Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Mleta uzi unavyomuona Bashite kwamba bado yupo Ok then unafurahi kwamba Sala za Gwajima hazijafanya kazi unakuwa unajidanganya...
Mungu atatoa hukumu yake wakati ufaao...
Bashite ameliza machozi watanzania wengi na Kilio chao kwa hakika Mungu amekisikia.
Lkn yeye B nae si anaomba mungu "kikombe cha fitina" kimpitie pembeni, na ndo tunalolishuhudia so far?
Hata mkuu wake, si kamuhakikishia ajira yake, na kumhimiza achape kazi?
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
hayo anayoyafanya ya kuvamia studio unaona ya uzima ? au mpaka atambee na pensi kama la LE MUTUZ
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Duh!.. Karne hii bado tuna wapuuzi na wahuni wanaomshabikia wenye vyeti fake na kudhihaki viongozi wa dini nanma hii?😕
 
EHE MWENYEZI MUNGU WAPE WATANZANIA ROHO YA UELEWA NA UTAMBUZI,! NAJUA BABA WENGI WALIKOSA ELIMU YA KUJIAMINI NA KUKOSA MSINGI IMARA WA KUJIKUBALI! EHE BABA WAPE ROHO YA HEKIMA NA BUSARA! BABA UKWELI WANA ROHO ZA KUPENDA USHABIKI,KUFATA MKUMBO,UMBEA,KUTOCHAMBUA MADA,KIUFUPI WENGI NI BENDERA FATA UPEPO! NI ROHO TU IZO BABA!, ZITOE BABA!DEAR GOD WAPE UWEZO NA UPEO WA KIMAWAZO JAPOKUWA ELIMU YAO NDO CHANZO CHOTE ILA WAEZA BABA! BABA WAUMBIE AKILI MPYA WAPE UWEZO MPYA! FUNGUA ROHO ZA TAMBUZI KWAO BABA! NAJUA NI KAMA TOO LATE MANAKE WENGI WAO NI MENTALLY DISORDERED,THEIR OBLANGATA ALREADY BRAIN- PICKERS/BRAIN TRUST/BRAIN-PAN/BRAIN FLAGs!BRAIN WASHED! BRAIN FLOATED! BRAIN ZOOMBIES! ILA WEWE WAEZA BABA! AMEN!
 
Ukiacha 'point' ya vyeti fake aliyoidandia toka kwa mwanadada Mange Kimambi, Gwajima ni mpuuzi wa kupuuzwa kwa kitu, hana cha utumishi wa Mungu wala utukufu wowote, ngao kubwa kwake ni personal attacking anayoitumia kwa mahasimu wake kujikweza..
Na baadhi watanzania walivyowajinga wanamchukulia kama ndiye Yesu mwenyewe ktk ujinga wake..!!
Serikali ilithibitisha kuwa yeye sio mpuuzi, maana mlitaka kutuaminisha kuwa Gwajima ni muuzaji, mtumiaji, msambazaji na mnunuaji wa dawa za kulevya.....sasa wacha awatumbue tulieni hivyo hivyo!
 
Kisa cha kulia vepeee

Point yangu sio yeye kuhusika na madawa ya kulevya, wala sikubaliani na matendo ya uonevu ya serikali dhidi ya raia wake, hoja yangu Mpuuzi Gwajima kutumia neno la Mungu kwa kuwaattack mahasimu wake, na hali yeye na Mungu ni vitu mbali..
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Huenda Tukio la Kuvamiwa Clouds na Outcome yake yote ni Majibu ya Sala zile....au?
 
Point yangu sio yeye kuhusika na madawa ya kulevya, wala sikubaliani na matendo ya uonevu ya serikali dhidi ya raia wake, hoja yangu Mpuuzi Gwajima kutumia neno la Mungu kwa kuwaattack mahasimu wake, na hali yeye na Mungu ni vitu mbali..
Ndio kazi ya viongozi wa Dini, kama wewe ni mkristo utakuwa unajua kazi za watu hawa, Nabii Eliya dhidi ya utawala wa yeroboam na wenzake, Nabii Daniel dhidi ya utawala wa Mfalme nebkadneza wa babeli, Nabii Yohana wa ufunuo dhidi ya utawala mkatili uliokithiri maovu na uonevu wa Dola ya Rumi n.k, Kazi ya kiongozi wa Dini ni kukemea maovu popte yanapoyokea kwa nguvu zote hata kama ni serikali ambayo watawala huwa wanaipenda.

Ndio maana tunawashangaa viongozi wengine wengi wa dini wanaonyamazia unyama huu, tunajiuliza wanafundisha neno la Mungu lipi? Kwa maslahi ya nani??
Juzi humu tumewashambulia sana viongozi wa katoliki kwa kutochukua hatu ya kukemea kama kanisa.
Gwajima ni wa kuungwa mkono na kila mpenda haki na sio kumwita mpuuzi.
 
Ukiacha 'point' ya vyeti fake aliyoidandia toka kwa mwanadada Mange Kimambi, Gwajima ni mpuuzi wa kupuuzwa kwa kitu, hana cha utumishi wa Mungu wala utukufu wowote, ngao kubwa kwake ni personal attacking anayoitumia kwa mahasimu wake kujikweza..
Na baadhi watanzania walivyowajinga wanamchukulia kama ndiye Yesu mwenyewe ktk ujinga wake..!!

Eti unasikia mijitu humu inasema inawahi siti ya mbele. Yani wanaume wa Dar umbea ni zaidi ya wanawake. Watapakatwa sana mwaka huu
 
Back
Top Bottom