Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Mimi hapo ndio Wadanganyika wanaponishangaza, Mbona Hamtafuti njia ya Kuwakamata MAFISADI??? huyo ze Utamu hata mkimpata mtamfanya nini, kama sisi wenyewe ndio tunaotuma picha za wenzetu ili watukanwe, Dada zetu ndio wanaifanya hiyo the Utamu iendelee kuwepo, wanapoibiana mabwana marafiki kwa marafiki kukomoana ndio wanatuma picha huko ili wachambuliwe na kutukanwa, wengine wanaoingia kule na kupolomosha matusi hata hawajui chazo wala hawajui wahusika kiundani, ila wanafata mkumbo tu.

Ushauri wangu kwetu watanzania wenzangu ni huu, kama kweli tunataka hiyo Ze utamu ife ni bora tuanze sisi wenyewe kwa kutotuma picha za wenzetu, au wagomvi wetu huko na hiyo web ikikosa mada (picha itaisha umaarufu pole pole na hatimaye kufa kabisa) lakini dada zetu wataendelea na hiyo tabia na uhakika hakuna kitakachoendelea, hamuwezi kumkamata na wala kumzuia kuendelea na hiyo blog yake.

Nawakilisha.

Bwana DOMO un ayo haki ya kuyasema hayo yote, sikutofautishi sana na ze utamu kwa kubase kwenye picha unayojitambulisha nayo, TYPICAL ZE UTAMU.
 
Bwana DOMO un ayo haki ya kuyasema hayo yote, sikutofautishi sana na ze utamu kwa kubase kwenye picha unayojitambulisha nayo, TYPICAL ZE UTAMU.

Hiyo ni juu yako, ukinitofautisha au usinitofautishe............ tatizo lako unaona raha kuona dada zako wakitukanana kwa kugombania mabwana huko Ulaya, inawezekana na wewe ni mmoja wao unapeleka picha huko.

Nawakilisha.
 
Naona wengi wao waliochangia hapa ni wadau wa UTAMU acheni hizo jamani mtu akianzisha kitu kwa faida yetu sisi watanzania inabidi tumsaidie na kushauliana sio kuanza kumkatisha tamaa...Sasa naona kuna baadhi ya watu wametoa sababu kwamba hivi ohh mara hivi sasa kama hizo ramani za google sasa SHY kazipata wapi??Naomba basi na wewe uliyesema kwamba ni ramani za google utupe moja kama hiyo aliyotoa SHY na maelezo na nyumba na kila kitu kama unaweza kila mtu anatumia Elimu yake aliyosoma kama hauna elimu usipinge mwenzako kafanya nini kwa sababu wewe huelewi chochote......Na Domo na wewe mawazo yako kidogo ni finyu maana mtu na akili zake hawezi kuandika point kama hiyo kwa hiyo wewe unafurahi vile utamu anavyofanya???Au sio??
 
Nani hana elimu sasa? Nasoma IT mwenzako mwaka wa tatu huu,nagraduate this year, na hii mitandao nimeanza kuichezea kwa undani zamani sana.
Yaani wewe unafurahi kubandikiwa ramani ambayo haisaidii kitu chochote? Soma hizo data alizobandika Shy, zote zinasema ni address ya google ambao ndio wanaoperate blogspot na Gmail, sasa nani alikua hajui hilo?
Hauwezi kupata IP address ya mtu kutoka kwenye email ya Gmail hiyo ndio reality, labda upate court order ya marekani.
 
KANG,mbona umekuja juu,Yassin katoa maoni yake kwa ukarimu,kwa sabau yeye kama tulivyo wengi hapa tunataka tulijue hili swala kiundani.sasa wewe mwenzetu umekuja na speed kali,ooohhh''' mimi msomi,huu sio ukumbi wa visomo,hili ni jukwaa la kuelimishana,MAANA TUKIANZA KUSHINDANA VISOMO,mimi naamini hili jukwaa halitoshi
 
Well,hii inaweza kuwa haihusiani na siasa lakini kwa namna mwenendo wa mambo yanavyokwenda katika siasa zetu za bongo na mtandaoni inaelekea ngono ni sehemu ya siasa (niliwahi kunong'onezwa kwamba kuna wadada kadhaa walionyaka madaraka katika awamu flani kutokana na mahusiano ya kingono na aliyawateua...i think i dont need to elaborate on that,do I?)

Ile contoversial blog,the Utamu inaelekea imeondolewa tena.Kwenye ukurasa wa kuingilia kuna maelezo haya Blog has been removed
Sorry, the blog at theutamu.blogspot.com has been removed. This address is not available for new blogs.

Same as last time but it was back a couple of hours later,leaving me wondering whether it was Google (blogger.com),the utamu staff or some computer geek playing some mind games.

Odd and ridiculous as it might sound but I'm already missing it.Do you?
 
Pole Mlalahoi kwa kuimiss! Maana maelezo yako yanaonyesha kabisa unaimiss. Subiri baada ya muda labda itarudi tena!
 
Pole Mlalahoi kwa kuimiss! Maana maelezo yako yanaonyesha kabisa unaimiss. Subiri baada ya muda labda itarudi tena!

