Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
mtanisamehe wana JF ila mwanzoni mwa hii thread nilienda kuchungulia huko ili nijionee mwenyewe kulikoni...kwa bahati mbaya sikuona utamu wowote...kwa mtazamo wangu ilikuwa ni "the shame" tu nikajaribu kwenda kwenye comments...mama yangu weee!! 'the matusi' 'the matusi' 'the matusi'!!! watu wanatukana kama hawana wazazi??!
anyway I wasted 2 minutes of my life
 
The scourge is back,these are indeed sad times for all.it has risen once again to terrorise.God help us
 
http://theutamu.wordpress.com/
This blog has been archived or suspended for a violation of our Terms of Service.
You can create your own free blog on WordPress.com.
 

Attachments

  • The Utamu.jpg
    The Utamu.jpg
    25.7 KB · Views: 115
Buswelu ujembe wao walishaupta kwamba sasa wameshalizwa waendelee kulia kitakachofuata ni kuweka namba zao hewani na majina yao kamili pamoja na sehemu walizopo -- hatupendi hili litokee kilichototakiwa ni kuondoa blogu hiyo hewani kwa faida ya jamii nzima na contractors wameshafanya shuguli yao imekubalika kwa zaidi ya asilimia 100
 
Jamani, na hiyo blog ya Wakereketwa ndio ipi? Yaani watu wanasemana kwa nini jamani?
 
Habari za wakati huu.

mimi naona kuhusu uksoefu wa adabu mtu hafundishwi anakuwa nao mwenyewe sasa hawa wanawake wenye kufanya vitendo hivi huvifanya kwa makusudi ya kuwatolea aibu wenzao na wala sio kisingizio cha wivu kwa sababu mtu yoyote ambaye ni binaadamu aliyekamilika lazima awe na wivu na mwenzake ambaye anampenda ikwia mkewe, mumewe au mpenzi wake lakini wivu hautakiwi ukuvunjie adabu hata ukifikia kuvuka mipaka ya heshima basi wala sio wivu ni ujinga na utovu wa adabu tu ambao unatumiwa na wajinga.

mwanamke mstaarabu hawezi kutoa matusi dhidi ya mwenzake mwanamke seuze kumkashifu mwanamme ambaye amewahi kuwa mpenzi wake inakuwaje umtolee siri zake mbona hukuthubutu kutoa wakati mkiwa pamoja? huu ni utovu wa adabu wa hali ya juu na ni ujinga kwa kiwango kikubwa kuwepo ughaibuni sio kigezo cha kustaarabika wala sio sifa ujinga hauna nchi popote pale unaweza kuishi nchi za wastaarabu lakini wewe ukaacha kufuata ustaarabu na ukabakia na ujinga wako.
 
moderator acha kubania kaka. watu hawalali kwa sababu ya theutamu. acha roho mbaya moderator kwani kusema "zeutamu" ndo kosa?
 
Last edited by a moderator:
moderator acha kubania kaka. watu hawalali kwa sababu ya theutamu. acha roho mbaya moderator kwani kusema "zeutamu" ndo kosa?

Nimekuwa nikifuatilia mabishano katika mjadala huu kwa muda mrefu. naona sasa JF inatumika kama sehemu ya kutangazia mabadiliko wayafanyayo na pia tunatumika kuifanya hii website iwe popular.

Nashauri we close this thread so that nothing else will be posted. na if possible anything related to utamu, theutamu, zeutamu has to be filtered before they get posted.

it is now irritating.
 
Last edited by a moderator:
DONGE NONO LA MILION 10

Mtandao wa globalpublisherstz.com, unatangaza donge nono la shilingi milioni kumi (10,000,000) kwa yeyote atakayefanikisha kupatikana “laivu” kwa mmiliki na mwendeshaji wa mtandao wa ‘Ze utamu’!.
Aidha, Kampuni ya Global Publishers imeamua kuchukua hatua hiyo baada ya kuhusishwa na kuchafuliwa na mtandao huo kwa makusudi kwa wahusika kutumia picha zake bila idhini. Tunapenda kusema na kusisitiza kuwa GPL haihusiki kwa namna yoyote na mtandao huo na zaidi nayo ni muathirika wa vitendo vyake.​
Maoni ya wanaotembelea mtandao huo:

