zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza.....

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by The Boss, Aug 30, 2011.

 1. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #1
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
  ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
  na hapa nazungumzia mti,mimea
  miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
   
 2. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #2
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  Tuandikishiane kabla sijataja.
   
 3. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #3
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Hebu eleza kwanza utaratibu wa kutoa hiyo zawadi bila kuathiri faragha ya mshindi? maana nina majibu zaidi ya matano kwa haraka haraka.
   
 4. Keren_Happuch

  Keren_Happuch JF-Expert Member

  #4
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 1,880
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  mhhh!! yaani atakaweza kutaja jina la mti anapata laki tano au..............??????/
   
 5. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #5
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  acha nivute kalkuleta yangu! Mkuu laki tano ipo kweli au ahadi za CCM?
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  unataja mti huo hapa
  jina lake kwa kiswahili...
   
 7. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #7
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  mshindi ni mmoja tu atakae kuwa wa kwanza.....
   
 8. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #8
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  bamia....kabeji......bangi.......
   
 9. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #9
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,075
  Likes Received: 855
  Trophy Points: 280
  m inatumika kama kiwakilishi cha mti wowote wa matunda au mmea wowote,so itakuwa ngumu mkuu hasa ukichukulia dau lenyewe mia tano tu....
   
 10. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #10
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Naona kuna longo longo nyingi zimeanza, nakupa jibu laki tano kaa nazo, unajua matunda yanaitwa matufaa (apple) mti waka hauitwa mmatufaa bali unajina ambala halianzi na m.
   
 11. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #11
  Aug 30, 2011
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Hiyo siyo ,miti bana..................
   
 12. Nduka

  Nduka JF-Expert Member

  #12
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 3, 2008
  Messages: 8,479
  Likes Received: 760
  Trophy Points: 280
  Kwa kosa hili hata huyu yupo sahihi kabisa, unless tuambiwe bangi sio mmea.

   
 13. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #13
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Hahahaha... aisee kuna watu wanajua kusaka hela za Idi aisee khaaa!
   
 14. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #14
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  hebu utaje basi
  sio kilkabila
  ni kiswahili tu...
   
 15. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #15
  Aug 30, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,970
  Likes Received: 664
  Trophy Points: 280
  Jibu rahisi tu mkuu na utnipe tu hela zangu bila zogo nikasheherekee iddi mie nakutajia mingi iwezekanavyo:
  Grevelia, Parachichi, Jakaranda, Jetropha, Limao, Karatusi, n.k...
  Upo hapo!!!!!!!
   
 16. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #16
  Aug 30, 2011
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,463
  Trophy Points: 280
  nimesema mti kwanza,
  mmea kwa maana wapo watu
  mti au miti humaanisha maana nyingi nyingine
  hata sex....
   
 17. klorokwini

  klorokwini JF-Expert Member

  #17
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 8,710
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 135
  hehehe hii sredi sasa hivi itapelekwa jukwaa la wakubwa
   
 18. mshikachuma

  mshikachuma JF-Expert Member

  #18
  Aug 30, 2011
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 2,853
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Duu nimetafakari sana.....jibu sipata bali naona kiza tu
   
 19. Asprin

  Asprin JF-Expert Member

  #19
  Aug 30, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 50,841
  Likes Received: 23,459
  Trophy Points: 280
  Huu mti unaozungumziwa hapa ni ule wa jukwaa la maria roza au bustani ya Eden?
   
 20. B

  Babuyao JF-Expert Member

  #20
  Aug 30, 2011
  Joined: Jun 6, 2009
  Messages: 1,734
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Hauwezi ukawa mti halafu ukakosa kiambishi "m".
   
Loading...