Hahahaha!Kweli Mzee naimiss.Kuna fisadi flani alinipora mchumba back in the days ametundikwa pale majuzi.Na hivi karibuni mwanadada mmoja alikuwa akitumiwa picha na "kigogo wa BOT ambaye ameamua kuja UK kubadilisha mazingira/makazi" (isomeke kustaafishwa) akionyesha nia ya kuja kuanzisha uhusiano wa muda mrefu na mwanadada huyo.Kumbe "mchumba huyo mtarajiwa kutoka Bongo" alikuwa Liumba,ambaye amefanya jitihada kubwa sana ya kuficha sura yake magazetini.Leave the nasty stuffs aside,Utamu has in a way exposed mafisadi wa ngono.
 
BUT IT WAS NASTY! haswa pale wanaposingiziwa watu. Its better. bado wanaweza kufichua mafisadi wa ngono in decency way
 
[I said:
Mlalahoi;304521]Hahahaha!Kweli Mzee naimiss.Kuna fisadi flani alinipora mchumba back in the days ametundikwa pale majuzi.Na hivi karibuni mwanadada mmoja alikuwa akitumiwa picha na "kigogo wa BOT ambaye ameamua kuja UK kubadilisha mazingira/makazi" (isomeke kustaafishwa) akionyesha nia ya kuja kuanzisha uhusiano wa muda mrefu na mwanadada huyo.Kumbe "mchumba huyo mtarajiwa kutoka Bongo" alikuwa Liumba,ambaye amefanya jitihada kubwa sana ya kuficha sura yake magazetini.Leave the nasty stuffs aside,Utamu has in a way exposed mafisadi wa ngono.[/I]

Aisee, kumbe kuna serious issues za namna hiyo? mi nilifikiri ni matusi matusi tu na kuharibiana maisha. Pole kwa yaliyokukuta Mzee!
 
KANG,mbona umekuja juu,Yassin katoa maoni yake kwa ukarimu,kwa sabau yeye kama tulivyo wengi hapa tunataka tulijue hili swala kiundani.sasa wewe mwenzetu umekuja na speed kali,ooohhh''' mimi msomi,huu sio ukumbi wa visomo,hili ni jukwaa la kuelimishana,MAANA TUKIANZA KUSHINDANA VISOMO,mimi naamini hili jukwaa halitoshi

Mkuu nadhani umeliona hilo maana naona jamaa anakuja juu kama kuna mtu nimemtukana vile lakini si kila mtu ana elimu yake au nimekuta wewe KANG kuwa mpole mkuu nadhani tutafika
 
Aisee, kumbe kuna serious issues za namna hiyo? mi nilifikiri ni matusi matusi tu na kuharibiana maisha. Pole kwa yaliyokukuta Mzee!

You know what?Utamu ni kama kipindi flani kwenye TV kinaitwa Cheaters,japo kipindi hicho kiko more decent kuliko utamu.Kwa mtizamo wangu,Utamu inaendeshwa kama kipindi hicho,ambapo mume au mke/girlfriend au boyfriend akihisi usaliti anawapigia wahusika kumthibitishia.Utamu pia inaendeshwa zaidi na wasomaji (ambao unaweza kuwaita majina yote machafu especially kutokana na comments zao).Picha nyingi zinazopelekwa pale ni matokeo ya migongano ya kindoa,mapenzi au mahaba.Of course,kuna wenye visasi vyao (hao wapo kila mahala na hawazuiliki).Nyingine ni za wale wanaoamini kuwa kutufisadi uchumi wetu pekee haitoshi,wanahamia kwenye dada,wachumba,wake na ndugu zetu wengine (wa kike kwa kiume).Kibaya zaidi ni wale wanaofahamika kabisa kwamba wameshanasa kwenye grid ya taifa (wameathirika) lakini bado wanaendekeza uzinzi (sijui ni kisasi kwa waliowaambukiza au kukomoana!)

Hey,sishabikii yale matusi na lugha chafu ya pale ila najaribu kuonyesha the positive side ya blog hiyo (well,hata ukoloni nao ulikuwa na positive sides zake japo hazilinganishiki na negative ones).By the way,kama flani ni mtu wa maadili why then go to a site ambayo wameshakutahadharisha kuwa contents zake ni "za watu wa mataifa"?
 
BUT IT WAS NASTY! haswa pale wanaposingiziwa watu. Its better. bado wanaweza kufichua mafisadi wa ngono in decency way

Ni kweli kabisa wengi sana wamesingiziwa.
 
OH dear heavens,lets hope this is once and for all.me has never seen such an uneasiness in the tz community.utamu has been affecting all of us in one way or another.no one has been immune,it was only gonna be a matter of time before,utamu hits you or me with a barrage of unfounded allegations.for some the damage is irrepairable.me will never comprimend the fact that the keyboard can be used to destroy souls and despite all efforts,survive this long.lets hope this time UTAMU has been banished to hell for good
 
Waangamizwe walaaniwe tulikuwa hatulali kila siku inatubidi tuiangalie kwa sababu tu unaweza kuhisi labda dada yangu au kaka yangu au ndugu yangu wameshamdundika kwenye hiyo blog. Kwa kweli inasikitisha hasa pale unapojikuta umesingiziwa au umekuwa blackmailed kwa sababu tu ya mtu falani mliekorofishana naye halafu habari zako unazikuta duniani. Wana JF tuiite psychological torture au character assassination?
 
SHy unachemka.........hio ni IP ya Google na sio ya admin wa blog ile jaribu kutafuta makao makuu ya Google yako wapi.........Mountain View, CA........

leta jingine
 
Nasikitika kuwatangazia The utamu imefungwa tena.
Blog has been removed
Sorry, the blog at theutamu.blogspot.com has been removed. This address is not available for new blogs.

Did you expect to see your blog here? See: 'I can't find my blog on the Web, where is it?'
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom