Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Deceiver

JF-Expert Member
Apr 19, 2018
7,351
2,000
nakuhakikishia usukumani wala umasaini hakunaga mipunga hiyo, ila kinachonikera ni kwamba huwa wanagonga ng'ombe na m buzi/kondoo wakiwa maporini huko machungani, walewale ng'ombe ambao tunawala nyama. kuna msukuma mmoja aliniambia ukweli kabisa kuwa wao mbunye za kwanza kujifunzia wanaanziaga machungani kwenye mifugo. sisi sote tumetoka vijijini, hadi naingia chuo na kujua mitandao/internet, nilikuwa sijajua kitu kinaitwa kufiranaa na awali niliposikia story nilikuwa siamini kwasababu nilikuwa sijui inatokeajetokeaje, kwamba mtu anaweza kuiingiza kitu kwenye kinyeesiss, haiji kichwani.
Naona Kaka umeongea ukweli wako kabisa.

Kuna chali mmoja aliendaga Mbeya enzi hizo kabla ya utandawazi alilala na mdada wa kinyakyusa kufika usiku jamaa akaomba jicho. Aisee, palichimbika bila jembe. Kipindi hicho wanyakyusa bado washamba sana, haikumuingia akilini mmama wa kinyakyusa kwamba rivasi nayo Ni sehemu ya starehe.

Kwa Hawa wa Dar siku hizi wamejanjaruka ukienda nao usipokua makini utajikuta unakoroga zege.

Ukiingia nae gesti akikuambia anakwenda chooni kabla ya mchezo. Chukua tahadhari otherwise utaingizwa kingi.
 
BLACK_HERMIT

Member
Nov 21, 2015
90
125
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Bado unamumunya, ebu funguka na kuwa deep kidogo mkuu ueleweke vizuri.
 
dos.2020

JF-Expert Member
Feb 17, 2009
5,024
2,000
Kuna kabinti nilikuwa naishi nako mtaa mmoja pale moro enzi zile japo kalikuwa mcharuko dizaini fulani ila sio sana

Kalifeli 4m4 kakawa kanafanya kazi huku na huko .

Nikaja sikia kameibukia zanzibar kanafanya kazi hotelini

Sasa juzi kati kamerudi moro mama yake amedanji nikapata taarifa kamebadilika mbaya sana

Kwanza amenawiri kidogo msabwanda umefutuka kajichora matattoo Yale permanent mwili mzima ,katoga sikio lote na pua juu yaani full gangsta sijui ucharuko

Kwenye msiba mamake anavaa mavitenge anajificha ficha ila watu washamshtukia .

Huko Zanzibar nahisi "anauza" hafanyi kazi hotelini

Ni wengi sana hao mkuu, vijana wengi hasa wa kike huzamia Zanzibar kwa lengo la kutafuta kazi kwenye mahoteli, ukihadithiwa story mitaani unawezaona ni rahisi kutisua, ila sio hivo kabisa, mana wanaotafuta hizo kazi ni wengi kuliko hata uwezo wa hizo hoteli zenyewe, Kila mwaka kuna wabara wengi sana wanaoelekea zanzibar kwenda kujaribu bahati zao, Kuna wakenya, wataliano na wazungu wengine, mbali na wenyeji wa zanzibar. kwahiyo sio rahisi kabisa kutisua.

Sasa wengi wakishafika kule straggle zikishakua nyingi huishia kwenye ukahaba tu wakaamua kuishi kwa misingi hiyo.
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,757
2,000
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Na watalii wengi wanaokuja Zanzibar wanafuata kufilana tu ...
 
sinajinasasa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
2,757
2,000
Ni ujinga kukaa na kuwazia kuwa huyu anafilwa au hafilwi..ni mawazo ya kijinga sana haya...
Yaani jitu zima linatembea barabarani kutazama mbele yake na kuanza kudhania huyu bila shaka ji shoga!! Ili iweje
 
Mwamba 777

JF-Expert Member
Nov 23, 2020
1,036
2,000
Hizi ndizo siku za Mwisho wa Dunia kama ilivyotabiwa katika vitabu vitakatifu vya Mungu.
Chukua hatua ujisalimishe kwa Muhukumu wa Ulimwengu anayekuja,
John5:21-23
2Wakorintho5:10
Tazama anakuja,
Ufunuo22:12-14
hata enzi za kina petro walisema kama wewe siku za mwisho, sasa ni zaidi ya miaka elfu mbili imepita. Hiyo siku ya mwisho mtaisubiri sana.

