikia
I like youSi ndiyo mnayopenda hiyo,.hamumtaki YESU ila mnataka miujiza, acha mpigwe tuu,.
Duuuh kumbe kaanzia mbali sana mpaka kuwa na kanisa kubwa kama lileNyaga namfaham kitambo tangu 2010 kanisa lake alianzia baa ya MTAANI kwetu.
Duuh kumbe kaanzia mbali sana ila jamaa yupo vizuri kwakweliNyaga namfaham kitambo tangu 2010 kanisa lake alianzia baa ya MTAANI kwetu.
Nikiona hili jina natabasamu tuHaha...na wajinga wanazidi kudanganywa na hizo shuhuda za uongo...loh!!!
Napenda mkuu. Ndio maana wanatumia hiyo weakness kuwapuna wafuasi mkuu. We uuziwe maji buku,mafuta buku, chumvi sijui buku. Mtu ananunua vyote hivyo let's say jumla Tshs.3,000/=, imagine wamehudhuria waumini buku tatu tu na wote wakanunua zaga, inaleta 9M hapo hujaongelea sadaka zaidi ya tano. Sijui shukrani, malimbuko, kukombolewa etc.We hupendi vizuri mkuu? Au unaishi kwenye nyumba ya makuti na taa za vibatari?!
Huyo jamaa ndio balaa kuna mtu alikuja kuombewa kwake mwanae kapotea baada ya siku kadhaa akapatikana huko KariakooUnajua kuna uwongo mwingi sana kwenye haya masuala ya kiimani nowdays. Watu wanacheza na psychology yako, wakijua unataka pesa/utajiri na kuponywa certain disease. Kuna mwengine naskia Yuko pale maeneo ya lufungila anaitwa nabii Mussa. Huyo mafuta yake ya upako yanauzwa Tshs. 15,000/= . Siwezi kuwasemea vibaya watumishi wa bwana Ila kiukweli akili yako changanya na za kuambiwa. Siku hizi watu hatupendi injili ya kuhusu ufalme wa Mungu tunataka kupokea miujiza ya vitu vizuri vizuri tu.
Niliwahi kupita kwa huyo pimbi once nilipotoka sikurudi tenaNabii hana jinsi zaidi ya kusingizia huna imani, sasa cjui imani ina muonekano upi
wazo zuri sanaJiulize wachukua video mbona huwa hawatetemeshwi na yale maigizo?
Hapo utakuta mama aliaminishwa kwamba maombi ya mchungaji ndio yamepelekea yeye kupata mafao 😂😂😂Kuna mama mmoja ni mstaafu wa jeshila wananchi, alipopokea mafao yake chap kwa ukali akammegea mtumishi wake milioni 25 za shukran kmmmk.
Mtoto akipotea unaenda polisi kuomba msaada wa kumtafuta.Huyo jamaa ndio balaa kuna mtu alikuja kuombewa kwake mwanae kapotea baada ya siku kadhaa akapatikana huko Kariakoo
Ila hawa jamaa kama pesa wanawarubuni sana watu
Hhahaha...inakuwa hakuna namna, itabidi uvute imani tu kwamba utapata mara kumi ya hizo....Naua mtu.![emoji19]