Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Zanzibar: Watakaokula mchana hadharani Ramadhani kukiona

Status
Not open for further replies.
Sasa kama kila dini kuheshimu dini nyingine, kwanini waislamu nao wasile kama wakristo ili kuheshimu ukristo, mbona wao wanakula hadharani wakati ya kwaresma? Huyu kiongozi atakua na vyeti feki.
Nyinyi wenyewe kwaresma hamuiheshimu
 
Kushinda nyinyi ambao mnafanya vitu VIS VASA!? Wanaume hawatahiriwi na badala yake wanaweza wanatahiriwa.

Hii ndio shida ya kuwa mwanakondoo mfuata mkumbo!! Ndio maana mnalishwa majani na kuchomwa moto na kibwetere.
Mkuu nyie huwa ni mazuzu tu hamjui kuwa dini ni utashi wa mtu nyie mnalazimishana kufunga tu
 
Naomba kuuliza mbna wakati wa Ramadhan kitimoto huwa haiuziki kwa xana AF hata wateja wa bar hupungua

Ukiona hivyo ujue makafiri wanaojifanya waislamu kipindi hicho huwa wanamuogopa M/Mungu hivyo huwa wanaacha mabaya yao kwa kuwa ramadhani ni mwezi mtukufu.

Muislamu wakweli hali nguruwe wala kunywa pombe, kuzini, kulawiti au kulawitiwa, kusengenya, kusema uongo, kudhulumu, kuiba, n.k.

Ukimuona Abdalla, Ali, Salma, Asha wanayafanya hayo hapo juu ujue hao ni makafiri.
 
Makafiri mnawajua nyie Sie tunachojua waislam wanakula nguruwe as well as Balimi
 
Ukishaona jambo linalazimishwa elewa halina mvuto tena , hizi imani za kulazimishana zina mushkheri , yakhe !
Zanzibar Maqafiri wame vamia tu sasa kama wamevamia Lazima wafuate masharti ya kule hilo halipingiki. Msipaniki kwa hilo ukienda ugenini usitake upange ratiba ya msosi ww kaa upangiwe. Izo mnaleta tabia za kigalatia wasio na Akili
 
Kwani zanzibar hakuna ukristo,wakristo kwa taarifa yako kama hujui ukristo ndiyo uliotangulia kufika kule.Kasome vitabu.

Soma wewe vitabu maana mkristo wa kwanza kukanyaga Zanzibar alikuwa Vasco Da Gama 1498 wakati ambapo waarabu walishazoeleka Zanzibar.

Usahihi ni kuwa ukristo kwa Tanzania ulianzia Zanzibar kwanza lakini haukupata wafuasi kutoka kwa wenyeji kwa kuwa waliutambua sio dili hivyo wakauacha upite kuelekea Danganyika.
 
Ww unaamini kuna dini 2 tu huku duniani. Na kwa bahati mbaya sana unadhani dini ni jina. Kuna watu wamezaliwa katika dini zao na baadae kuna mambo hawaoni umuhimu wa kuyafuata, hapo ni jambo la ushawishi na sio shuruti kutii. Kikubwa hapa tunasema hili ni jambo la kiimani ambalo sio wajibu wa serekali kwa watu wake.
Tatito lenu mkienda ugenini hamtaki kufuata kanuni za mwenyeji wako unataka kupanga wewe kanuni zako. Nahii ipo kwa MAQAFIRI wote kama unajiona uwezi masharti ya ugenini kwako huya wezi nibora urudi kwenu.
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Kwani nyie mnafunga au mnafanya utani !.? ati kuacha kunywa bia pia ni kufunga badala yake unywe soda !
 
