Gwajima alimsalia sala maalum,Mkuu wa mkoa,Paul Makonda,.Ni dhahiri sala zake na Laana hizo zililenga,Makonda aharibikiwe,kwa kufukuzwa kazi na aliyemuajiri.Pongezi zimuendee mheshimiwa Rais,asiyejaribiwa wala kupangiwa na wapuuzi kama huyu muhuni anayejiita Mchungaji.
Kwani ww unafikiri lana inaformular ... inakuja staili yoyote ile ... na kadiri siku zinavyokwenda unashika kasi.
Kama dalili huzio naomba nikuonyeshe
Huoni kua kila mkakati anaofanya makonda unafeli na una backfire vibaya na mchongo woote unaharibika na inakua ni aibu kwa Taifa zima.
Hiyo ni laana, kwa taarifa yako ukishirikiana na mtu mwenye lana, matendo yake ya laana na wewe pia yanakudhuru ndio maana unaona Magu anadhurika na laana ya makonda, hapendwi tena kama alivyoingia kila kitu sifa yake sasa imeingua kutu.
Na kadri siku zinavyozidi kwenda na yeye laana ndio inakomaa
Alikua Rafiki mkubwa wa Clouds FM, lakini leo ni maadui, wala hathubutu tena kukanyaga pale, licha ya kujaribu kurudisha mahusiano ... hiyo yoote ni laana na itafikia anapoteza marafiki wooooote mpaka magu mwenyewe ayamtosa
Kavuruga mkutano wa Nape kwa kuoata support ya aliemteua, matokeo yake katengeneza ufa katika chama na kasababisha uhasama na wala asifanikiwe lengo lake mkutano ulafanyika leo tunasikia meeengi sasa sababu ni yeye ... hiyo ni laana inamtafuna
Angalia kamshirikisha Dai leo Dai anaambulia matusi matupu, wakati ilifikia Dai akitoa singo inakua gumzo nchi nzima ... hiyo ni laana
Katengeneza mchongo wa kuwateka kina roma ili ajipe kiki kwa kuonekana ni mtetezi, sinema imebuma taifa linamnyooshea kidole sasa .... hiyo yoote ni laana
Sasa Taifa linamnyooshea kidole kuhusu Ben Saanane ... ipo siku laana itachukua mkondo wake katika hili ...
Mwisho wa siku atageuka kituko, na atakua hana thamani hata ya kipande cha muhogo ... kama alivyo Lyayinga Mrema wa leo na Miaka ile ya 90