kambi ya jeshi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MK254

    Kambi ya jeshi la Urusi kwenye ziwa Black sea yalipuliwa na wanajeshi wa Ukraine

    Hamna kinachosazwa, vinalipuliwa vyote... The Armed Forces of Ukraine have confirmed that they successfully attacked the command post of the Russian Black Sea Fleet near Sevastopol on the morning of 20 September. Source: Directorate of Strategic Communications of the Armed Forces of Ukraine...
  2. JanguKamaJangu

    Burkina Faso: Wanajeshi 11 wafariki katika shambulio kwenye Kambi ya Jeshi

    Wanajeshi 11 wameuawa huku wengine kadhaa wakijeruhiwa katika shambulio lililotokea Katika Kambi ya Jeshi Mashariki mwa Burkina Faso, lakini Jeshi lilijibu mapigo na kuwaua waasi 15 wakati wakitoroka baada ya kufanya shambulizi hilo. Kwa miaka sita taifa hilo limekuwa likisumbuliwa na mapigano...
  3. MakinikiA

    Wababe wa kivita Urusi inapanga kujenga kambi ya Jeshi lake Afrika

    Rais wa Urusi Vladimir Putin ameidhinisha kuendelezwa kwa makubaliano na Sudan ya kuanzishwa kwa kambi ya jeshi katika pwani ya Bahari Nyekundi. Urusi inapanga kujenga kituo cha usafirishaji na ukarabati kwa jeshi lake la majini ambacho kitakuwa na wafanyakazi wasiozidi 300. Rasimu ya...
  4. ACT Wazalendo

    Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

    Vikosi vya SMZ jana usiku walivamia Barza ya Mwanakombo; hii ni Ofisi ya Ngome ya Vijana wa @ACTwazalendo. Vitu walivyoiba ni Tv na Viatu, pia waliondoka na Mlingoti wa Bendera. Aidha leo hii Naibu Katibu Mkuu wetu upande wa Zanzibar ametekwa na watu wanaosemakana kuwa ni Vijana wa Jeshi...
  5. FRANC THE GREAT

    Raia wawili wa China wakamatwa wakipiga picha kambi ya jeshi la Marekani

    Shirika la upelelezi nchini Marekani, FBI liliwakamata raia wawili wa China mwishoni mwa juma kwa kosa la kupiga picha kinyume cha sheria kambi ya Jeshi la majini la Marekani huko Florida. Hili ni tukio la pili kufichuliwa na mamlaka hiyo, matukio ambayo yamekuwa yakitekelezwa na raia wa China...
  6. Titicomb

    CDF Mabeyo asilaumiwe: Usalama kupitia njia ya kuficha kitu au usiri sio salama kama inavyo dhaniwa

    Salam wana JF. Leo ningependa tujadili lawama anazopewa CDF General Mabeyo baada ya kuonekana kama ameleeza mengi yaliyo paswa kuwa siri kuhusu ujenzi wa Makao Makuu Ya Jeshi la Wnanchi (JWTZ) kule Dodoma. Katika kutoa maelezo yake ilionekana kama amefichua sehemu za kimkakati ambazo zitakuwa...
Back
Top Bottom