Billie
JF-Expert Member
- Aug 13, 2011
- 13,709
- 23,144
Sawa babaHata muhuni kuna wakati anaweza kufanya yasiyo ya kihuni maana si mda wote atakuwa muhuni na ya kuwapendeza watu wengi
Sawa babaHata muhuni kuna wakati anaweza kufanya yasiyo ya kihuni maana si mda wote atakuwa muhuni na ya kuwapendeza watu wengi
Uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo? au mchepuko umekuchuna ukakusifia una Akili na ww kwa ujinga ukaona kweli una Ubongo wakati umejaza kamasi tupu kama Le mutuz, tambua kuwa ID ya JF huwa haijadiliwi na endapo wana JF wakianza kuzijadili ID za kila mtu jukwaa la JF litaharibika mfano ID yako SHEIZA kwa kusukuma ni tendo la jinsia moja na Ushuzi upo tumboni mwako umekitia njaa ukala magarage sasa umeenda kupeleka njaa kwa Bashite upate pesa ya kununua nyama acha kujitoa fahamu tambua kuwa ID za JF si majina ya ubatizo toka kanisani na msikitini, jioengeze maana upeo wako naona ni Bashite tupu.Ushuzi kwa kupumua harufu ya maharage yaliyooza sikuwezi ndugu
Usijitoe akili,mzee wa upako alisema waandishi waliomuandika vibaya wangekufa kabla ya mwezi wa nne, mbona hawajafa? Pia kumbuka Mungu si mpumbavu wa kufuata ushauri wa Gwajima,kwani Gwajima ni nani?Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
na ni mpuuzi kwelikweli sio mzaha.Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Mie nina PhD ya matusi nikiamua kukutusi utakosa raha mpaka ushindwe kumpikia chakula mmeo mtagombana upewe talaka ukawe beki 3 nyumbani kwa BashiteUshuzi kwa kupumua harufu ya maharage yaliyooza sikuwezi ndugu
Bado una safari ndefu..jitathmini..nadhani we ni mmoja wa vizazi vya bongo movie vilivyoingia jf hivi karibuni..au sio??Uwezo wako wa kufikiri umefika kikomo? au mchepuko umekuchuna ukakusifia una Akili na ww kwa ujinga ukaona kweli una Ubongo wakati umejaza kamasi tupu kama Le mutuz, tambua kuwa ID ya JF huwa haijadiliwi na endapo wana JF wakianza kuzijadili ID za kila mtu jukwaa la JF litaharibika mfano ID yako SHEIZA kwa kusukuma ni tendo la jinsia moja na Ushuzi upo tumboni mwako umekitia njaa ukala magarage sasa umeenda kupeleka njaa kwa Bashite upate pesa ya kununua nyama acha kujitoa fahamu tambua kuwa ID za JF si majina ya ubatizo toka kanisani na msikitini, jioengeze maana upeo wako naona ni Bashite tupu.
Bahati mbaya mi sijui kutukana..kisha neno matusi hadi nilishalisahau..we tukana labda utanikumbusha matusi yakojeMie nina PhD ya matusi nikiamua kukutusi utakosa raha mpaka ushindwe kumpikia chakula mmeo mtagombana upewe talaka ukawe beki 3 nyumbani kwa Bashite
Ninekuuliza swali kuwa uwezo wako wa kufikiri umefika mwisho? Mbona haukujibu? ina maana umekubali ww Akili zako ni fintyu kama Le mutuz na kama ndiyo Bashite anawategemea kumteatea huku JF kabugi sana mtakula pesa zake bure na mtashindwa kumtetea mwishoe mtakuja kudaiwa na kushindwa kulipa na kuplewa ndoa ingine ya jinsia moja kufidia deni, makonda Bashite atafute watetezi wa maana wa kutuumiza vichwa lakini hawa watetzi uchwara wanatupotezea mda.Bado una safari ndefu..jitathmini..nadhani we ni mmoja wa vizazi vya bongo movie vilivyoingia jf hivi karibuni..au sio??
Ina maana wewe unamuona Bashite ni mzima kichwani?Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Tuache tujadili mambo ya maana usitutoe kwenye njia kama Le mutuz hajakuletea posho kamsake masaki kwenye bar utamkuta pesa zenu zote kalipwa na Bashite.Bahati mbaya mi sijui kutukana..kisha neno matusi hadi nilishalisahau..we tukana labda utanikumbusha matusi yakoje
Hivi we ni me au ke au meke..nisije nikajikuta naongea na delicious hapa..??maana hizo kauli haziwezi kuwa za me..Tuache tujadili mambo ya maana usitutoe kwenye njia kama Le mutuz hajakuletea posho kamsake masaki kwenye bar utamkuta pesa zenu zote kalipwa na Bashite.
Akili zako hata hazifikiri vyema. Unadhani MAKONDA anapovaa vinguo vya kumbana makalio ni mapenzi yake?Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Bwahaha! Haki ya nani hizi episode za hawa watu ukiandika kitabu utatajirika walahi! Na za yule mwingine Nsekelo kwenda kwa wanahabariGwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.