Dini huwa haihitaji mapresha na kukomeshana! Ni hekima,busara nautiifu...wanahisi mtu akila hadharani atawatoa udenda au? Mola angesimamia sheria hivyo Leo tungekuwaje?Mambo ya warabu tuwaachie Wao na ugaidi Wao Kama wazungu walivowaachia ushoga wao
 
Watu wengine hawana matatizo ila waislam. Nafikiri unajua wazi wanaume nao kuna mda wanavaa hijab kwenda kufanya ugaid, wizi nk. Ndo maana wamepiga mrafuku. Halafhwa knaitu sikindi am nitata nafasi ya kuwa rais nitakifutilia mbali. Adhana. Hii ni kero unakuta mispika usiku saa kumi wanaadhiniswal swala. Mnaamsha hata ambao haiwahusu. Kwa nn msiamshane nyie kwa nyie. Huko znz ukipatikana unakula mwezi wa ramadhani unashida, ukiuza chakula mchana mwezi wa ramadhani unashida

Kwani wewe wamekulazimisha uishi katika miji ya waislamu!!?? Si ungalibakia huko huko kwenye miji yenu ya kikristo!!!???

Mmejazana Dar tele kwenye mji wa waislamu hivyo kubalini na vumilieni mambo wanayofanya wenyeji hata kama unakereka!!

Au unadhani wenyeji wa Dar wanafurahia misebene yenu mnayoipiga kwenye makanisa yenu ambayo yanaota kila siku kama uyoga kwenye mji wao!!!
 
Ngoma ya kiislam mnataka hata wapagani waicheze?? Ajabu sana hii
 
SERIKALI ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ) imetoa onyo kwa wananchi watakaokula hadharani katika kipindi cha mchana wakati wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, hatua za kisheria zitachukuliwa dhidi yao.

Hayo yalisemwa na Naibu Waziri wa Katiba, Sheria, Utumishi wa Umma, Khamis Juma Maalim wakati akijibu swali la mwakilishi wa jimbo la Paje, Jaku Hashim Ayoub aliyetaka kujua serikali inatoa tahadhari gani kwa watu watakaobainika kula mchana wakati wa Mwezi mtukufu wa Ramadhani.

Alisema utamaduni wa wananchi wa Zanzibar ni kuheshimu kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani kwa makundi yote ikiwemo wa dini tofauti. Alifahamisha kwamba utamaduni huo upo hata kabla ya Mapinduzi ya Januari 12 mwaka 1964 wa dini tofauti kuheshimu dini za watu wengine.

Alisema kazi ya kutoa elimu kuhusu ujio wa mwezi mtukufu wa Ramadhani imeanza kutolewa na Ofisi ya mufti ambayo ndiyo yenye jukumu la kushughulikia masuala ya mambo ya dini ya Kiislamu.

Alisema kazi kama hiyo imeanza kutolewa na maimamu wakuu wa misikiti mbalimbali Unguja na Pemba ikiwemo katika sala za Ijumaa ambazo hukusanya idadi kubwa ya Waislamu kwa wakati mmoja.

Alikiri kuwepo vijana wengi wanaoacha kufunga katika kipindi cha mwezi mtukufu wa Ramadhani na kula hovyo pamoja na kuvuta sigara. Maalim alisema zipo taarifa kwamba hoteli nyingi hufanya kazi wakati wa mwezi mtukufu wa Ramadhani ambapo wateja wake wakubwa ni vijana wa Kiislamu. Waislamu nchini wanatazamiwa kuanza mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani wiki ijayo ambapo ibada ya funga ni moja ya nguzo tano za dini ya Kiislamu

Chanzo: Habari Leo
=====================================
Nataka kujua kipindi kwa kwaresma mbona hawakutoa tamko hili.

Kwaio wakristo wawe wanajificha wakati wa chakula cha mchana.

Hapana naona kuna harufu ya udini kuanza Zanzibar.
Nitakuona ww kilaza ukishangaa udini zanzibar mbona uhoji uwepo wa Qadhi,luninga ya Smz hurusha vipindi vya Dini moja tu ya kiislamu,au huo sio udini ? Tumieni akilizenu jamani hilo linajulinana. Zile alakati zenu za kuchinja ziliishia wapi vile?. Kataarifa yako Kwaresma sio kufunga eti unywe soda baada ya kunywa bia useme umefunga huo si utahira huo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom