zawadi ni sh laki tano kwa atakaeweza.....

Wala usishangae mkuu waafrika tuko advanced sana kwenye mawazo hayo lol!
Yaani wamesababisha hata Keren simuoni tena, sasa na nilikua sijamalizia mualiko wangu niliopata, naanza kuona Idd itakua chungu tena!
Maana mitaa hii kumkuta Keren ni nadrsa sana
 
mim nakutumia kwanza account number na makubaliano tuweke wazi mapema.....dalili za kuukosa huo mshiko hata baada ya kutoa jibu sahih...maana nina uhakika jibu ninalo..naogopa kuutaja huo mti kabla sijaridhia uwepo wa hicho kitita.
 
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
jibu mkuu ni ulezi mkwanja wangu..
 
nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.

alizeti.jpg

Alizeti
 
Guguchawi.jpg

Guguchawi - ni mmea unaodumu mwaka mmoja mwenye ua kubwa. Asili yake iko Amerika lakini imeenea pande nyingi za dunia


kitunguu.jpg

kitunguu.



Boss ukiamua kuninyima huo mkwanja umeamua tu lakini juhudi imefanyika mkuu wangu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom