The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,611
1.Kwahiyo kwasababu tu tunajua kwamba wanaume wapo tayari kununua ngono wote tuanze kujiuza?Nauliza hivyo kwasababu haitofautiani na kutumia kigezo cha mahari kuhalalisha biashara ya ngono sehemu za kazi a.k.a KUTUMIKA kwa malengo.Alafu mahari sio kumnunua mwanamke, hiyo ni tafsiri iliyopotoka. Mahari ni kama zawadi, thamani ya mwanadamu ni zaidi ya ng'ombe kadhaa.
2.Huo ni ulimbukeni, ila hauwezi anza kabla ya kuwajua hao anaotaka kuwarusha roho.Kurushana roho kunaanza baada ya kufahamiana na kupeana sababu za kurusha roho.
hata sijui kama umenielewa.......