Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Kibaya zaidi ni kuwa wote waliotuma barua pepe kwenda kwenye email ya utamu wako recorded na wanafuatiliwa kwa ukaribu kabisa. Epuka kutuma barua pepe huko ukidhani hutojulikana
unatishia nyau.......
 
Huyu Utamu ana laana ya wazazi wake si bure!Kuna siku yake inakuja
 
Hatimae theutamu yafungwa milele


wadau kuna mdau hapa lasema imerudi nimeenda kuhakikisha link aliyotoa..... wazee noma ..theutamu amerudi kwa speed ya ajabu amemwaga picha mpya nyingi kwa hasira...its seems the death is far from being proclaimed or will never die at all....sasa anajiita theutamus.blogspot.com badala ya theutamu...ameongeza S tu kwenye theutamu alafu moto chini....du!!
 
wadau kuna mdau hapa lasema imerudi nimeenda kuhakikisha link aliyotoa..... wazee noma ..theutamu amerudi kwa speed ya ajabu amemwaga picha mpya nyingi kwa hasira...its seems the death is far from being proclaimed or will never die at all....sasa anajiita theutamus.blogspot.com badala ya theutamu...ameongeza S tu kwenye theutamu alafu moto chini....du!!
speed yake nimeipenda.....
 
I just dont understand the whole thing.Tuliambiwa UTAMU umekuwa banned.Then wakaja na THEUTAMUS (note the added -S) lakini a short while ago inaonekana theUTAMU imrejea tena hewani,yaani less than 24 hrs!Who's playing this game?Google,hackers (our "IT experts") or the UTAMU wenyewe?
 
I just dont understand the whole thing.Tuliambiwa UTAMU umekuwa banned.Then wakaja na THEUTAMUS (note the added -S) lakini a short while ago inaonekana theUTAMU imrejea tena hewani,yaani less than 24 hrs!Who's playing this game?Google,hackers (our "IT experts") or the UTAMU wenyewe?

ala! kumbe imerudi?

hebu njoja nikacheki kama kuna mpya
 
DAH! EBWANA KWELI IMERUDI TENA ....LOMA TUPU UNAAMBIWA NAMSOMA SAMIRA MKWE WA K-SAP

duh!
 
Ohh Invisible theutamu imerudi tena kwa kweli....nimeangalia baada ya kuona mabadiko kuwa ipo tena sasa kwa kasi ya ajabu.

Huyu jamaa atakuwa ni mwenye nguvu kwenye internet sasa sijui ni google...hivi kajiswali wanalipiwa kuwa na blog...if not wanaweza kuanzisha nyinigine kwa kuweka hata 1 mbele ya theutamus.

Could you do any thing better...shy ulisema kuwa mlimuona kwa sura baada ya kutuma kama mail 5 kwa majina tofauti mara akajitokeza..na akavamiwa!!
Au ulipataia pa kusema ulicho kuwa nacho?sasa mambo yamebumburuka.
 
jamaa hawezekaniki

one thing is for sure...hapati pesa kwa traffic yote ile..sasa hebu imagine kama mtu ananzisha blog ya UFISADi traffic yake itakuwaje?
 
if imerudi tena wajimini mnaodhuru huko yawezekana kabsaa kuwa jamaa wanted to do a little publicity for his blog,so akaact ka imefungiwa kwa muda nw imerudi tena many pipo wanna go there kujionea kwa macho yao!hata waliokua hawajui wat is the utamu nw wanago kucheki yasemwayo
 
if imerudi tena wajimini mnaodhuru huko yawezekana kabsaa kuwa jamaa wanted to do a little publicity for his blog,so akaact ka imefungiwa kwa muda nw imerudi tena
Ooooh yeaaah is back.....theutamu is allready a popular blog tz hakuna blogu iliyowahi kuwa na comments zaidi ya 500 katika post moja....ni theutamu tu.....

kuna watu walianza kushangilia ati google wameban hakuna kitu kama hicho dunia hii ya sasa........pa kuna warning kama hutaki just ignore unapoazidi kukubalia kuingia unaonekana kweli u wanna get kujing'ata ulimi......
 
Hehe huyo aliyesema kuwa utamu imepunguza maambukizi ya ukimwi lazima atakuwa anatania....

I hope watu hawasahau Karma is a B---h!!!
 
Inaitwaje hiyo website mbona theutamus aifunguki
 
Jamani huyu utamu mbona anatunyanyasa hivi huku afunguki we utamu achia basi jamani
 
Du huyu jamaa noma,ila atashughulikiwa tu.Just give it a time

Wewe si ndo ulikuwa unafrahia sana....kufungwa kwa hii website.
Saizi ipo hewani watu tunakula comments kama kawa...
Inabidi mjirekebishe tabia zenu chafu...Ngoja niwahi the utamu.
 
Sishindwina silegei ni kwamba mimi nilikuwa msomaji mzuri saaana wa theutamu kila siku napita zaidi ya mara 3,nasema ukweli najua hata wewe ulikuwa kama mimi ila unazuga machoni mwa watu........

Blogu ilikuwa njema sana yaliwekwa mule nisema 75% ni kweli na imesaidia wengine na majambga ambayo yangetukuta.......



Sipingi mimi nilikuwa mlevi wa Theutamu......hata wewe najua ulikuwa nami kule huwezi kusema blogu mbaya wakati hujaona kilichomo ndani..........content imekwambia kuna mamabo mabaya wewe bado uka click kwenda mbele kuona UTAMU uliomo......tuliza munkari kaka/dada
UNATAKA KUNIINGIZA KWENYE MALUMBANO ILI UJIPATIE UMAARUFU??
SITAKUPA HIYO NAFASI.....
In the meantime ..nakuweka kwenye ignore list yangu!
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom