Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,992
17,892
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
 
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana...

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
Ukimaliza nenda Arusha ukarushwerushwe na machalii mpaka roho itulie.
 
Back
Top Bottom