Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
we jamaa famba kweli. ati Zanzibar ni Tel aviv ijayo, hivi unaijua vizuri Tel aviv? unaweza kufananisha huo uchafu na tel aviv? Tel aviv ni jiji bora la kisasa na la kimagharibi, jiji tajiri na limekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka mingi, hakuna mashoga kama huko zenji (kama wapo ni kama walivyo tu huku bara), au unamaanisha nini kusema zanzibar ni tel aviv ijayo? foolish kabisa.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Ukisema znz ni Pemba na Unguja

Unguja ni kweli imeharibika sana haswa kwenye masuala ya ushoga

Ila pemba bado iko salama sana nafikiri ni kutokana na misimamo yao mikali na kuweka taratibu za kulinda maadili yao

Kuna kipindi nilikuwa kule siku ya sikukuu tulienda beach moja inaitwa vumawimbi beach,tulijiachia na nguo zetu za kuogelea wakaja mashekh na viongozi wa kijiji wakasema marufuku mwanaume au mwanamke kuoga na nguo fup yaan utafute track,jinzi au suruali ndio uogelee pia kama unataka uoge na mwanamke muonyeshe cheti cha ndoa.Tulileta ubishi tukachezea sana fimbo,tukaenda polisi kushtak tukaambiwa ilitakiwa tufuate taratibu za kijiji hivyo tukajifunze upya sheria za hapo.

Miaka sita sasa imepita sijaenda tena,wapemba pia ni wakarimu sana kwa wagen hata kama huna mwenyeji utapata pa kuishi na utapewa hadi shamba ulime na hawana ubaguzi kama utaishi nao vzr.Ila kwenye kuoa ndio pagumu huwez kupewa mke kama haujamaliza miaka kumi labda uwe na mzee mwenyeji wako akupiganie sana
ati pemba ambako ndio kwa wapemba waliosambaa hadi mombasa ndio kwenye usalama? wapemba popote wanapoonekana duniani kote inajulikana weka mbali na watoto wako, wanaharibu vitoto. hakuna mwanamke aliyeolewa na mpemba aliyesalimika. kuna kimwanamke nilikuwa nacho kilizaa watoto na mpemba kikaachika, kiliniomba nimle kiboga ati alizoeshwa na mpemba wake....ujinga, stimu ilikata nikafukuza. nani avumilie harufu ya kinyesi? ujinga mtupu.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Mashoga mbona wapo wengi sana hata huko kwenu usukumani.
hakuna ukweli wowote, bara na maeneo ya ukristo au upagani hayo mambo hayapo, na mtu akifilwaa yupo tayari hata kujiua. ila sio zanzibar. zanzibar imesifika sana kwa huo uchafu, na wapemba wote hata huku mikoani wakija wanaangaliwa kwa jicho la tofauti. kaeni na ushoga wenu hukohuko msiusambaze huku bara.
 
mauRT

Member
Mar 7, 2017
71
125
Unajuwa lazima uwe na facts unapoongea mambo haya publicly. Of course mi nitasema yeah to some extent yes kwamba kuna changes toffauti na hapo awali, say mimi nimeenda znz 2016 haikuwa kama ilivyo sasa. Lakini haijafika level hiyo kama jamaa kaizungumzia. Kwanza ukabaji znz very little, pili znz bado unaweza ukakutana na mtu kajuani but mkiongea anakupeleka kwake au mahali pa msaada, tatu, znz ni kisiwa, 45%+ ya watu wake ni wakuja so kuiona iko hapo bado iko embeded na maadili sana..
Na uhakika wazungu wanavyofanyaga huko laiti ingekuwa bara, mngeshuhudia hali ya juu kabisa ya mabadiliko ya vijana.
Binafsi naiona bado iko safe, si kama mtu anaweza iona
 
brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
14,906
2,000
Usukumani ya wapi? ya Mombasa au.....Mtu mwenye marinda yake anashika jembe la ng'ombe mpaka ushuzi unatoka je kama marinda yamefumuliwa si ndio utumbo mnene na mwembamba vitaninginia kwenye suruali!
Wasukuma ndio jamii iliyobaki na wanaume imara duniani!
Pumzika kwa amani JIWE, ungekuwepo Tony Brair angekuja kutalii tu na kuondoka ila sasa hivi ndiye katibu mwenezi wa Ikulu!

