vivian
JF-Expert Member
- Nov 2, 2009
- 1,805
- 1,228
hehehe hii sredi sasa hivi itapelekwa jukwaa la wakubwa
umeonaeee!!!
hehehe hii sredi sasa hivi itapelekwa jukwaa la wakubwa
hehehe hii sredi sasa hivi itapelekwa jukwaa la wakubwa
umemuona kumbeee?
anataka nimuoneshe mti ulipo lol
Huu mti unaozungumziwa hapa ni ule wa jukwaa la maria roza au bustani ya Eden?
Keren Bana unakua tomaso sasa mpaka uone?!Boss hapo sijaelewa kwa kweli.....uko wapi huo mti?????
Wewe kama si swaum ni bangi bila kula, anasema laki tano wewe unaona mia tano. Unanchekesha.m inatumika kama kiwakilishi cha mti wowote wa matunda au mmea wowote,so itakuwa ngumu mkuu hasa ukichukulia dau lenyewe mia tano tu....
Ukishachukua tukutane kwa mromboo hii Idd iende vizurikama nimepata niambie ili nikutumia account no...................lol
umemuona kumbeee?
anataka nimuoneshe mti ulipo lol
umeonaeee!!!
Keren Bana unakua tomaso sasa mpaka uone?!
unataja mti huo hapa
jina lake kwa kiswahili...
hapana mamito mie nilikua nauliza tu!Jamani hata wewe???.....sikuwa nimeelewa hii sentensi hapa chini....
hapana mamito mie nilikua nauliza tu!
Sasa Idd tunakula wapi? (Klorokwini usisome hapa)
Ewaaa at least now nna pa kuanzia, Thnx Keren nami nakuakikishia kabla hata jogoo hajawika ntakua hapo home kwenu!Karibu home...........
Mamito asante kwa kukubali ombi langu kuhusu avatar idd njema.Alistaafu huyu siku hizi wapo Funza dume wakishirikiana na Mr. Alex.
Boss hapo sijaelewa kwa kweli.....uko wapi huo mti?????
hehehe hii sredi sasa hivi itapelekwa jukwaa la wakubwa
umemuona kumbeee?
anataka nimuoneshe mti ulipo lol
Huu mti unaozungumziwa hapa ni ule wa jukwaa la maria roza au bustani ya Eden?
Dah!!! Aisee yaani watu wanataka MTI
Siwezi amini kua post hizi ndo zimesabisha mpaka tumejikuta wote tupo huku kwa maria Rosa?halaf bahati mbaya na mti ule pia umeanzia M.... kwa kiswahili fasaha. Dah! kwa ufupi tutawanyikeni, laki 5 haipatikani
Smily si patakuwa crowded wajameni ukizingatia nimeshajaa tele humu ndani ? hahaha! hujambo lakini,idd njema.Karibu home...........
Bosstiful;nitajie jina la kiswahili la mti wowote ule
ambao hauitwi kwa kuanza na herufi m......
na hapa nazungumzia mti,mimea
miti ya kupandwa ardhini...mfano mwembe,muarobaini, n,k.
Wala usishangae mkuu waafrika tuko advanced sana kwenye mawazo hayo lol!Siwezi amini kua post hizi ndo zimesabisha mpaka tumejikuta wote tupo huku kwa maria Rosa?
Mod please hebu fafanueni hapa
aisee we subiri idd pili bana..Smily si patakuwa crowded wajameni ukizingatia nimeshajaa tele humu ndani ? hahaha! hujambo lakini,idd njema.