Feeling Haillee
JF-Expert Member
- Sep 27, 2016
- 205
- 97
Kwani kufunga hya tunalazimishana??, hawa jamaa VP???Znz ikifika kipindi cha ramadhani, ukienda dukani kununua vyakula vya fast food hawakuuziiw(mfano soda, mikate, maji)...
Na hata ukishikwa na kiu, ukasema uende kuomba maji kwenye nyumba hawakupi.
Inshort wanabana mianya yote ya watu kula mchana, unakuta vyakula vinauzwa hotels za kitalii tu,
Na hata kama ni mkristo, wakikuona unakula njiani wanaweza kukufanyia vurugu,