Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Ze Utamu Blog: Ni aibu kubwa mno kwa taifa!

Status
Not open for further replies.
Ningekuwa nina mamlaka ningeanza na global publishers katika kumkamata anayeendesha zeutamu. |Siwezi amini hawa jamaa hawa husiki...Waziri kijana upo wapi?
 
WHY do i keep on having this GUT FEELING that utamu is a prominent member of JF-anyway for laughs,timepassing,G.S.O.H after a hard days work lets start penning names,me will set the ball rolling by thinking it is MAS!!!! no ooooops sorry it is KELLY
 
Hivi hiyo the utamu ina mambo gani ambayo ni hatari hivyo???Mimi ningependa kutembelea huko ili mipate picha halisi niweze kuchangia topic vizuri. Otherwise, nimekua nikiona hapa jamvini mnaandika tu kuhusu Ze utamu. Nipeni address ya kuingia huko.
 
Hivi hiyo the utamu ina mambo gani ambayo ni hatari hivyo???Mimi ningependa kutembelea huko ili mipate picha halisi niweze kuchangia topic vizuri. Otherwise, nimekua nikiona hapa jamvini mnaandika tu kuhusu Ze utamu. Nipeni address ya kuingia huko.


ipo kwa ajili ya kuchafua/ kuharibu jina la mtu....balaa tupu.
 
Whatever the case mi naona its none of anyone's business kuingila maisha ya mtu to that extent. Even if anasema anarekekbisha tabia cha ahjabu ni kwamba alot of stuff in there is lies about people. Na hata kama kun ukweli on some issues I still say hayahusu. Ze utamu anajiprotect cause sheira za huko aliko texas zina freedom of speech that's all na ndo maana haogpi kitu. Na kingine ni kwamba watu pia ni wabaya cause mtu ana fikia stage kuiiba picha ya mtu na kuituma huko ili tu watu watukane. Hayo si maadiliyetu watanzania. Watu wanaattack mambo ya ngono wakati hat zeutamu is full of shit.
 
Kuna sheria za haki za binadamu na kun akipengele kinasema all of us have the right to privacy.
 
Mmemvalia sana njuza zeuchungu nani anaye kulazimisha ufungue zeuchungu?
Mi naona haina mantiki hata kidogo.Mbona grobal wana andika vibaya wasanii kibao na habari za uongo uongo mwingi ili wauze magazeti!na hawa hawajachuliwa hatua yoyote.
 
Hata global publishers nao wanajitangaza jamani msione hivyo imagine kuweka tangazo hilo hapo kumekuwa na click ngapi wangapi sasa wanaijua global pamoja na ze utamu ??

Mambo ya marketing hayo
 
Kwi kwi kwi kwi kwi kwi!

Habari nyingine zinaleta raha kweli. Wabongo hawana dogo hata kidogo. Nikwenda kuchungulia kule GPL kuhusu hii habari. Kilichonifurahisha ni zile comments ambazo hao fans wa GPL wamezitoa kuhusu hilo tangazo. Yaani badala ya wao kusikitika na Shigongo, wao ndio wamekuwa wakwanza kuponda kweli. I can imagine huyo aliyeweka hilo tangazo anajisikiaje kwa sasa. Yaani ni kama kwenda K'koo halafu ukatangaza "Jamani nimeibiwa". Halafu wananchi wanakujibu "Mbona wewe mwenyewe ndio mwizi?" Halafu wanakushushia kipigo kitakatifu.

This is so humourous!
 
Hao Global wanatuzuga tu.Mtu makini anayefuatilia genesis ya zeutamu hatashindwa kufahamu kuwa mwanzilishi wa mtandao huo ni mwandishi mwandamizi wa global,Abdallah Mrisho Salawi.Huyu jamaa ana obsession na scandals,na anazimia sana The News of The World....nadhani idea yake ilikuwa kuifanya zeutamu ifikie level ya umbea wa NOTW.
Wajuzi wa mambo wanadai kwamba at one time,Mrisho aliamua kuachana na idea hiyo ya picha za utupu na kutangaza kwenye mtandao huo kuwa format na content inabadilika,no nude pics....lakini si unajua samaki yake maji,ukimweka nchi kavu unamuua!
GPL wanatumia ujanja wa vibaka,wanakupora kisha wanakupigia ukelele wa mwizi.

Tukiachana na ishu ya mhusika mkuu,binafsi nadhani tatizo haliko kwenye nanai anamiliki bali hao wanaouwezesha mtandao huo kuwa hai.Tusidanganyane hapa...laiti hao wanaojifanya kuchukizwa na wanachokutana nacho katika mtandao huo wasingeenda huko unadhani zeutamu ingekuwa hai hadi leo?Uhai wa tovuti ni visitors.

