Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Duh huyo demu wa zain nimemsikitikia sanaaaa duh lakini siamini babake

Aise mbona kama yule dada nilishawahi kumuona? She isnt a new face.... Duh! hapana bana..kuchukua picha ya vile nadhani mwenyewe unakuwa UMETAKA. is it possible kweli mtu akuchukue kama hujijui? Its scary! Big time!

Anyway ndo teknolojia hiyo...wote tunaitumia....after all si tunataka globalization with a human face?..Tunaitumia vipi ndilo swali na kitendawili..
 
binafsi naamini kuna siku watu watakuja kuuana shauri ya hizi blogs,wallah nasema,maana too much kusasambuana!
 
Tunayoyafanya mafichoni ni ZAIDI ya yanayoonyeshwa kwenye blogu hii. Wengi wetu tu WANAFIKI sana tunapokuwa hadharani kama walivyo WANASIASA wetu!
 
lakini kabla hujazifungua zinakupa worning kwamba ni adult material, ngoja nichek hiyo wakereketwa uliyosema
 
where there is smoke there will be fire. Au lisemwalo lipo kama halipo linakuja.
 
KWA WALE WANAOMTAFUTA THE UTAMU , TUANZE HAPA

OrgName: Google Inc.
OrgID: GOGL
Address: 1600 Amphitheatre Parkway
City: Mountain View
StateProv: CA
PostalCode: 94043
Country: US

NetRange: 72.14.192.0 - 72.14.255.255
CIDR: 72.14.192.0/18
NetName: GOOGLE
NetHandle: NET-72-14-192-0-1
Parent: NET-72-0-0-0-0
NetType: Direct Allocation
NameServer: NS1.GOOGLE.COM
NameServer: NS2.GOOGLE.COM
NameServer: NS3.GOOGLE.COM
NameServer: NS4.GOOGLE.COM
Comment:
RegDate: 2004-11-10
Updated: 2007-04-10

RTechHandle: ZG39-ARIN
RTechName: Google Inc.
RTechPhone: +1-650-318-0200
RTechEmail: arin-contact@google.com

OrgTechHandle: ZG39-ARIN
OrgTechName: Google Inc.
OrgTechPhone: +1-650-318-0200
OrgTechEmail: arin-contact@google.com

# ARIN WHOIS database, last updated 2008-10-14 19:10
 
KWA WALE WANAOMTAFUTA THE UTAMU , TUANZE HAPA

OrgName: Google Inc.
OrgID: GOGL
Address: 1600 Amphitheatre Parkway
City: Mountain View
StateProv: CA
PostalCode: 94043
Country: US

NetRange: 72.14.192.0 - 72.14.255.255
CIDR: 72.14.192.0/18
NetName: GOOGLE
NetHandle: NET-72-14-192-0-1
Parent: NET-72-0-0-0-0
NetType: Direct Allocation
NameServer: NS1.GOOGLE.COM
NameServer: NS2.GOOGLE.COM
NameServer: NS3.GOOGLE.COM
NameServer: NS4.GOOGLE.COM
Comment:
RegDate: 2004-11-10
Updated: 2007-04-10

RTechHandle: ZG39-ARIN
RTechName: Google Inc.
RTechPhone: +1-650-318-0200
RTechEmail: arin-contact@google.com

OrgTechHandle: ZG39-ARIN
OrgTechName: Google Inc.
OrgTechPhone: +1-650-318-0200
OrgTechEmail: arin-contact@google.com

# ARIN WHOIS database, last updated 2008-10-14 19:10

Totally confused!!!
 
The utamu, pamoja na blog zote zilizo kwenye format ya xxxxxxxx.blogspot.com or something that is a subdomain of another domain like that, does not host the site and therefore you can never find the information to trace who owns the utamu from DNS ownership/ hosting records.

I believe mtu yeyote anaweza kuanzisha a xxxxxx.blogspot.com blog bila ya kutoa information za identity yake, kama vile mtu yeyote anaweza kufungua a yahoo email address bila ku reveal identity yake.

What you can get from that query is who owns blogspot.com, which is the parent domain for theutamu.blogspot.com. Thats why you see google all over cause blogspot.com is owned by google.

Thanks for the idea but it is some kind of a wild goose chase.

A more productive way to go about it would be to ask google to trace the IP of the moderator. I am sure, unless you are the government of China and the mod is operating in China, you will have a hard time.And even in the China case Google and Yahoo are increasingly coming under fire from civil libertarians in the US for letting the Chinese government trample over disidents.
 
Hiyo trace ni ya email ya utamu anayotumia kuwasiliana na watu nadhani umeelewa sasa
 
angalia chini nimeweka picha za sehemu ambayo rude picha alikwepo wakati mwingi wa kuwasiliana na watu
 

Attachments

  • theutamu.JPG
    theutamu.JPG
    184.3 KB · Views: 232
  • theutamu1.JPG
    theutamu1.JPG
    83.3 KB · Views: 167
2. Proper Use. You agree that you are responsible for your own use of the Service, for any posts you make, and for any consequences thereof. You agree that you will use the Service in compliance with all applicable local, state, national, and international laws, rules and regulations, including any laws regarding the transmission of technical data exported from your country of residence and all United States export control laws.

You agree to abide by the Blogger Content Policy (Blogger: Content Policy) and the rules and restrictions therein. Although we may attempt to notify you when major changes are made to the Blogger Content Policy, you should periodically review the most up-to-date version. Google may, in its sole discretion, modify or revise the Blogger Content Policy at any time, and you agree to be bound by such modifications or revisions.

