Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Makonda mpaka leo hana mtoto hata wa kusingiziwa hiyo pia ni laana na bado laana zinakuja mfano kwa sasa habari zake haziandikwi kwenye gazeti mpaka atoe rushwa kwa wahariri na waandishi kama alivyofanya kule Dodoma.
Yaani we ni li pumbavu kuliko wote humu.Aliyekuambia kukosa mtoto ni laana Nani?.
 
Mnataka hukumu ipi tena....Kipi cha bashite kinacho fanikiwa? Kitendo cha kutaka kumsingizia Gwajima kazaa nje ya ndoa mambo yakawa hadharano, vingine mnaviona nadhani.......anae muelewa ni bashite mwenzake.....choo cha shimo
 
Time will tell,
Tume huru idaiwe mapema Tanzania
 
Kweli wauza ngada mna maneno sana
Wauza unga ni akina nani zaidi ya boss wako Bashite Daud? Alikamata unga mwingi kimya kimya sasa anauza kidogo kidogo South Africa na china, anamtuma Le mutuz na wengine kwenda kumuuzia na mwingine anauza mwenyewe, kufa kufaana alitaja list akaishia kukomba rushwa unga na kuwapora watu magari, nyie watetezi wake tambueni kuwa boss wenu ndiyo muuza unga namba one kwa sasa.
 
Nyie watu wa ngada siwawezi kwa maneno..kama wamwali wa kizaramo
 
Daudi amelaaniwa. Na atakuwa na mwisho wa aibu.
Laana zimeanza kumwingia jana karopoka Roma ataonekana kabla ya jumapili na kweli leo kamtoa huko stoo kwake, ni mtu mzima lakina mpaka leo hana hata mtoto wa kusingiziwa laana nyingi zipo njiani
 
Nyie watu wa ngada siwawezi kwa maneno..kama wamwali wa kizaramo
Watu wapi? Boss wako ndiyo ana unga mwingi kwa sasa kama ni duka la jumla nenda kwa makonda Bashite kanunue unga mpaka wauza unga sugu toka Mexico watakuja kuchukua mzigo kwenu.
 
Watu wapi? Boss wako ndiyo ana unga mwingi kwa sasa kama ni duka la jumla nenda kwa makonda Bashite kanunue unga mpaka wauza unga sugu toka Mexico watakuja kuchukua mzigo kwenu.
Ushuzi kwa kupumua harufu ya maharage yaliyooza sikuwezi ndugu
 
Kweli wauza ngada mna maneno sana
dawa zote za kulevya zilizokamatwa na yy kazichukua ma kwenda kuuza nadhani wewe utakuwa dalali wake maana umekazania neno wauza ngada wakati wenzako wameacha kusema hilo neno baada ya kugundua kuwa muuzaji mkuu ni Bashite.
 
WaTz bwana leo Gwajima anaonekana jembe siku zilizopita walimuita mhuni
Hata muhuni kuna wakati anaweza kufanya yasiyo ya kihuni maana si mda wote atakuwa muhuni na ya kuwapendeza watu wengi
 
muda unaongea huoni anaSongange kubwa kule kolomije kwake
 
Back
Top Bottom