Ok,basi tu-assume wanaokwenda huko wanafanya hivyo kwa nia tu ya kuongeza hasira zao dhidi ya "maovu ya zeutamu".Vp kuhusu picha zinazotumwa kwenye mtandao huo?Ni kweli kwamba zamani kulikuwa na photoshopping mara kadhaa lakini of recent,genuine pics ndizo zinatawala katika mtandao huo.Sina huruma hata kidogo na wapumbavu wanaopiga picha uchi kwa kisingizo cha mapenzi.Oh yea,privacy...privacy wakati wanashindwa ku-protect privacy yao wao wenyewe kwa kupiga picha chafu kisha kuwapatia "wapenzi",siki mapenzi yakigeuka shubiri picha za mahaba zinrushwa ze utamu!

Naweza kusema zaidi na zaidi lakini nihitimishe kwa kusema hivi:anayedhani mtandao huo ni wa kishetani basi atembelee tovuti nyingine,au ajisomee vitabu vitakatifu.Kwenye kwa Macheni,Kinondoni Makaburini,Mtaa wa Ohio,Corner Bar,Kilima Ny**e,etc kwa madai ya kutafiti suala la ukahaba ni excuse maarufu ya wapenda ngono pindi wakikutwa maeneo hayo.

Long live freedom of expression
 
KUMEKUWA NA MAMBO MENGI YA KUSIKITISHA YAMEKUWA YAKIFANYWA NA HUYU MTU ANAYEJIITA ZEUTAMU...WE ALL TANZANIA'S LAKINI TUNAFANYIANA MAMBO YASIYOFAA KWA JAMII..WATU WANAFIKIA HATUA MPAKA KUTENGWA KWA KUHOFIWA NI WAATHIRIKA NA KUWA WANANYOOSHEWA VIDOLE MITAANI..NDOA ZA WATU ZIMEVUNJIKA KWA MAMBO YASIYO NA KICHWA WALA MIGUU YOTE HAYO NI KUTOKANA NA MAWAZO YA MTU MMOJA KUTAKA KUFURAHISHA NAFSI YAKE BINAFSI..
BILA HATA MSHIPA WA AIBU WAZAZI WETU WANAANDIKWA HAPA KWA KASHFA NA MAMBO YASIYO YA KWELI..

SIKATAI MTU KUWA NA UHURU WA KUFANYA ANACHOKITAKA BUT ALL IN ALL KUNA BOUNDARIES AU MIPAKA KATIKA KILA MAMBO UNAYOYAFANYA..OFCOURSE SIKATAI YA KWAMBA KILA MTU ANA HAKI YA KUFANYA ANACHOKITAKA.
HUYU BWANA MDOGO NITAPENDA KUMUITA HIVI KUTOKANA NA KUWA NA UPEO MDOGO KATIKA MAMBO ANAYOYAFANYA INGAWA NI MTU MZIMA ANAYESTAHILI KUITWA BABA..
TO SOME EXTENT HE HAS DONE SO MUCH WORSE THAN BETTER SINCE HE STARTED HIS BLOG UNOFFICIALLY...
WHAT BOTHERS NI WATU WANAKOSA AMANI KUHOFIA KUPIGWA PICHA AU KUIBIWA PICHA ZAO KWENYE NETWORKS ESP. SPCIAL ONES WHERE MOST PEOPLE MEET SO AS TO EXCHANGE THEIR IDEAS..
I BELIEVE EVERYONE HAS THE RIGHT TO EXPRESS HIS OR HER FEELINGS...
ANYWAYS NISIONGEE MENGI
I WOULD LIKE TO SHARE THE FOLLOWINGS WITH YOU..

HII NI EMAIL AMBAYO TUMEIPATA ALIKUWA ANAMTUMIA MTU AMBAYE ANATUMIA JINA LA "MARIAM MOHAMED" WHO HAS A FACEBOOK ACCOUNT with detail

Account Name: Mariam Mohamed
Hometown: London UK
Sex: Female
Email:issakumbena@gmail.com,blogzetu@googlemail.com(the same email ipo kwenye website ya utamu)
If you can read between the lines you will realise thats a fake account
this was what The named GERALD KIGISI(zeutamuz@gmail.com) wrote to Mariam
"
Mambo bro,
ebwana nimekua bizi kinoma, ile forum yani bado kidizaini ila naishughulikia.
sasa tunakukaribisha kwenye zeutamu blog, unakaribishwa kua blog contributor... yani uweze kuweka posts.... Unaruhusiwa kurusha posts zozote ila PLEASE posts ziwe mambo yakibongo bongo tuuu!!! weka unachotaka lakini kuna boundaries... hizo boundaries tutazijua when time comes...

