Iteitei Lya Kitee
JF-Expert Member
- Jan 2, 2008
- 586
- 47
Sijawahi kuwa mhanga Fidel80 but nimefurahi walivyoweza kumhack akaenda chini,hata hivyo amerudi upya kama kawa hivyo kama we ni mteja wake pia u can visit there
Sina shaka siko pekeyangu napenda kuwapongeza wale wote walioshiriki katika kuangamiza website ya umbea na udaku www.theutamu.blogspot.com
Flady unajua kwamba kumtoa hewani ni makosa kisheria ? Kila kitu kinavyosajiliwa huwa na makubaliano yake akivunja makubaliano cha kufanya ni mahakamani huko ndio kwenye fursa sawa kwa wote
Mi nadhani watu mwende kunakohusika kwenye sheria kama alivyosema muungwan Shy. Watu wapewe fursa sawa ya kusikilizwa. KAMA KUNA MWENYE KOSA AADHIBIWE.
Hivi mtu usipoingia kwenye hiyo blog what happens? kuna anayelazimisha mtu kuingia? I dont see the point really ya kumuandama jamaa na blog yake. Kama unaona haifai..dont OPEN IT simple!
Watu tunaingia JF lakini ni kwa mapenzi yetu, kwani usipoingia Invisible atakudhuru? Hapana. Ndo maana wengine wanaingia JF kwenye board ya mapenzi au JF dr nk...na wala hawajawahi ingia kwenye board ya siasa, likewise kuna ambao wao ni siasa tuu. Jamani whats difficult to know here? What happened to the meaning of disclaimer?? Jamaa wamesema kabisa: Kuna information ambayo inaweza isikupendeze! So why open? Atleast Mungu alitupa huo utashi wa kujua mema na mabaya individually. Ila hakusema kitu kikiwa kibaya kwa Peter kitakuwa kibaya na kwa Yohana! Hapana kila mtu ana utashi wake.
Nadhani we should grow up. Hizi enzi si za ku-censor information! Kisa? eti hazikubaliki katika jamii. Which jamii? and who constitute hiyo jamii anyway? si ni mimi na wewe? do we need to think alike to belong to the same jamii or should we have the same preferences?? We should strive to adopt the minimum commonalities where our interests converge na tuanzie hapo. So far naona kitu kama ufisadi kinatugusa wote kwa sababu wanaiba pesa ambayo ingejenga hospitali na barabara kwa manufaa ya wote. Not The Utamu. Let every body follow his/her MORAL COMPASS.
Cha muhimu mi nadhani watu mmtafute jamaa mmfungulie mashataka kama ana kosa na sheria ichukue mkondo wake. Hizi ni zama ambazo kila dakika teknolojia inabadilika. Usitegemee kwamba kila kitu kitakufurahisha, na kama hakikufurahishi, basi kaa mbali! I thought watu mnaoishi huko ughaibuni know this better than us wa Msewe!
Mkuu
nadhani its more than kutaka mtu afungiwe blog na uhuru wa mtu kuingia na kusoma. Kutumia sheria kudai haki ni njia nzuri kama unamjua anaye kuchafulia jina... ukitukanwa au ukakashfiwa kwenye blog na mtu USIYEMJUA just bcoz anakuchukia kwa sababu anazozijua yeye..utakuwa na remedy gani?..Watu wengine hujificha nyuma ya computer zao kutukana wengine bila sababu za msingi... je hawa haki watapataje?..
fafanua kuchafuliwa kivipi mamaa? unajua hata jf inawachafua watu,hujui hilo? ........kujificha hata wewe umejificha kama kweli huchafui mtu hapa jf tumia jina lako halisi.......si uhuru wa mawazo na maoni chanya unatoa so why unajificha na jina bandia womaa?Kutumia sheria kudai haki ni njia nzuri kama unamjua anaye kuchafulia jina... ukitukanwa au ukakashfiwa kwenye blog na mtu USIYEMJUA just bcoz anakuchukia kwa sababu anazozijua yeye..utakuwa na remedy gani?..Watu wengine hujificha nyuma ya computer zao kutukana wengine bila sababu za msingi... je hawa haki watapataje?..
Masanja;298742] Jamani whats difficult to know here? What happened to the meaning of disclaimer?? Jamaa wamesema kabisa: Kuna information ambayo inaweza isikupendeze! So why open? Atleast Mungu alitupa huo utashi wa kujua mema na mabaya individually
kabisaaaaaa....hana mashtaka theutamu......hata JF haipendwi na watu kuna watu wanafanya jitihada zao kila wa hack JF lakini wanashindwa wananyimwa usingizi na jf......China ilifunga blogu kule kisa walikuwa wanaumbuliwa miwshowe wakaachia wenyewe......sudan nako waliifungia Youtube kisa inawaumbua.....Cha muhimu mi nadhani watu mmtafute jamaa mmfungulie mashataka kama ana kosa na sheria ichukue mkondo wake. Hizi ni zama ambazo kila dakika teknolojia inabadilika. Usitegemee kwamba kila kitu kitakufurahisha, na kama hakikufurahishi, basi kaa mbali! I thought watu mnaoishi huko ughaibuni know this better than us wa Msewe!
yaliyoandikwa hapa kuhusu utamu blog inaelekea yamewagusa na hivyo kuahidi kubadili mwenendo wao. Kama kweli itakuwa hivyo badala ya kuwachafua watanzania na familia zao wasiokuwa na maovu yoyote basi juhudi zetu zimezaa matunda. Tusubiri tuone. Habari hii hapa chini nimeichukua toka utamu.
baada ya blog yenu kufutwa hapo jana mitandao kadhaa iliripoti kuhusu habari hiyo na wadau kibao walichangia issue hii hebu tembelea mitandao hii hapa...
Michuzi blog gonga hapa
klhnews hapa
jamiiforums gonga hapa
tzuk hapa
hii inaonyesha jinsi gani blog hii iko popular, tunafanya jitihada ya kubadili na kuchuja comment chafu ili ilenge hasa kwa wenye mienendo potofu ya kingono hasa kwa vigogo.....
Mambo 10 usiyojua kuhusu utamu blog
hutembelewa mara 10,000 kwa siku
imetembelewa zaidi ya mara milioni 1 toka kuanzishwa kwake
ina umri wa mwaka mmoja tu hadi sasa
ina posts takribani 1000 hadi sasa
inagenarate income ya us$ 230-300 per day from daily hits and adverts
ni maarufu tanzania nzima na nchi za nje hasa uk, india, usa, kenya, uganda, rwanda, burundi, drc ...
Imepunguza ngono nzembe hasa kwa vigogo
wadau wake wakuu ni watu wa maofisini na vigogo
ni mtandao tando maarufu pengine kuliko mitandao tando yote hapa bongo
ni adui namba moja wa mafisadi wa ngono
compiled by theutamu team
wadau wenye data zingine toeni kupitia maoni
is cyber bullying a crime?