Zawadi ya ngono

Zawadi ya ngono

Mi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...

sio lazima 'wapendanao' hata among good friends
ndo maana watu wengi wakikutana na ma ex lovers hata kama
walisha achana na sasa wapo kwenye love na watu wengine
still wanakumbushia kwa sex.....
 
Mi najua kua ngono, among other possible definitions, ni zawadi kati ya wapendenao...
Hawa wanaokuwa wanaomba kazi au kutaka kupandishwa cheo halafu wanatoa zawadi ya ngono sidhani kama
wanakuwa ni wapendanao
 
Wapi nimesema haiwezi kuwa zawadi halali?
Kama hamna mtu mwingine anaepunjwa kwa utolewaji wa zawadi hiyo iweje mimi niondoe uhalali wake?

Tatizo lako unatoka povu sana mi nakusubiri baada ya miezi kadhaa utakuja na uzi mwingine hapa hii ndo bongo ukishindwa unaenda kwa kagame hapo ukilazimisha tunakula kichwa.
 
Ah, kumbe unazungumzia "zawadi"!? Sasa mtu ukipewa zaidi si huwa tunapokea? Tunakataa kupokea rushwa, lakini zawadi tunapokea. Zawadi si kama tips?

Tatizo lipo kwenye mahusiano pia malengo ya mpokeaji na mtoaji.Ndio maana hata wazazi hua wanakataza watoto wao kupokea pipi kutoka kwa watu ambao sio ndugu/jamaa zao ilhali wao wanawanunulia.
 
Wapi nimesema haiwezi kuwa zawadi halali?
Kama hamna mtu mwingine anaepunjwa kwa utolewaji wa zawadi hiyo iweje mimi niondoe uhalali wake?

kama unatambua hilo
ungeelewa why MTM amesema heading ibadilishwe....
zawadi ya ngono ni kitu kingine
na rushwa ya ngono ni kitu kingine....
 
Tatizo lipo kwenye mahusiano pia malengo ya mpokeaji na mtoaji.Ndio maana hata wazazi hua wanakataza watoto wao kupokea pipi kutoka kwa watu ambao sio ndugu/jamaa zao ilhali wao wanawanunulia.

Kwa hiyo hapa siyo rahisi kutengeneza kanuni itakayowahusisha watu wote maana mahusiano na malengo ya wote mtoaji na mpokeaji yanatofautiana kutoka context moja hadi nyingine.
Kitu ambacho tunaweza kukipinga kwa nguvu zetu zote ni pale ngono inatolewa au kuombwa kama rushwa kwa ajili ya kupata favor fulani. Hiyo haikubaliki. Ila kama watu context yao inawaruhusu kupeana zawadi ya hivyo, wao wapeane tu. Note: waepuke ngonozembe tu.
 
kwenye ishu ya mahari ninachosema ni kuwa
sisi waafrika tuna tamaduni za mda mrefu zinazotufanya tuwa treat wanawake
kama ambavyo tunafanya.....

hiyo superiority ya wahindi na waarabu ni ngumu kuielewa
mfano wapo waarabu ambao hawajui haa kiarabu wala hawana arabic culture
wamezaliwa Tanzania na wanaongea kiswahili lakini kuna tofauti namna wanavyo wa treat wanawake
wa kiarabu na wa kiswahili........

Mkuu kwenye issue ya mahari na utamaduni wetu wa muda mrefu napingana na wewe kidogo. Enzi za mababu zetu mahari kwa wanawake ilikuwa ikitolewa kwa kwa dhamira ya kuunganisha familia mbili za waoaji na waolewaji. Kama mwanamke aliolewa bila ya kutolewa mahari alikuwa hajiamini kwamba kweli ameolewa. Binti asipotolewa mahari alikuwa anajiona kama hajakamilika au hana thamani. Angeweza kuondoka siku yoyote ile na ingewezekana pia akajiona kama ana walakini akijilinganisha na wale waliotolewa mahari.

Lakini siku hizi baadhi ya watu wamekuwa wakiitafsiri vibaya mahari kwa kuifanya kitega uchumi na kuchukua maamuzi ya kuwatoa mabinti shuleni ili wawaoze kama itadhihirika kulipwa mahari au mahari kubwa. Upangaji wa mahari, umekuwa mkubwa kiasi kwamba sasa inafananishwa na bidhaa yoyote nyingine sokoni.

Kwa hiyo ukiangalia traditionally kulikuwa hakuna uhusiano wowote wa mahari na unyanyasaji wa wanawake. Uhusiano umeanza baada ya mahari kufanywa kitegauchumi. Mtu anatoa mahari kubwa to the extent ya kuona ni haki kumtenda mke wake atakavyo. Pengine swali la kujiuliza hali hii inatupeleka wapi na ina maana gani kwa maisha ya msichana na mwanamke kwa ujumla?
 
Ok mtu akimpa boss wake zawadi au takrima mwili kwa ridhaa yake ww kinakukeleketa nini?

Na hili swali linahusiana vipi na mimi kuwa ndani au nje ya ndoa?

Jibu: HAKINIKELEKETI kitu.
 
ha ha ha ha
nimeipenda hii

afu nisaidie basi kumwekea car track (body track) yule nanii
yaani anaitwa itwa siku hizi afu anapotea jumula

Jirani unafurahia mie kukonda wakati nyie mnanenepa?
Sasa na wewe unamuachia anarukaruka ngoja wajanja waje waambae nae kimoja kifaa cha track dola sabini kila mwezi...
 
Na hili swali linahusiana vipi na mimi kuwa ndani au nje ya ndoa?

Jibu: HAKINIKELEKETI kitu.

Omba lnvisible afunge mjadala mi nilijua wanawake mnashurutishwa kutoa k**** kumbe mnatoa kwa ridhaa yenu ndo maana hata takukuru wana kesi chache za aina hii.
 
Sasa fikiria kizazi chetu na kitakachofuata tutakavyokua huko mbeleni ikiwa 'moral compass' za wakubwa wetu zilivunjika zamani.Itafika mahali hata mgonjwa atatakiwa kutoa rushwa ya hongo kabla ya kutibiwa.
lol! tema mate chini lizzy ,this is against medical ethics na human nature.
 
ntafunga hata kama ni dola mia
kumpeleka malishoni kuku wa kienyeji yataka moyo
mara karuka kule mara huko
mradi vituko haviishi
sasa kaondoka hata bila viatu

Sasa na wewe unamuachia anarukaruka ngoja wajanja waje waambae nae kimoja kifaa cha track dola sabini kila mwezi...
 
lol! tema mate chini lizzy ,this is against medical ethics na human nature.

AS mbona kama nimeshachelewa kutema mate?Hata mwezi haujapita tangu rafiki yangu aniambie daktari mwenzie anatembea karibu na wagonjwa wake wote wa kike.Sema nilisahau kuuliza wanachopata hao wagonjwa...
Sijui itakua ni dawa au huduma!?
 
sio lazima 'wapendanao' hata among good friends
ndo maana watu wengi wakikutana na ma ex lovers hata kama
walisha achana na sasa wapo kwenye love na watu wengine
still wanakumbushia kwa sex.....
hii inatishia amani kweli ,kuna umuhimu wa kuoa bikra eeeh?
 
Nilidhani ni haki?

Kama wameridhiana wamegane ni haki yao hata katiba inasema. Kama dada ameamua kutoa takrima ya k**** kwa boss pasipo kulazimishwa kwa nn mnachukulia ishu kubwa?
 
Back
Top Bottom