Zawadi ya ngono

Zawadi ya ngono

AS mbona kama nimeshachelewa kutema mate?Hata mwezi haujapita tangu rafiki yangu aniambie daktari mwenzie anatembea karibu na wagonjwa wake wote wa kike.Sema nilisahau kuuliza wanachopata hao wagonjwa...
Sijui itakua ni dawa au huduma!?
kwa ethics za kidaktari ukimtibu mtu akapona hlf uhusiano wa dr na mgonjwa unaishia hapo ......so baada ya hapo mkikubaliana ni mwendo mdundo.
 
hahahahahahaha! yap very ,huyo naye alikuwa haoni walowezi walivyokuwa wanagonga mwamba......yeye kasusa miye nale.......

Tangaza ni mzazi kama una ubavi wanawake wa dizaini hii noma utashikishwa sakafu kupiga deki.
 
hahahahahahaha! yap very ,huyo naye alikuwa haoni walowezi walivyokuwa wanagonga mwamba......yeye kasusa miye nale.......
Hahahaha. . . . kama umeridhia pamoja na hiyo taarifa, basi karibu.
 
P
Wanafunzi under age wanaweza kuridhia kumegwa?

Tukipendana in what context?

Hao wanamegwa na vibabu kwa ridhaa yao kwa kupewa chipsi kuku na babu anadanganya naingiza kichwa tu.
 
Tukipendana in what context?
Labda nikuulize wewe ulizungumzia in what context, maana nilisema ni zawadi kati ya wapendanao (na nilimaanisha people involved in a love relation ambayo inaruhusu sex) wewe ukasema ni haki. Sasa wewe ulimaanisha haki kwa maana gani?
 
  • Thanks
Reactions: EMT
Kwasababu sioni kupiga deki ni ajabu?

Mmeo alikuacha hii ikiwa ni moja ya sababu mi na ndevu zangu unikunamishe sakafuni napiga deki huku wewe unaangalia tamthilia alafu baadae nifue aaaaaah talaka ma vibao juu siku hiyo hiyo.
 
Labda nikuulize wewe ulizungumzia in what context, maana nilisema ni zawadi kati ya wapendanao (na nilimaanisha people involved in a love relation ambayo inaruhusu sex) wewe ukasema ni haki. Sasa wewe ulimaanisha haki kwa maana gani?

Haki kwa walioana. Kama tunapenda tuu bila kuona naweza kukunyima unyumba na unisifanye kitu.
 
Mmeo alikuacha hii ikiwa ni moja ya sababu mi na ndevu zangu unikunamishe sakafuni napiga deki huku wewe unaangalia tamthilia alafu baadae nifue aaaaaah talaka ma vibao juu siku hiyo hiyo.
Wala haikua sababu.
Pili tulikua tunasaidiana, mi nikiwa napika yeye anaosha vyombo, nikifanya usafi yeye anafua.
 
on my way there .lol!sorry, kumbe natakiwa ku-PM kwanza 4 more info.
hlf huyu fidel80 vp ,kwani utanipigisha deki kweli,lizzy?
Ahhh Fidel achana naye, sijui mshahara hajapata christmass!!

Alafu usiogope bana, kupiga deki ntapiga we utanisaidia shughuli nyingine.
 
yote hayo n ni matokeo ya roho mbaya za wanaume kupenda kutumia udhaifu wa wanawake kujinufaisha kimwili. tuchukulie swala la ajira,suppose lizzy jinsi soko la ajira lilivogumu leo hii boss wa tbl hrm tena aseme anataka k katika wadada mia wangapi watakataa? maisha na wanaume ndo vinaharibu wadada.ila mimi namshukuru mungu toka la kwanza hadi chuo nilitumia akili yangu ata kazi yangu niliipata kiuhalali kabisa
ingawa watu hawaachi kuchonga ila ndo ukweli,
Unachosema sawa, baadhi yetu kuna wanaume waroho walioanzisha mfumo huo, na bahati mbaya madada wanaotaka njia ya mkato wamejikuta ndiyo victims wakubwa wa mfumo huo. Ni hatari si kwahuyo anaye pata nafasi ama cheo kwa njia hiyo bali hata katika maisha yake na taifa kwa ujumla wake. Lakini kwanini yatokee haya? Ni kutokana na mfumo, watu wanatumia nafasi walizopata kuwanyanyasa waliochini yao, na pia kutokana na usiri uliopo, matukio kama haya yangekuwa yanafika katika vyombo husika na watu wanaotumia nafasi zao vibaya wakashikwa basi ingesaidia kupunguza hali hii. Alafu, kuundwa kwa ofisi kama za Afisa Mwajiri, Afisa Rasilimali Watu nako kumechangia hasa pale mtu huyo anapopewa madaraka ya kuwafanyia interviews watu akiwa na mamlaka makubwa bila kuangalia jopo. Any way, inasikitisha sana, tulipofikia ni pabaya!
 
Haki kwa walioana. Kama tunapenda tuu bila kuona naweza kukunyima unyumba na unisifanye kitu.
Kwa hiyo tukioana alafu uninyime nitakufanya nini? Au mimi nikikunyima utafanya nini?
Inakua haki yako kivipi? Mi naona ni zawadi ya kupeana mkiamua.
Na it is so obvious to me hata nakosa argument za kujieleza hapa... lol
 
Kwani hujui kwamba kwa kukubali kuoa/olewa na mtu tayari unammilikisha mwili wako? Hata kwenye sheria za dini mme/mke anaweza kumshitaki mwenzake kwa kumnyima unyumba.Ndio maana wapenzi hua hawapelekani kwa viongozi wa dini/wazee kushitaki maswala ya unyumba ila wanandoa wanafanya hivyo.
 
Kwa kweli binafsi naona kama ni tafsiri tu za 'wachungaji', vitabu vya dini havisemi kua ni haki. Pia kati yenu wenyewe mnajua hakuna cha kulazimishana. Na ukiona watu wananyimana ujue kuna kitu kingine nyuma. Mtu hawezi kuamka tu aanze kumnyima mwenzie zawadi nzuri kama hiyo, tena ya bure, hadi kufikia kwa hatua ya kualika baraza ili vizungumzwe. either anaumwa au anahasira, au anampa mngine etc.
 
Actually upo mstari wa biblia unaoongelea hilo swala na niliwahi kuunukuu humu humu, ngoja nikutafutie.

Kuhusu kwanini watu wanyimane, watu wana visa vya kila aina aisee.Vingine vya kibinafsi na vingine vinavyoeleweka.
 
Kwa kweli binafsi naona kama ni tafsiri tu za 'wachungaji', vitabu vya dini havisemi kua ni haki. Pia kati yenu wenyewe mnajua hakuna cha kulazimishana. Na ukiona watu wananyimana ujue kuna kitu kingine nyuma. Mtu hawezi kuamka tu aanze kumnyima mwenzie zawadi nzuri kama hiyo, tena ya bure, hadi kufikia kwa hatua ya kualika baraza ili vizungumzwe. either anaumwa au anahasira, au anampa mngine etc.

1 Corinthians 7:3-5

3 The husband should fulfill his marital duty to his wife, and likewise the wife to her husband. 4 The wife does not have authority over her own body but yields it to her husband. In the same way, the husband does not have authority over his own body but yields it to his wife. 5 Do not deprive each other except perhaps by mutual consent and for a time, so that you may devote yourselves to prayer. Then come together again so that Satan will not tempt you because of your lack of self-control.
 
Back
Top Bottom