Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Na baadhi watanzania walivyowajinga wanamchukulia kama ndiye Yesu mwenyewe ktk ujinga wake..!!
UNAJUA ULICHOKIANDIKA HAPA?PUNGUZA MIHEMKO UKAISHIA KUKUFURU NDG,CCM SIO WATU WAZURI RAFIKI,IKIWA NAPE AMETENDWA VILE.WEWE NI NANI HATA UKUFURU KISA CCM???
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.

Bila shaka utakuw na matatizo makubwa. Kawaone wataalam wa magonjwa ya aklili wakusaidie. Haiwezekani mtu mwenye akili zako timamu uamke na kuanza kutukana matusi kwa mtu hata hajakuchokoza. Chki zako kwa Gwajima ni za kishetani.

Wapi Gwajima limtamkial aama makonda? Weka clip hapa.

Wewe unajua laana zinafanya kazi baada ya muda gani hata kama zipo? Na kwanini unalazmisha hizo laana hata kama zingekuwepo zielekee kazini na si sehmu nyingine ya maisha?

Achana na LGwajima. Tatilzo lako si Gwajima wala Makonda. Ni hiyo misalignment kwenye kichwa chako.
 
laana inaendelea kuongezeka maana imewapata watu 2 sasa hivi wanavamia vituo vya redio na laana ya kuteka watu inaendelea tu mwisho wake kama huna vision huwezi ona tuulize sisi ambao hatujatawaliwa na mahaba
 
Hivi we ni me au ke au meke..nisije nikajikuta naongea na delicious hapa..??maana hizo kauli haziwezi kuwa za me..
ongea chochote kwani kila Lugha mbaya ya kingereza au kiswahili naijua sitashindwa kukujibu hasa ukizingatia kuwa wewe ndiyo ulinianza mie nikajibu, sitashindwa kukujibu chochote ww mtumishi wa Bashite.
 
Tangu Bashite amguse Gwajima mpk Leo missions zake zote zimefeli kuanzia ile issue ya mtoto, ambush ya clouds, kiki ya Roma, nk.
Na badoooo...
ni kweli mkuu umenena Ukweli mtupu nakuunga mkono kwa 100%
 
Hii sinema ya Bashite iliyobumburuka ni sehemu ya laana.
2b59652049bf63ebbaf4fbb7f5003448.jpg
Cheki ikibinda ( wowo) kilivyotuna ni laana hiyo
 
Mleta uzi unavyomuona Bashite kwamba bado yupo Ok then unafurahi kwamba Sala za Gwajima hazijafanya kazi unakuwa unajidanganya...
Mungu atatoa hukumu yake wakati ufaao...
Bashite ameliza machozi watanzania wengi na Kilio chao kwa hakika Mungu amekisikia.
Wote mnakosea, hakika Mungu anawashangaa.
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Peleka barua ikuhlu kabisa za pongezi....
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Laana au maombi huwa yanajibu asap?!!au ndo shisha zimeanza kazi.......
 
Tako linazidi kuwa kubwa tuu mtoto wa kiume sijui hata kama anajua kumfikisha mwanamke kileleni
 
Hawezi kitu ndiyo maana hadi leo hana mtoto hata wa kusingiziwa tu jamaa ni tasa mgumba ni laana hizo
 
Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
Laana haiombwi kwa Mungu wewe inaombwa kwa shetani. Mungu hajaribiwi wala kufundishwa kuadhibu waja wake
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
We fisi maji.laani huwa inafanya kazi background.kwa matendo anayofanya MTU utajua ni laana.
 
Inamaana huoni kuwa bashite kawa chizi? Huoni anavyoteka watu ovyo
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.

Hilo kanisa la kusutana kihivo sijawahi kuliona, Hata ktk biblia hakuna maelekezo kutumia maneno ya vijiweni kanisani.

Kanisa limekuwa kama genge LA kusutana, upakoless church.

Zimefyatukapo
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Hiv kabla hujapost huwa unafikiria kwa kutumia kiungo gan cha mwil wako? Tuachie gwajima wetu usimtaje taje ovyo
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Kwani wewe uonavyo makonda yuko sawa haya yanayo mwandama kila siku mara kateka watu mara vyeti
 
Back
Top Bottom