Ze Utamu blogger under arrest?

Status
Not open for further replies.
I could be wrong but I think the government has a weak case here. If the guy gets a good, aggressive lawyer he will win the case if he were to be charged.

Ngoja nikafundishe mimi, kabla ya kuanza mgomo vere soon. Hivi hii nguvu ya kumtafuta mtoto wa Balozi Job Lusinde - Malecela si wangeitumia kwenye zile kesi za kuibiwa hela ambazo ushahidi upo kwamba hela hazipo? Mkuu NN haka ka nchi haka kana taabu nyingi ila wewe umehitimisha kuwa miafrika ndivyo ilivyo
 
Hehehehe unajua za mwizi arobaini. Alijisahau akajiona bingwa sasa analao kageuka zeuchungu hehehehehehe.

Ni yeye mwenyewe aliyekuwa mjinga na kuacha tracks zake hovyo hovyo. Hata kabla ya hii habari ya yeye kukamatwa watu walikuwa wameshamjua yeye ni nani zamani.....
 
Ngoja nikafundishe mimi, kabla ya kuanza mgomo vere soon. Hivi hii nguvu ya kumtafuta mtoto wa Balozi Job Lusinde - Malecela si wangeitumia kwenye zile kesi za kuibiwa hela ambazo ushahidi upo kwamba hela hazipo? Mkuu NN haka ka nchi haka kana taabu nyingi ila wewe umehitimisha kuwa miafrika ndivyo ilivyo

Vipaumbele vyetu vipo katika kulinda heshima na hadhi za mafisadi. But for Kikwete being caricatured hiyo tovuti ingekuwepo hadi hivi leo kama vile wengine waliokuwa wanadhalilishwa hawastahili heshima na taadhima. Halafu watu eti wanaota njozi za maendeleo. Tunashangaza sana sisi.
 
Ni yeye mwenyewe aliyekuwa mjinga na kuacha tracks zake hovyo hovyo. Hata kabla ya hii habari ya yeye kukamatwa watu walikuwa wameshamjua yeye ni nani zamani.....

True,

Huyu bwana aliacha track zake sana kwenye blogu yake ya rudepichaz, tena kwa initials zake za mplusinde!
 
Hapa kuna kazi mi sijui sheria ipi watatumia ila kasheshe yake ni pale alipoweka picha ya JK tuuuu ndo alijiharibia shame on him kwa kweli. Alitukana mpaka marafiki zake akaona haitoshi, akaingia viongozi and then mzee wa mji mwenywe hapo ilikuwa too much. Na hayo malalamiko 6850 mbona madogo maana naona watu walikuwa wanaogopa. Sasa na wote mliochangia kutuma picha na kutukana wenzenu nanyie zamu yenu inakuja kaeni chonjo.
 
Dah! Wageni wengi sana leo :)

Currently Active Users Viewing This Thread: 193 (57 members and 136 guests)
 
Ni yeye mwenyewe aliyekuwa mjinga na kuacha tracks zake hovyo hovyo. Hata kabla ya hii habari ya yeye kukamatwa watu walikuwa wameshamjua yeye ni nani zamani.....

Kwa hiyo ina maana unamponda kwa sababu ya kuacha tracks zake hovyo?na sio matendo yake mabaya aliyokuwa akiyafanya?
hata hivyo watu wengi hapa inaonyesha wameshtushwa sana na kukamatwa kwa huyu jamaa mnae dai kuwa ndie mmiliki wa Zeutamu.
 
Well, mtu unapoamua kuwa na liblogu kama hili halafu unaliendesha kwa kutumia utambulisho wako wa kweli, sidhani alikuwa mjanja. Kuhusu matendo yake, well nawaponda yeye pamoja na mafisadi wote wanaoiangamiza Tanzania akiwemo raisi Kikwete ambaye na yeye ni fisadi vilevile. And I dare them to come and get me if they can
 
Dah! Wageni wengi sana leo :)

Currently Active Users Viewing This Thread: 193 (57 members and 136 guests)

Mkuu Inaonyesha huyu jamaa alikuwa anapendwa sana.Pia kuna wengine wanasherekea huko mitaani
 
Well, mtu unapoamua kuwa na liblogu kama hili halafu unaliendesha kwa kutumia utambulisho wako wa kweli, sidhani alikuwa mjanja. Kuhusu matendo yake, well nawaponda yeye pamoja na mafisadi wote wanaoiangamiza Tanzania akiwemo raisi Kikwete ambaye na yeye ni fisadi vilevile. And I dare them to come and get me if they can

Mkuu leo utapata wageni wakikutaka udhibitishe kauli yako juu ya prezda
 
Hili neno " kuukana uraia wake" naona sio sahihi kabisa. Unapoomba uraia , hata hawakuulizi juu ya uraia wako wa zamani. Hivyo watu hawaukanai uraia wa TZ. bali sheria za Tz. ndio hazitaki. Unaweza kusema Tz. ndio inakutenga.
 
Mkuu Inaonyesha huyu jamaa alikuwa anapendwa sana.Pia kuna wengine wanasherekea huko mitaani

Kuwa na wageni wengine wanaosoma thread ya nani ze utamu haimaanishi kupendwa.Its just curiosity kujua who was behind such obscene thing..nashindwa hata jina la kuipa! Mimi binafsi I always thought blog hiyo ni ya ka- adolescent ambaye anababaika bado na balehe! Kumbe ni jibaba lenye akili timamu! SHAME! I PRAY THAT SIYO YEYE JAMANI!
 
hhahaha WoS bana....yaani kama huamini amini kuwa mtu at 39 anaweza kufanya hayo....habari ndo hiyo!
 
Ze utamu ilinifanya nikawa na mawazo tofauti kabisa kuhusu capability ya wanadamu kugeuka na kufanana na hayawani - the only difference is ..hayawani hawavai nguo kujipa heshima na staha ya kinafiki.Wanakuwa kama walivyozaliwa. Lugha iliyokuwa inatumika humo..at first nilishtuka hadi nilikaribia kupata ugonjwa wa moyo!
Mungu ampatilize vilivyo kwa kuua dhamira za vijana na watoto waliokuwa wakipitia humo!
 
Kuwa na wageni wengine wanaosoma thread ya nani ze utamu haimaanishi kupendwa.Its just curiosity kujua who was behind such obscene thing..nashindwa hata jina la kuipa! Mimi binafsi I always thought blog hiyo ni ya ka- adolescent ambaye anababaika bado na balehe! Kumbe ni jibaba lenye akili timamu! SHAME! I PRAY THAT SIYO YEYE JAMANI!

WoS, just out curiosity, who dd u have in mind? (pm pls). no disclosures, and that's a guarantee from me. thx
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom