Kang
JF-Expert Member
- Jun 24, 2008
- 5,699
- 2,610
Naona wengi wao waliochangia hapa ni wadau wa UTAMU acheni hizo jamani mtu akianzisha kitu kwa faida yetu sisi watanzania inabidi tumsaidie na kushauliana sio kuanza kumkatisha tamaa...Sasa naona kuna baadhi ya watu wametoa sababu kwamba hivi ohh mara hivi sasa kama hizo ramani za google sasa SHY kazipata wapi??Naomba basi na wewe uliyesema kwamba ni ramani za google utupe moja kama hiyo aliyotoa SHY na maelezo na nyumba na kila kitu kama unaweza kila mtu anatumia Elimu yake aliyosoma kama hauna elimu usipinge mwenzako kafanya nini kwa sababu wewe huelewi chochote......Na Domo na wewe mawazo yako kidogo ni finyu maana mtu na akili zake hawezi kuandika point kama hiyo kwa hiyo wewe unafurahi vile utamu anavyofanya???Au sio??
Yassin ndio umechalenge elimu yangu hapo juu, halafu mnadai ninakuja juu nikiwajibu! Hapa mmechemsha hizo site za kutrace IP ziko all over.
Labda mkajipange upya kwanza!! Kweli kwa majibu yenu naona huu sio ukumbi wa visomo, ukumbi wa wababaishaji.