Mkuu Sikonge,Hili ni gumu kwa akina Masanja tu, ila kwa watoto wa wakubwa ni RAHISI sana na wana PASSPORT mbilimbili au tatutatu. Tuseme uko nje, unaukana ubongo. Unarudi Tz na kuchonga pass mpya. Hivi ni shida kuchonga pale pass? Ukikwama Bongo, si unaenda hata Rwanda/Burundi kama siyo Kenya na Uganda? Pia kama mtu kaweza kuchukua Uraia wa UINGEREZA, wa Tanzania utamshinda? Mnaongelea nini hapa? Kama watu waliweza kwenda BoT na kuchota pesa, itakuwa Pass? Hebu fikirieni mara mbili kabla ya kuandika. Nalaani sikuomba URAIA wa Gabon nilipopita kule.
Niliwaonya juu ya namna wanayotumia katika kumuandama huyu jamaa.
Naona bado wanaendelea tu, impact yake nadhani wako tayari kukabiliana nayo.
Walinywea baada ya kujua ni mtoto wa 'mwenzao' leo wameamua kumbana na kumrudisha Tz?
Ngoja tusikie ni mashtaka gani atafunguliwa. Family yake itakubali?
Hivi wamemfuata UK au kajileta mwenyewe? Si ana uraia wa Uingereza pia?
Mkuu,
Siyo frustrations. Unajua sisi Wanyamwezi na MITARA ndiyo wenyewe. Sasa kama unaanya MITARA hadi kwenye uraia, ni safi sana. Ndiyo maana Wahenga wetu walisema "Wa mbili havai moja...."
Kwi kwi kwi!!! Wewe Nyani acha mchezo. Hizo picha ni mtu mmoja kabisa. Sasa wacha tuanze kukufuata na wewe!View attachment 4917
View attachment 4918
Hivi ni macho yangu au laaah?
Mbona hawa wawili wanafanana?
NYANI NGABU tufafanulie!!!
Currently Active Users Viewing This Thread: 175 (55 members and 120 guests)
josm, agika, BINTI SAYUNI, Bluray, Burn, Chakaza, Chief, COMRADE44, Congo, dash, Edson, Hofstede, Idimi, Iteitei Lya Kitee, John74e, Kaizer, Kamuna, kapuchi, kicheruka, KIFARU, kiparadar, Komamanga, Kunta Kinte, Kyachakiche, locust60, M$awa, Magehema, masaiti, Mau, Mbongo, MegaPyne, Mfunyukuzi, Mndamba, Mnhenwa Ndege, Mtanganyika, Mtanzania, mtu66, Muoldmoshi, MwanajamiiOne, Ndugu, Nesindiso Sir, Njimba Nsalilwe, nkawa, Recta, Rugishar, Sikonge, Son of Alaska, SteveD, TzPride, Wakuja, watu, Who Cares?
Acha Ushamba. Unaonekana una donge sana na choka mbaya. Vumbi kali sana nini? Fanya kazi na acha roho korosho. Lowassa na Mkapa (Anna) hawajabadilisha uraia. Liyumba, na kundi lake pia wana uraia wa Tz tu na wameleta hasara kubwa zaidi ya huyu Lusinde (mtani wangu).
Haina uhusiano wowote wa mtu kufanya haya madudu na kuwa na raia wa nchi mbili. Sasa wakiibuka walio na uraia wa nchi moja na huku asili yao ni Watz, na huko wanakuja kama watalii, UTAFANYA NINI? Mmemshangilia Obama wee unafikiri wote watakuwa kama Obama? Hata nje ya Tanzania ni kama Bongo, kuna WABAYA na WAZURI. Nakubaliana na Mkapa kuwa kuna Mitanzania ina WIVU WA KIJINGA.
mbona unaongea mafumbo mafumbo mkuu? ni nani unamwulizia?
Yaani huweziamini kama huyo kijana (sijui mbaba maana 39 amekwenda age) mzuri hivyo ameoza kichwani mwake!! Sitaki hata kukumbuka uchafu alikuwa akiuanika kule kwake!! Duh si mzima huyu hivi hana familia? Hajaoa?
Huko UK anafanya nini hasa kimaisha au ndo wale waliokwenda kutalii?
Mkuu Sikonge,
Looh! hilo la uraia wa Gabon limenichekesha sana. Kuna ndugu yangu huwa ananiambia anaombe apewe ubalozi hata kama ni Chechenya. Huwa nacheka lakini jamaa anasema balozi ni balozi tu hata kama ni kwenye nchi yenye matatizo.
Sheria za uraia zinasema kama una uraia wa nchi mbili kwa mfano UK na Tanzania, ukifanya kosa Tanzania, uraia wako wa UK haukusaidii na wala UK authority haiwezi kukutetea kama raia wao. Hiyo ndio hasara ya uraia wa nchi mbili.
Sasa huyu kijana kafanya makosa kwenye nchi ambayo ana gamba lake, hapo UK watamrudisha TZ kama Mtanzania tu. Suala la kwamba ana passport pia ya Uingereza hawataliweka tena maanani. Angefanya kosa nchini Kenya hapo suala lake lingeshughulikiwa kama Mwingereza.
Huu mtandao ukiuchangamkia sana unageuka kuwa kilevi kama drugs tu na mwisho wake unaingia hata kwenye madudu ya ajabu ajabu.
Nchi zilizoendelea huwa hawakurupuki kukamata mtu. Wakishahisi unahusika basi watakuchunguza hata miezi kabla ya kukushutua. Inaelekea jamaa walimjua mapema na wakaamua kuwacha tu aendelee na utundu wake mpaka walipokuwa na uhakika kwamba ni yeye.
Hili ni gumu kwa akina Masanja tu, ila kwa watoto wa wakubwa ni RAHISI sana na wana PASSPORT mbilimbili au tatutatu. Tuseme uko nje, unaukana ubongo. Unarudi Tz na kuchonga pass mpya. Hivi ni shida kuchonga pale pass? Ukikwama Bongo, si unaenda hata Rwanda/Burundi kama siyo Kenya na Uganda? Pia kama mtu kaweza kuchukua Uraia wa UINGEREZA, wa Tanzania utamshinda? Mnaongelea nini hapa? Kama watu waliweza kwenda BoT na kuchota pesa, itakuwa Pass? Hebu fikirieni mara mbili kabla ya kuandika. Nalaani sikuomba URAIA wa Gabon nilipopita kule.
Sasa mkuu inaonekana hata akina Masanja, we can take it no more!
Naanza kuusaka uraia wa Abhkazia au Osetia sasa! Maana bongo ya leo akina Masanja hatuna chetu! Ukiiba kuku unachomwa moto..ukiiba EPA unapandishwa cheo na kuwa mkurugenzi kama wa TIB-Lol!
[B said:Masanja[/B];493304]Sasa mkuu inaonekana hata akina Masanja, we can take it no more!
Naanza kuusaka uraia wa Abhkazia au Osetia sasa! Maana bongo ya leo akina Masanja hatuna chetu! Ukiiba kuku unachomwa moto..ukiiba EPA unapandishwa cheo na kuwa mkurugenzi kama wa TIB-Lol!
Laiti hizo resources zingetumika kuwatafuta wamiliki wa KAGODA !!
Lakini hapana, mambo hayaendi hivyo
not in Tanzanianot under CCM.