T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,298
- 44,765
Hii ni kama variant ya AK-12 ya Urusi
Hii ni kama variant ya AK-12 ya Urusi
M4 Carbine, wengi wanaochanganya na M16 ila hii huwa ni fupi
Hii M16 walishaitoa kwa American infantry, tangu Vietnam M16 ilitumika. Variants zake zinauzwa sana soko la kiraia na M16 ina rekodi kubwa kwenye mauaji ya kutumia silaha nchini MarekaniView attachment 2715335View attachment 2715334
M16A2 na AK-47 Type II ni shida zinafanya vyema sana front line haswa ukute kuna backup ya Glock pistol ni balaa tupu.
Hii nimeitumia saana
Zote hizi zimetengezwa kwa ajili ya kumuua MwanadamuHizi ni baadhi ya manati za mzunguView attachment 2715080
Hii mashine umenikumbusha muvi ya predator,wakati masawe anachakaza kichaka.
Mzee wangu alikuwa nayoHii mashine umenikumbusha muvi ya predator,wakati masawe anachakaza kichaka.
Inaitwa mini gunHii mashine umenikumbusha muvi ya predator,wakati masawe anachakaza kichaka.
Glock 44 ni pistol za kujifunzia ku shoot, Ina plastic na metal.Glock 44