Violation of any of the foregoing, including the Blogger Content Policy (Blogger: Content Policy), may result in immediate termination of this Agreement, and may subject you to state and federal penalties and other legal consequences. Google reserves the right, but shall have no obligation, to investigate your use of the Service in order to (a) determine whether a violation of the Agreement has occurred or (b) comply with any applicable law, regulation, legal process or governmental request.

Much of the content of Blogger.com and Blogspot.com -- including the contents of specific postings -- is provided by and is the responsibility of the person or people who made such postings. Google does not monitor the content of Blogger.com and Blogspot.com, and takes no responsibility for such content. Instead, Google merely provides access to such content as a service to you.

By their very nature, Blogger.com and Blogspot.com may carry offensive, harmful, inaccurate or otherwise inappropriate material, or in some cases, postings that have been mislabeled or are otherwise deceptive. We expect that you will use caution and common sense and exercise proper judgment when using Blogger.com and Blogspot.com.Google does not endorse, support, represent or guarantee the truthfulness, accuracy, or reliability of any communications posted via the Service or endorse any opinions expressed via the Service. You acknowledge that any reliance on material posted via the Service will be at your own risk.

BWANA DANNI SOMA HIYO PROPER USE UTAONA HASWA NANI ANAWAJIBIKA KWA VITU VILE VYA NDANI
 
Mkuu kumbe IP inaweza kumkamatisha mtu kabisaaaaa bila kipingamizi hapo sasa ndio nimeamini mkuu hongera sana kwa usawa huu tu nadhani jamaa hata ajifiche wapi atakamatika tu bila tatizo kabisa.......Pamoja SHY kuendeleza libeneke
 
Hiyo data haitasaidia kitu, ukaweza kucreate blogspot kwa jina lolote, there is no way to trace it to the owner if he takes some basic precautions.
Hizo info ulizobandika ni za google, na ramani ni location ya google.

You are never gonna get his I.P, google take their users privacy seriously, and even if you do you would still have to go to an ISP to get the actual user who had the IP address.
 
Mimi nawashangaa sana watu welevu na mlio pevuka bado mnaumizwa kichwa na the utamu.....na uhakika kuna watu kibao hii blog hawaijui kabisa na walisha wekwa huko lakini hawaelewi.Kwa nini nyie vichwa viwaume?Kama unaona haifai si bora uache kuitembelea acha kabisa kwenda huko kisha sahau kabisa kama kulikuwa na the utamu.
 
Mimi hapo ndio Wadanganyika wanaponishangaza, Mbona Hamtafuti njia ya Kuwakamata MAFISADI??? huyo ze Utamu hata mkimpata mtamfanya nini, kama sisi wenyewe ndio tunaotuma picha za wenzetu ili watukanwe, Dada zetu ndio wanaifanya hiyo the Utamu iendelee kuwepo, wanapoibiana mabwana marafiki kwa marafiki kukomoana ndio wanatuma picha huko ili wachambuliwe na kutukanwa, wengine wanaoingia kule na kupolomosha matusi hata hawajui chazo wala hawajui wahusika kiundani, ila wanafata mkumbo tu.

Ushauri wangu kwetu watanzania wenzangu ni huu, kama kweli tunataka hiyo Ze utamu ife ni bora tuanze sisi wenyewe kwa kutotuma picha za wenzetu, au wagomvi wetu huko na hiyo web ikikosa mada (picha itaisha umaarufu pole pole na hatimaye kufa kabisa) lakini dada zetu wataendelea na hiyo tabia na uhakika hakuna kitakachoendelea, hamuwezi kumkamata na wala kumzuia kuendelea na hiyo blog yake.

Nawakilisha.
 
mimi hapo ndio wadanganyika wanaponishangaza, mbona hamtafuti njia ya kuwakamata mafisadi??? Huyo ze utamu hata mkimpata mtamfanya nini, kama sisi wenyewe ndio tunaotuma picha za wenzetu ili watukanwe, dada zetu ndio wanaifanya hiyo the utamu iendelee kuwepo, wanapoibiana mabwana marafiki kwa marafiki kukomoana ndio wanatuma picha huko ili wachambuliwe na kutukanwa, wengine wanaoingia kule na kupolomosha matusi hata hawajui chazo wala hawajui wahusika kiundani, ila wanafata mkumbo tu.

Ushauri wangu kwetu watanzania wenzangu ni huu, kama kweli tunataka hiyo ze utamu ife ni bora tuanze sisi wenyewe kwa kutotuma picha za wenzetu, au wagomvi wetu huko na hiyo web ikikosa mada (picha itaisha umaarufu pole pole na hatimaye kufa kabisa) lakini dada zetu wataendelea na hiyo tabia na uhakika hakuna kitakachoendelea, hamuwezi kumkamata na wala kumzuia kuendelea na hiyo blog yake.



Naunga mkono hoja.

Nawakilisha.


naunga mkono hoja bila ya maswali zaidi
umegusa pale pale.
 
mimi nina wireless router, haina Wi-Fi protected access,Rudepichaz anakuja in the neighbourhood anatumia laptop,and unknown to me anatumia internet access yangu,kufanya mambo yake.location kwa hiyo ni mimi,but i know nothing about it.sasa SHY dont you think huyu rudepichaz ndivyo anafanya,using Wi-Fi hotspots au routers za watu ambazo haziko protected na maadam alishadanganya identity yake from the word go,dont you think hii MANHUNT is bound to fail?
 
Mimi nawashangaa sana watu welevu na mlio pevuka bado mnaumizwa kichwa na the utamu.....na uhakika kuna watu kibao hii blog hawaijui kabisa na walisha wekwa huko lakini hawaelewi.Kwa nini nyie vichwa viwaume?Kama unaona haifai si bora uache kuitembelea acha kabisa kwenda huko kisha sahau kabisa kama kulikuwa na the utamu.

teheee teheee
labda ni wahathirika wa the uchungu
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom