Sasa manabii na wachungaji feki wana tofauti gani na waganga wa kienyeji, maana wamevaa tu mavazi lakini kiuhalisia wanatumia ndumba na hila mbalimbali..Ni Bora nisikie mke wangu amefanya hivi , kuliko kuchukua pesa hizi akapeleka kwa mganga wa kienyeji..