kwa mujibu wa mtoa mada lazima usiku vioo vifunikweMkuu nimejikuta nacheka peke yangu,kwa hiyo lazima wawe na vifunikio.
sasa yeye katangulia kuniita mpumbavu mimi ningefanyaje?Acheni hasira mbona kuna watu wanaongoza kuwachoma moto wezi,wakati wana kaka na ndugu zao wa damu ni wezi na hawawagusi.Kubalini kutofautiana na ikibidi muheshimiane na kujadiliana kwa haki.
Dah...umehitimisha..ila wengi hawatakuelewa mkuuTatizo mnaamini ushirikina mno...
Je wajua?
Ubongo wako huwaunachoka Kukaa sehemu moja....ndo maana ukiangalia kioo ndan ya dk10
Utaona unaanza kujitisha mwenyewe.
HII INAFANYWA NA UBONGO.
Sent using Jamii Forums mobile app
mkaushie mkuu halafu mpuuze.sasa yeye katangulia kuniita mpumbavu mimi ningefanyaje?
Kwa sababu usiku ni wa viumbe visivyoonekana kuwa huru kwenye physcal world mkuu,Fundisha bhana kumtumia MTU ndoto mkuu
Na kwa nini usiku ni hatari fafanua kidogo
Roho yako ikiwa safi na thabiti mkuu,Mkuu Mimi nataka kuongea n.a. malaika/angels sidhani kama kutakuwa na uhatari wowote hapo mkuu,au unasemaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Kila ikifika saa nane usiku amka, litizame usiku mitatu saa ile ile mkuu,haya mambo usipoyaamini na kuyafuatilia utaishi kwa raha sana, binafsi geto nina li kioo likubwa sana na sijaanza leo kuwa nalo, ila nalala usingizi mzuri wacha tu.....😀😀
Hapa ndio akili yako naanza kuielewa vizuri mkuu,utakuwa unatumia sehemu ya kukalia kufikiria badala ya kichwa
Fact mkuuHalafu unajifanya una dini kumbe umekariri mistari,usichokitaka wewe wengine watakitaka ndio maana hata rang zipo tofauti.matusi ya nini?
Na mtu ukiona kitu akikufai unaachia wengine, ndio maana mimi nikabase huku kwenye intelligence mkuu, nikienda siasa au jokes n.k huwa napita tu, without comments, nashangaa hawa yani hawapiti sehemu bila kusema kitu, ukiuliza watakwambia tunamtangaza mungu mwishoni wataenda casino kutangaza mungu sasaAcheni hasira mbona kuna watu wanaongoza kuwachoma moto wezi,wakati wana kaka na ndugu zao wa damu ni wezi na hawawagusi.Kubalini kutofautiana na ikibidi muheshimiane na kujadiliana kwa haki.
Jamii forums never bored mkuu, you make me smileKesho nitajaribu nione hao viumbe wakiwa wa kike tutamalizana huko huko kama wakiume tunapambana
Next time go by step mkuu quotes imezidi urefu wa thread,Ushirikina ni dhambi. Mwenyezi Mungu wa Mbinguni hana ushirika na giza.
2 Wakorintho 6:14-16 SUV
"Msifungiwe nira pamoja na wasioamini, kwa jinsi isivyo sawasawa; kwa maana pana urafiki gani kati ya haki na uasi? Tena pana shirika gani kati ya nuru na giza? Tena pana ulinganifu gani kati ya Kristo na Beliari? Au yeye aaminiye ana sehemu gani pamoja na yeye asiyeamini? Tena pana mapatano gani kati ya hekalu la Mungu na sanamu? Kwa maana sisi tu hekalu la Mungu aliye hai; kama Mungu alivyosema, ya kwamba, Nitakaa ndani yao, na kati yao nitatembea, nami nitakuwa Mungu wao, nao watakuwa watu wangu."
Kumbukumbu la torati 18:9-14 SUV
"Utakapokwisha kuingia katika nchi akupayo BWANA, Mungu wako usijifunze kutenda kwa mfano wa machukizo ya mataifa yale. Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri, wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu. Kwa maana mtu atendaye hayo ni chukizo kwa BWANA; kisha ni kwa sababu ya hayo BWANA, Mungu wako, anawafukuza mbele yako. Uwe mkamilifu kwa BWANA, Mungu wako. Maana mataifa haya utakaowamiliki huwasikiliza wanaoshika nyakati mbaya na kutazama bao; bali wewe, BWANA, Mungu wako, hakukupa ruhusa kutenda hayo."
Mwenye akili aelewe.
Sent using Mikoyan MiG-29
You are still Stup*d mkuusasa yeye katangulia kuniita mpumbavu mimi ningefanyaje?
.Kwa sababu usiku ni wa viumbe visivyoonekana kuwa huru kwenye physcal world mkuu,
Taambiwa uchawi mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ok mkuu soon.
Achana nao we toa somo tujifunze maana watu kila kitu wamekalili tu ni uchawi