Mithali 26:5 Umjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake; Asije akawa mwenye hekima machoni pake.
Proverbs 26:5 Answer a fool according to his folly, Lest he be wise in his own eyes.
Acha utoto
Rakims kuna watu ndani ya chumba kizima kuna vioo vya kujiangalia pande zote za kuta..........ndio maana nikauliza wanafunikaje?
Halifu sio kila kinachokudhuru wewe lazima kinidhuru na mimi....kwenye ulimwengu wa kiroho kuna imani tofauti tofauti usitake kuniaminisha cha kwako
kazi ya kichwa ni zaidi ya kufuga nywele na kushikilia masikio.Tumia vizuri kichwa chako.