Yesu Anakuja
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 9,473
- 19,269
we jamaa famba kweli. ati Zanzibar ni Tel aviv ijayo, hivi unaijua vizuri Tel aviv? unaweza kufananisha huo uchafu na tel aviv? Tel aviv ni jiji bora la kisasa na la kimagharibi, jiji tajiri na limekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka mingi, hakuna mashoga kama huko zenji (kama wapo ni kama walivyo tu huku bara), au unamaanisha nini kusema zanzibar ni tel aviv ijayo? foolish kabisa.Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa
Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar
Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar
Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku
Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.
Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki
Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.
Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu
Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki
Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo
Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"
Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema