Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

Jibu swali alifuata nini kwenye Kambi ya Jeshi?
Hivi mtu akitekwa akiwa njiani pale Lugalo au monduli au Tanganyika Packers au Makutupora utauliza alifuata nini kambi ya Jeshi. Watu wenye akili za kushikiwa hawawezi fikiria nje ya box kwa sababu wako brain washed and they can never have reasonable thinking bali ushabiki unakuwa ni brain and bloodkatika miili yao.
 
Huyu bwana ni katibu wa ACT Wazalendo visiwani, sasa kutokana na wazanzibari kuwakataa ameamua kutumia njia ya kusingizia kutekwa ili apate kura za huruma.

ZEC toeni adhabu kali
 
Kuanzia sasa ngome zote za wagombea ubunge na mgombea urais na madiwani wawe makini, ngome zao zitavamiwa sana na mapolis na wanaccm. Uchaguzi ni vita.
 
Kama hakuja external military intervention/strong diplomacy, kuna maafa makubwa yanakuja
Yaani CCM maji ya puani. Hawana alternative zaidi ya kuwa kama magaidi. Hawana tena mvuto kwa watu zaidi ya kutumia uharamia.
 
Bila .... nini nyie si majasiri andikeni kusudio lenu.

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
Watz wakisema wanataka maendeleo yao wala sio vitu hapo utasemaje? aacha demokrasia ifuate mkondo wake hayo ndio maendeleo, maendeleo ya enzi za hitler, makaburu, Ghadafi nk watu hawataki kwahiyo usilazimishe mambo.
 
Back
Top Bottom