Wa kwanza:
NYIE NDIO WAMILIKI WA ZEUTAMU!! MSITUFANYE NI WABUMBAVU!!
Wa Pili:
Cyber law mzee iko so complicated, sijui mtamfungulia mashitaka gani wakati IP address iko usa. Na USA Cyber law haioko tight kabisa, nadhani kwa hili ni bora muiambie serikali ya Jakaya iwe na satelite yake yenyewe ambayo itaizuia zeutamu kuwa kwenye anga ya Tanzania.
Wa Tatu:
mmechemka kama ingekuwa ishu mitandao ya wazungu ingeshasambaratishwa
Wa Nne:
mtandao hauko ulaya wala wap.uko hapa bongo
binafsi nimeshiriki kudevelop mtandao huo,hasa uapnde wa data base,na sasa tuna pango wa kuongeza database yetu.
mimi kama mtaalam wa computer(web designer& networking) nasema hiv milion kumi ni kidogo sana kugunga mtandao wetu.
sisi ze utamu hatumiliki picha,zinatumwa na wapenzi wa mtandao.na hatujui kama zimetoka kwenu globalpublishers. pengine mmetuma wenyewe.
tunaomb musome disclamer yetu chini ya mtandao wa ze utamu.
lengo letu ni kurekebish tabia chafu ktk jamii.n safari hii hakuna atayeifunga ze utamu.
someni cyber law(sheria za matumiz mabaya ya mtandao)
ze utamu inatoa pole kwa GP,kama mmekwazika.
sisi tuko kazini
Wa Tano:
Acheni Kutuzuga GPL Ndio Wamiliki Wa Zeutamu Hio Inaeleweka Mbona
Wa Sita:
Hapo Mmechemsha wakuu,

Osama anaweza akakamatwa lakini Sio Utamu.

Pia yaweza kua rahisi kupata tiba ya ukimwi, lakin sio tiba ya utamu.

Inahitajika Juhudi sana kumpata huyo Utamu, ikiwezekana kwa Msaada wa mashirika ya Kijasusi.

La si hivyo, ugulieni maumivu
Wa Saba:
nyie globla publisher acheni uzushi, mbona nyie mnapiga watu picha bila idhini yao, tena isitoshe huwa mnaandika habari za uongo na za kinafiki.
Waandishi wenu wa habari hawana sifa kabisa, sijui kama wamekwenda shule au ni wakuokota mitaani.
ze utamu hawezi kupatikana hata 100,000,000,000,000
kwani anapendwa na analindwa na wengi.
Hizo hela mbuzi haziwezi kusababisha ze utamu akamatwe labda mzigeuze kuwa pounds or euro ndio hata mimi naweza kushawishika kuwaeleza mahali alipo, tena baada ya kunipa 3/4 ya madola.
Acheni ujinga
Wa Nane:
Ni kweli the utamu na nyinyi tofauti yake ni nini?? kama kuwakwaza watu hata nyie mnawakwaza watoto wa watu kutwa! acheni unafiki

Utamu is my Home page dont touch it pleeeeeeeeeeseeeeeeeeee!
Wa Tisa:
KUMBE WAPENDA NGONO WENGI CHEKI WALIVYOKURUPUKA ZEUTAMU MMILIKI WAKE NI SHIGONGO NI MOJA YA VYANZO VYAKE VYAKUPATIA HABARI.
Wa Kumi:
Leo ndio mnaona uchungu sio?

Mimi kusema kweli, nawashangaa sana Global, nyie Utamu, na Punch wa vyuoni wala siwatofautishi.

Global mmechangia sana kufa haraka kwa Amina Chifupa na hata sasa kumchaganya akili Nora. Kwahiyo sidhani kama kazi yenu na Utamu inatofautiana, na si ajabu Global ni haohao utamu.

Naomba utuondelee huo upuuzi!
Chanzo: Global Publishers - Tanzania Newspapers
 
Wazushi hao wanajitafuta wao wenyewe? Nani asiyejua Utamu ni mwendelezo wa magazeti ya Global publishers
 
Pumbav sana hawa, magazeti yao yote hayana maadili, halafu mnataka kutoa kinzanzi kwa mwenzenu.......

zile ppiacha huwa mnawasiliana na wenye nazo kabla ya kuchapisha???

nalaani activities zote za utamu na global publisher!
 
Picha ikiwa utamu inakuwa haina watermark. Picha hiyo hiyo ukiikuta GP inakuwa na watermark. Sasa ujiulize ni nani anampa nani hiyo picha !!
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom