Zijue athari za kioo kiroho

Rakims

JF-Expert Member
Jun 4, 2014
4,982
4,481
KIOO
mirror.jpg

kioo ni moja kati ya vifaa vinavyotumika kuonyesha kitu kama copy yake jinsi ilivyo kwa akili ya kila mtu natural bila kufundishwa hujua hivyo,
Lakini kwa kitaalamu kioo kinatambulika kama uso, wenye aina ya chembe chupa zilizounganishwa na madini ya Amalgam ambayo huonyesha picha iliyowazi.
lakini kihalisia mtu ukimwambia kioo yeye hujua kioo ni kioo tu, lakini


JE, WAJUA:

2N8A6823.jpg


Kioo ni moja kati ya vifaa pendwa sana kwa upande wa kiroho chenye kufanya yasiyoonekana yakaonekana na yanayojiona yasijione kwenye kioo kihalisia?
kwa upande wa kiroho? moja kati ya majaribio ambayo unaweza kujua kwamba kioo sio kizuri kijitizama kwa muda mrefu:

mahitaji:

  • kioo chenye urefu na upana sawa kadri utakavyo taka
  • mchana wakati wa mwanga hafifu
  • utulivu wa akili
Jinsi ya kufanya:

  • chukua kioo weka mbele yako akili yako ikiwa imetulia vema
  • tizama kioo chako kwa muda wa dakika nyingi uwezavyo bila kukapua macho wala kutikisika,
  • tulia wala usikaze macho ukisikia yanauma
  • tizama kwa level ya chini sana ya nguvu ya macho yako

Matokeo:

  • utaona picha ya sura yako inayumba hovyo wewe tulia tu bila woga kwa sababu mchana hakuna cha kukuzuru,
  • utaona rangi juu ya nguzi yako zinaanza kujiform Aura wewe tulia tu,
  • kadri muda unavyozidi kwenda utaona rangi moja tu imetulia na inatanda juu yako na kufunika mwili mzima hapo unaakuwa tayari umeshaingia state ya aura reading, ukiendelea zaidi ya hapo basi utaona viumbe visivyoeleweka pembeni yako na haichukui muda maana utastuka navyo vyote vitapotea,
yote hiyo ni jinsi kioo kilivyo na nguvu ya kurefrect hata invisible forces na waweza kuzungumza nazo, that includes: angels,spirits,demons,jinns and ghost

ATHARI ZA KIOO:
Hizi utaziona wakati wa usiku tu, unashauriwa sana kufunika vioo vinavyokuzunguka ndani ya nyumba yako pale unapoingia wakati wa usiku nyumbani kwako kwa sababu macho ya wenye kuona usiku yanasafiri kupitia vioo vilivyowazi ndani ya nyumba ya mlengwa na kwa mtu kukuota unamloga unambaka unampiga au kukuona unamtembelea usiku kishirikina husababishwa na vioo ulivyokaribu navyo usiku kwa maana viumbe wanaosafiri gizani wakikuona kwenye kioo hutumia sura yako na kwenda kufanyia matukio ambayo ni ya kiroho kwa watu na kukufanya uonekani mtu muovu wa kiroho bila wewe kujua unless nyumba yako iwe sealed na nguvu ya aliyekuumba au nguvu aliyokujalia ya kujikingia,

pia unaweza kumtumia mtu ndoto unayotaka kutumia kioo, hii siwezi kufundisha kwa sababu kuna watu ni onja onja hupenda kujaribu,

TAHADHARI
usizungumze na viumbe utakavyoviona wakati unapima hiyo njia niliyoelekeza hapo, hii haina tofauti na kumchungulia mtu ambaye humjui halafu hajavaa, lakini pia ukitaka lako na ukakubaliana nao wanachotaka wanakutimizia haraka kuzinda hata kukapua kwako macho
pia
usifanye zoezi hili wakati wa usiku too risk too danger,
Rakims Spiritual

Kwa haya na mengineyo:
Tembelea:

Rakims

 
Hizi sio athari za kioo bali ni athari za kukitumia kioo ndivyo sivyo.

Kisu pia kina athari zake kama kuua n.k ila ukitumia ndivyo utakata nyanya na nyama n.k

Mtandio unanyonga ila kutumia ndivyo ni kujitanda kichwani.

Smatphone inaharibu macho pia ukitumia sana na ukatumia ndivyo sivyo utaathirika.

Bado kioo hakina athari katika maisha ya kawaida.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom