Zanzibar 2020 Zanzibar: Vikosi vya SMZ Vyavamia Ofisi ya Ngome ya Vijana wa ACT-Wazalendo. Nassor Ahmed Mazrui atekwa

Watz wakisema wanataka maendeleo yao wala sio vitu hapo utasemaje? aacha demokrasia ifuate mkondo wake hayo ndio maendeleo, maendeleo ya enzi za hitler, makaburu, Ghadafi nk watu hawataki kwahiyo usilazimishe mambo.
Hivi unaelewaje unaposikia neno MAENDELEO?

JPM ANATOSHA
CCM KWA MAENDELEO YA TANZANIA
 
Jibu swali alifuata nini kwenye Kambi ya Jeshi?
Maswali ya wana CCM Mpya bwana! We unaona kuna Swali hapo?? Unaambiwa alikuwa maeneo ya Kambi ya Jeshi sio kuwa alienda Jeshini.

Kwani tunazuiwa kupita karibu na Kambi au Ofisi za Jeshi?
 
Watanganyika ni binadamu kama binadamu wowote wale na wanaweza kufanya yale yote yanayofanywa na binadamu wengine sehemu nyingine za dunia watakapopata sababu za kufanya hivyo.
Kutekana kuuana sio sifa ya watanganyika
 
Mtalialia mpk lini?

Mna mitaji ya watu, mna miguu sawa na wao, mna macho sawa na wao, mna kila kitu walichonacho wao - kulialia mnatuthibitishia jinsi gani mlivyokuwa wajinga

CCM hatushindwi
 
Jamani kama nikweli anzeni nanyinyi kuteka wakwao umoja unaenda unapotea masikini Tanzania yangu
 
Hao ni wahuni mnadili nao kihuni sababu wamefanya uvamizi ni kuwafungulia Moto tu sheria inaruhusu.
 
Certified gang criminal, eti tiss wapo bize kulinda chama chakavu badala ya kulinda nchi. Wa wenzetu wapo bize kusaka fursa za uchumi ugenini kwa faida ya nchi zao.
 
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa hiyari lazima kuwe na shurba.Ukiona hivi ujue CCM imefikia mwisho kabisa wa hatua za kukata roho.Sasa hivi hawapambani kisiasa,wanatumia mbinu zao zote,ikiwezekana hata kuingiza vifaru barabarani kujinusuru!
 
Back
Top Bottom