Mwenzenu kabarikiwa, Ana mali za kutosha, nyie ndo mna laana hamfanikiwi kwa chochote kazi umbea tu insta na jfHata kila analofanya kupingwa na watu ni ishara ya laana.
Wewe mtu anajitokeza kuahidi atahakikisha roma anapatikana alafu wanaomtafuta roma wanamgeuzia kibao yeye unadhani ni jambo dogo?