Afu hata mambo yanayofanyika sasa ni kwamba yanajirudia tuu, mengi yalishaga tokea. Kwa mfano: Sodoma na Ghomora (mambo ya kishoga) yalishafanyikaga enzi na enzi, sasahivi yanajirudia tuu. Hakuna jipya.
 
Lengutee

Member
Feb 16, 2011
58
125
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Nyoosha maelezo
 
Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
5,796

Znz.. ..

Ni sehemu ya utalii..wengi Tena ni wengi wanao deal na hiyo biashara ni wageni..tuwe wakweli..

Ukichunguza kwa kutulia utagundua..ule mji una haribiwa na watafutaji..kutoka sehemu tofauti mpaka nje ya Tz...wanataka vya wazungu..

Ukienda shamba zisizo na balaa la utalii ndio utaona ..wenyeji wanaishi vipi...

Ni kweli utalii umeharibu sana kwa kuleta watu mbali mbali wenye Tabia tofauti ..ndio maana ...wenyeji hawaitaki ile chama ya mboga mboga..maana ndio ime ruhusu zahma hizo.

Hata huko Pemba ..wameanza kujenga mahoteli na kukaribisha wafanya kazi na watafutaji pesa toka kwa wageni kuanza kufukuzia... ..

Wasubirie maharibiko makubwa tu!

Ila Dar..Tanga na Arusha jumlisha Dodoma

znz ipo nyuma na ndio wengi wanao vuka maji ..kwenda kudanga!
 
wee mtoto wa kizanzibar acha kujiteteeni, usikute wee mwenyewe ulishaonjwa ndogo. Maana asilimia 99.999% ya wazanzibar ndo michezo yao.
 
kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
6,388

Aisee
 
antimatter

JF-Expert Member
Feb 26, 2017
17,814
2,000
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Wameharibika vipi?
Wizi, au?
 
Mine eyes

JF-Expert Member
Apr 11, 2016
5,796
2,000
wee mtoto wa kizanzibar acha kujiteteeni, usikute wee mwenyewe ulishaonjwa ndogo. Maana asilimia 99.999% ya wazanzibar ndo michezo yao.
Hamna kitu...hapo..

Unaoongea mbovu Kama ulivyo m'bovu

Ulitakiwa kuongea kwa mantiki na si kushambulia watu... ...

Siwezi kujibizana na' bumbwi '...

Hao hao wapemba ndio wanaoa watu Kama nyie..vibaura!

Pole Sana...
 
nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
542
1,000
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Jaribu kuwa mkweli hata kama haikupendezi mi ningeona uko neutral ungesema kituo cha utamaduni wa kiarabu.
 
nyongolwe

JF-Expert Member
May 25, 2020
542
1,000
Ukisema znz ni Pemba na Unguja

Unguja ni kweli imeharibika sana haswa kwenye masuala ya ushoga

Ila pemba bado iko salama sana nafikiri ni kutokana na misimamo yao mikali na kuweka taratibu za kulinda maadili yao

Kuna kipindi nilikuwa kule siku ya sikukuu tulienda beach moja inaitwa vumawimbi beach,tulijiachia na nguo zetu za kuogelea wakaja mashekh na viongozi wa kijiji wakasema marufuku mwanaume au mwanamke kuoga na nguo fup yaan utafute track,jinzi au suruali ndio uogelee pia kama unataka uoge na mwanamke muonyeshe cheti cha ndoa.Tulileta ubishi tukachezea sana fimbo,tukaenda polisi kushtak tukaambiwa ilitakiwa tufuate taratibu za kijiji hivyo tukajifunze upya sheria za hapo.

Miaka sita sasa imepita sijaenda tena,wapemba pia ni wakarimu sana kwa wagen hata kama huna mwenyeji utapata pa kuishi na utapewa hadi shamba ulime na hawana ubaguzi kama utaishi nao vzr.Ila kwenye kuoa ndio pagumu huwez kupewa mke kama haujamaliza miaka kumi labda uwe na mzee mwenyeji wako akupiganie sana
Simba mwenye watoto ndiye mkali zaidi anajua watoto waliwa sana,wazee wanajihami
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom