Mbekenga
JF-Expert Member
- Jun 14, 2010
- 3,258
- 8,174
Hii hapa iliyomtoa mkoloni enzi zile baadae akarudi kuchukua bandari.Weka na za kwetu kuwa mzalendo, zile za Made in Tanzania
Hii hapa iliyomtoa mkoloni enzi zile baadae akarudi kuchukua bandari.Weka na za kwetu kuwa mzalendo, zile za Made in Tanzania
Hiyo ni hatari,ukute imepakwa SumuHii hapa iliyomtoa mkoloni enzi zile baadae akarudi kuchukua bandari.View attachment 2715252
Hii si inaweza kukuvunja bega ina kg ngap? Na inaitwaje...
Acha Mkwara wakitotoUsijiachie xnaa na kauli kama izo mkuu
Tupe maelezo TravellermanHuu uzi bila maelezo ya silaha auna maana kudownload aina za silaha na majina sidhani kama ni big deal
Aweke specificationsMkuu ingependeza Sana Kama ungetuwekea majina Yake pamoja na sifa zake ili nichague ya kununua maana nataka nianze kuua watu.
Kijana furahia uhuru uliokupa mpaka shibe na bando,Tulianzishe porini maana maneno ya haki kwa maandamano hawataki mbibi kapagawa
Wewe ndio mwenye uzi ulipaswa kutoa maelezo ya kutoshaTupe maelezo Travellerman
Browning machine gun. Ya Marekani hii inakuwa mounted kwenye vehicles kama Humvees