Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

Mbona hao vijana sijaona fujo waliofanya? Zaidi ya kufunga maduka tena kwa amani kabisa.
 
Kwani Lugalo nje hakuna barabara ya kwenda Bagamoyo?
Si walikuwa wanamfuata kwa nyuma wakiitafuta site ya kufanya uhalifu wao!!!
Au mwenzetu umeelewa kambini ni ndani wanapotunzia silaha?
Waone hawa hapa!
IMG-20201025-WA0023.jpg
 
Meseji za whatsap huwa hazifanani ivyo, pia mawasiliano hayo ni ya kutengeneza.

Lkn hata kama ni ivyo matendo ya vyombo vya dola ni ya kipuuzi sana, wanafanya uhalifu kwa wapinzan mda wote.

Wamewakamata viongozi wa chadema kanda ya ziwa ati wana kadi za watu za kupigia kura, ivi hili zoezi la kutafuta mawakala haliitaji kutolewa kopi ya vitambulisho vya nec vya mawakala kwa ajili ya kuambatanishwa.

Askari hawa hawalijui hili?? Mbona hata nec wenyewe hawalisemei hilo? Ayo ni maandalizi ya mbeleko kwa ccm
Uongo wenu umebainika! Uongo unamwisho wake!
 
Huyu bwana ni katibu wa ACT Wazalendo visiwani, sasa kutokana na wazanzibari kuwakataa ameamua kutumia njia ya kusingizia kutekwa ili apate kura za huruma.

ZEC toeni adhabu kali
Kwa akiri yako aliyekataliwa Zanzibar ni ACT au mbogamboga? Unajitoa ufaham ee!
 
Back
Top Bottom