Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Zi wapi laana za Gwajima kwa Makonda?

Huwezi andika bila kutukana???? '' wapuuzi, wahuni '', naamini una genes za Mkapa. Pengine ni mpango wa kando
 
Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
Hivi ukiombewa na Mzinzi wa kuzaa na wake za watu kama F.Mbasha na mwanamke aliyemuita kichaa laana itakupata kweli? Gwajima mzinzi kuwahi kutokea Duniani, Gwajima ni fuska, Gwajima ni muongo kuwahi kutokea, Gwajima ni kilaza mkubwa, Gwajima ni mwehu na mtukanaji, alimtukana Pengo na sisi Rc hatutaki hata kumsikia. Gwajima ni SHETANI.
 
Laana inaweza ikavipata vizazi vyako na wewe ukajiona uko sawa
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Mpuuzi na uhuni si maneno staha...
Punguza hasira na jazba. Siasa haitaji hasira.
Inabidi utumie akili ya ziada ktk kufuatilia yanayojiri!
Muhimu ni kuleta hapa hoja nzr, itaeleweka tuu..
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Fact
 
Wazee wa ngada kivipi? Imethibitika bila chembe ya shaka kuwa Gwajima hajihusishi na biashara hiyo.
Kamishna wa kupambana na madawa Rogers Sianga kasema kuwa mpaka sasa haijathibitika na wala hawajaona dalili zozote za mwabasiasa anayejihusisha na ngada....haya yote yanapotokea ni dhahiri tutapoteza imani na viongozi kama hawa kwani nia yao ni chafu kutaka kuchonganisha viongozi wa kisiasa na dini dhidi ya wafuasi wao.
Siraha pekee iliyobaki kwa ccm kujitetea ni kwa kila anaepinga udhalimu anairltwa muuza ngada....hii mbinu ishafeli tafuteni nyingine.
Halafu haohao wanaodai kuwa wapambanaji wa ngada wanakutwa wamejimilikisha mali za wauza ngada. hiyo ndio CCJ
 
Eti unasikia mijitu humu inasema inawahi siti ya mbele. Yani wanaume wa Dar umbea ni zaidi ya wanawake. Watapakatwa sana mwaka huu
Nyie shida yenu nini, si msubili movie mpya ya Bashite!!!
 
Kumpiga warioba nã kusamsabishia kabwe strock mpaka kufa ni laana itayoanza kumtafuna
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Laana ni haya yanayotokea sasa
 
Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
Hata Wewe unamwamini Gwajima[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Wewe unaliona dishi la Bashite liko sawa.
 
Hivi Laana hamjaziona tu kuna analofanya linafanikiwa!? anaumbuka mchana kweupe Tena anajiumbua mwenyewe yaani haihitaji mtu kufikiria sana kumjua ni yeye au mwingine aliefanya ubaya Na ni kwa nia gani muda utafikakabnyinyi ccm mtaamka tu na kuona kwamba huyo mtu anakichafua chama na mwenyekiti wenu sana, Maana kila baya analofanya sasa inatafsiriwa ni Jeuri anayopewa na rais ambaye ni mwenyekiti wenu!!
 
Like hata nikimfata aniombee mifweza nitapata? Oyaah mzee gwajizzo eeh...fanya mambo basi nenge hatari mitaani huku,ni mtafutano!! sema maji yawe fweza tupone.
 
Point yangu sio yeye kuhusika na madawa ya kulevya, wala sikubaliani na matendo ya uonevu ya serikali dhidi ya raia wake, hoja yangu Mpuuzi Gwajima kutumia neno la Mungu kwa kuwaattack mahasimu wake, na hali yeye na Mungu ni vitu mbali..

Kama Gwajima ni mpuuzi basi wewe ni taahira kabisa.
 
Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Gwajima mlevi tu mbwa huyo
 
Aliyekuambia kuwa ukiombewa ' laana ' ni lazima ikupate siku hiyo hiyo ni nani? Miswahili bhana!!!!!!
Na wewe na wazimu wako una amini gwajima ana uwezo wa kulaani mtu? Achilia mbali mbuzi? Wewe kweli mbwa kasoro mkia
 
Back
Top Bottom