Namna ya kulogin: www.************/wp-login.php
username yako ni: zeutamu
password ni: *******(privacy but when in need email me)
Please angalia how wordpress works... jaribu kurusha picha moja au mbili kwa kutest. inahitaji kupractise kdogo lakini sio ngumu.
I MUST REQUEST YOU TO KEEP THIS INFO AS PRIVATE AS POSSIBLE... kikitokea kitu chochote toka kwako ambacho hakiendani na zeutamu practise ntadelete account yako.
Any questions please contact me and I will help you..."

so far this nigga GERALD KIGISI who hosts the web www.************
The Above Resides at the following adress
www.************ IP address location & more:
Host of the IP: www.************ [Whois] [Reverse IP]
Host IP [?]: 174.132.156.66 Copy [Whois] [Reverse IP]
IP address country: ip address flag United States
IP address state: Texas
IP address city: Houston
IP postcode: 77002
IP address latitude: 29.7523
IP address longitude: -95.3670
ISP of this IP [?]: THEPLANET.COM INTERNET SERVICES
Organization: THEPLANET.COM INTERNET SERVICES
Local time in United States: 2009-03-03 07:08

The Above graduated at a certain community college in United states of america on 1998
The college details with the students ID number and Registartion No

Hutchinson Community College
Admissions: admissions@hutchcc.edu
Business Office: studentbill@hutchcc.edu
General Information: (620) 665-3509
Accounts Payable: (620) 665-3423

Gerald Kigisi
Reg No. Hut8266-423IBB
Course: Comp Sci & Techn..
Year of graduation Fall 1998

HE CURRENTLY WORKS AT THIS COMPANY

Litton Loan, Houston, TX.
Litton Loan, Houston, TX., And Fidelity National Field Services, Ohio
Phone: 800-247-9727
Fax: 000-02365198

Litton Loan - Houston TX And FNFS-Ohio
Houston, Texas, 77081
U.S.A.


ANYONE WHO CAN I DENTIFY THEM PLEASE CHECK THE PICTURES BELOW...THE ONE IN A PASSPORT SIZE IS SAID TO BE ISSA KUMBENA AND THE ONE that has appeared twice IS SAID TO BE GERALD KIGISI

SO FAR THIS GUY ANAANZISHA FORUM IN COMING FEW DAYS WHICH WILL ENABLE HIM TO EARN SOME MONEY WITH EVERYONE WHO WILL REGISTER IN HIS FORUM WILL CONTRIBUTE TO HIS PAYPAL ACCOUNT $2 FOR EACH PERSON THAT WILL REGISTER IN HIS FORUM..
HE HAS NOT YET LAUNCHED IT BUT I HAVE DECIDED TO POST IT TO THE PUBLIC AND LET YOU ALL MY PALS SEE IT AND WE CAN HELP EACH OTHER TO SEIZE THIS SHIT
the website is
http://www.************/kijiweni
TRY TO LOGIN AND SEE HOW THIS GUY IS A FOOL WASTING TIME CREATING SOME GARBAGES..!!
please let us help each other katika kumu end up this fool..
I ts not a hard thing but we need cooperation
WHAT WE ARE DOING NOW

WE ARE RETREIVING ALL THE EMAILS THAT USED TO SEND PICTURES AND ALL SHIT TO THIS EMAIL
blogzetu@googlemail.com
zeutamuz@gmail.com
theutamu@gmail.com

So far Those who used to send him pictures I feel sorry for them coz we will let the world know them..!!

3762d1236285833-gerald-kigisi-guy-behind-ze-utamu-gerald2.jpg

Huyu ni Gerald Kigisi

Huyu ndio Kigisi
3763d1236285833-gerald-kigisi-guy-behind-ze-utamu-n771412651_2223275_7530720.jpg

huyu anajiita issa kumbena ila facebook anajulikana kama MAriam Mohamed
 

Attachments

  • GERALD2.jpg
    GERALD2.jpg
    5 KB · Views: 383
  • n771412651_2223275_7530720.jpg
    n771412651_2223275_7530720.jpg
    6.2 KB · Views: 359
Bibie na wewe ushakuwa victim wa jamaa nini? I can see you have taken your time do your research, good job. All in all, if you are clean, you have nothing to worry about this dude.
 
Hii siiamini hata kidogo. Sana sana na hawa watu walioandika hiyo email na wenyewe ndio wanaendekeza libeneke la mzee Ze Utamu.

Tatizo au uzuri wa mzee Ze Utamu ni kwamba siyo mtu mmoja. Ni kama yule Punch wa UD. Kwa hiyo hata kama ikatokea akakamatwa mtu mmoja (kwanza sijui kwa kosa gani wakati sioni kosa lolote) bado libeneke dhidi ya ufisadi wa ngono litaendelea.
 
Bibie na wewe ushakuwa victim wa jamaa nini? I can see you have taken your time do your research, good job. All in all, if you are clean, you have nothing to worry about this dude.

Kana,

How do you know that? how do you know that some dingbat (or ex girfriend, disgruntled stalker etc) will not harvest your picture out of Facebook and make a tall tale about you?

It hink the folly of ZeUtamu is in exactly the point you raised, behind the pretense for a staunch policing of morality, lies a vast sea of unverifiable super damaging accusations.
 
Kana,

How do you know that? how do you know that some dingbat (or ex girfriend, disgruntled stalker etc) will not harvest your picture out of Facebook and make a tall tale about you?

It hink the folly of ZeUtamu is in exactly the point you raised, behind the pretense for a staunch policing of morality, lies a vast sea of unverifiable super damaging accusations.

Hey whats up? You sound like some dude I know....
 
Alot of people have been innocent victims of this site and alot of people have been researching on this issue for long now. Am not worried at all but its good to know the man behind this stupid thing Ze UTamu.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom