zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza.....

nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
Miti inayoanza na Herufi tofauti ipo mingi labda kama una maana ya kitu tofauti, Kwa kuanzia chukua majina hayo:-
Ufuta,Uyoga, nk
 
The Boss, where are u, au ndo umeingia mitini na mkwanja wetu mkuu.
 
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
LOLIONDO - au kwa jina la kitaalam Olea capensis - Nahitaji laki zangu tano wala siitaji majadiliano makubwa!!
 
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
Sihitaji chochote ile next time fikiria kwanza kabla ya kupost. Dunia ni kubwa na kiswahili ni kipana hata Andanega na Akida kuna baadhi ya maneno hawayajui
  1. Nyasi
  2. Ukoka
 
i'm guesing u missed some biology classes sleeping huh!

Uyoga (mushroom) ni crop au mmea na cha kustaajabisha ni nini hapo? naona wewe ndio umekaa macho darasa la biology lakini ulikuwa huelewi unachofundishwa. Au kiswahili huelewi:

Mushroom is a crop and can be cultivated.
 
Mushrooms are unique. They are neither animal or plant. Some people consider them plants for various reasons, but they differ from plants in that they lack the green chlorophyll that plants use to manufacture their own food and energy. For this reason they are placed in a Kingdom of their own," The Kingdom of Fungi".

It is just a matter of looking into plant characteristics and biological classification.
 
Uyoga (mushroom) ni crop au mmea na cha kustaajabisha ni nini hapo? naona wewe ndio umekaa macho darasa la biology lakini ulikuwa huelewi unachofundishwa. Au kiswahili huelewi:&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
&amp;lt;br /&amp;gt;&lt;br /&gt;<br />
Mushroom is a crop and can be cultivated.
ucwe kichwa ngumu,unakosea unakubali tu kwani kuna kosa, fungi ain't plantae unless you have some other proof that they have chlorophyll in them and should b placed in the same kingdom as them 'crops' you keep calling,you are allowed to present! I'm seeing a pretty good sleeper in class,cause this was obvious for any 'active' student!
 
Uyoga ni mmea, ukipenda usipende. Kumea hakuko kwa plants tuu. Be broad minded, hata kutu inamea. Tatizo ni lugha ya kiswahili inakupiga chenga na hauelewi maana ya kumea ni nini.
 
Uyoga (mushroom) ni crop au mmea na cha kustaajabisha ni nini hapo? naona wewe ndio umekaa macho darasa la biology lakini ulikuwa huelewi unachofundishwa. Au kiswahili huelewi:

Mushroom is a crop and can be cultivated.

Hello FF...
Nina kaswali fulani japo si kakubwa sana....kuna mtu ananibishia na kwasababu zangu nimekteua wewe unisaidia na kumaliza ubishi na hu rafiki yangu, swali lenyewe ni hili:-
"In which Kingdom does mushroom belong?"
I hope you will be of great help to me
Regards.
 
Uyoga ni mmea, ukipenda usipende. Kumea hakuko kwa plants tuu. Be broad minded, hata kutu inamea. Tatizo ni lugha ya kiswahili inakupiga chenga na hauelewi maana ya kumea ni nini.
duh haya bana ngoja nikubali yaisha i guess hata nyangumi ni samaki,penguin ni ndege,dolphin ni samaki pia,oooh wait even better a bat is a bird too!
 
Even aeroplane ni Ndege, ndege ni nini kama sio bird? hapo ndio utaelewa kuwa hata uyoga ni mmea!
 
Kwa mantiki yako, eropleni kama Boeing 787 ina paa angani, ina manyoya, ina kula, ina kunywa, ina kunya na inataga mayai kama vitongwa, kasuku, na njiwa, si ndiyo?

shit.jpg

​
 
duh haya bana ngoja nikubali yaisha i guess hata nyangumi ni samaki,penguin ni ndege,dolphin ni samaki pia,oooh wait even better a bat is a bird too!
Hapa nitasaidia kidogo:

Ni kweli Nyangumi (Whale), Pomboo (Dolphin) na mwingine anaitwa porpoises pamoja na Seal, ni Marine mammals ambapo mpaka sasa kuna makundi yasiopungua 120 species of mammal that are primarily ocean-dwelling or depend on the ocean for food.

Ila Penguins ni ndege hasiyeweza ruka... (flightless birds) which lack the ability to fly, relying instead on their ability to run or swim.
They are thought to have evolved from flying ancestors.

Kuhusu Popo (Bat), ni flying mammals.
 
Mtoa mada anataka MTI (Mmea) na si Nyasi wala ukoka... Mti kwa maana ya TREE.
 
Jee, maua kama waridi ni mti? Na ni kweli, maua siyo mmea? Ama baada ya kuuliza hivyo, kwa maana yako hapo juu, jee, mti ni nini, na mmea ni kitu gani?
 
Mkuu, mimea ipo ya aina nyingi, hata nyasi na ukoka ni mimea pia... Ila ili mmea (Plant) uitwe mti unabidi huwe na sifa ya kuweza kutoa mbao (woody plant).
 
Back
Top Bottom