IMG_20211019_220938_057.jpg
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,961
2,000
we jamaa famba kweli. ati Zanzibar ni Tel aviv ijayo, hivi unaijua vizuri Tel aviv? unaweza kufananisha huo uchafu na tel aviv? Tel aviv ni jiji bora la kisasa na la kimagharibi, jiji tajiri na limekuwa mji mkuu wa Israel kwa miaka mingi, hakuna mashoga kama huko zenji (kama wapo ni kama walivyo tu huku bara), au unamaanisha nini kusema zanzibar ni tel aviv ijayo? foolish kabisa.
Huijui Tel Aviv wewe
Naona unabwatuka tu hapa mangapulila wa upinde wa mvua wanapaita Heaven gay
Na experience na unguja Kuna mangapulila ya kutosha pale na
Nimeshuhudia majamaa mengi yanayopumuliana visogoni yameongozana kuja tour Zenj mengi yanatoka Tel Aviv ule mji una mabalaa Sana
Kama Naona nakupiga Kamba
Ingia google search Heaven gay utaona mauza uza yake Yana mpaka sherehe zao maalum majamaa ya taifa teule utazimia nakuambia!
 
Mbuyimayi

JF-Expert Member
Jan 24, 2013
515
1,000
israel hakuna ufirauni kama huo unaofanywa wewe, usifananishe israel na uchafu wako pimbi we.

Tel Aviv ni safe heaven ya hao ‘rainbow’ sina maana ya kuitweza lkn huo ndo ukweli , fanya uchunguzi mkuu na kuna parade zao na huko ndo huwa wako safe zaidi
 
Dumas the terrible

JF-Expert Member
Jan 20, 2021
1,961
2,000
Tel Aviv ni safe heaven ya hao ‘rainbow’ sina maana ya kuitweza lkn huo ndo ukweli , fanya uchunguzi mkuu na kuna parade zao na huko ndo huwa wako safe zaidi
Huyo Myahudi mweusi ana mahaba yaliyopitiliza na taifa teule bila kujua miji Kama Tel Aviv ni mbingu ya machoko wengi hawana information kabisa ila Mimi binafsi nimewahi yapokea hayo majamaa Kwa wingi Kwenye hotel Moja pale Unguja Kwa kweli inasikitisha Sana Yaani nilikua Sina namna kwa sababu ilikua job tu ila ndio hivyo mangapulila!
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,331
2,000
hakuna ukweli wowote, bara na maeneo ya ukristo au upagani hayo mambo hayapo, na mtu akifilwaa yupo tayari hata kujiua. ila sio zanzibar. zanzibar imesifika sana kwa huo uchafu, na wapemba wote hata huku mikoani wakija wanaangaliwa kwa jicho la tofauti. kaeni na ushoga wenu hukohuko msiusambaze huku bara.
Duuuh....

Unaongea kuwakandia hao ndugu zetu ama una uhakika usemacho??!!

Ungekuwa umeishi Greece na Luxembourg usingeongea maneno hayo 🤣🤣

IMHO dunia hii imejaa watu wa tabia hizo in all walks of life....

Ukitembea na kuzunguka unabaki tu kuangalia na kuwaachia wenyewe.....
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Huijui Tel Aviv wewe
Naona unabwatuka tu hapa mangapulila wa upinde wa mvua wanapaita Heaven gay
Na experience na unguja Kuna mangapulila ya kutosha pale na
Nimeshuhudia majamaa mengi yanayopumuliana visogoni yameongozana kuja tour Zenj mengi yanatoka Tel Aviv ule mji una mabalaa Sana
Kama Naona nakupiga Kamba
Ingia google search Heaven gay utaona mauza uza yake Yana mpaka sherehe zao maalum majamaa ya taifa teule utazimia nakuambia!
wewe mpumbavu, sherehe hizo za mapunga zipo duniani kote, kama umeshafika ulaya ungesikia "...parade..", sitaki hata kutaja jina kwasababu nachukia mno icho kitendo. Israel has all western values na kwa bahati mbaya wazungu wooote unaowaona wanakuja hata hapa tz, hao wazungu wanawake hawanaga marinda, ni kitu cha kawaida sana ndio maana upunga ulaya unapigiwa chapuo sana kwasababu hata wanawake wao asilimia 80 hawanaga marinda kwasababu wanapenda kujaribu kila kitu tangu wakiwa teenagers, na inasemekana ukijaribu tu kuliwa linda shatani anakuingia hautakuja kuacha, hivyo wanakuja kuolewa wanaendeleza kwenye ndoa. hii inafanya waone upunga sio kitu cha ajabu kwasababu hata wake zao wanatoa tigo izoizo....

lakini ukweli ni kwamba, ushoga israel sio mwingi na wa kawaida kama ulivyo US, na nchi zingine za Ulaya. Israel kama nchi hairuhusu ndoa za jinsia moja, na pia ni kosa. kumbuka asilimia kubwa sana ya wayahudi ni extremists wa kiyahudi, ni wale wanafuga ndevu na wanaamini nchi yao inatakiwa kufuata dini ya kiyahudi, na wanamaanisha sio kama waarabu wanaojifanya kufuata sana dini lakini mabinti zao wote hawana marinda na ni wao wameyatoa.....wayahudi wanamaanisha. hivyo usiichafue sanaaa tel aviv, amini usiamini, hayo maovu yapo mengi zanzibar kuliko hata israel.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Duuuh....

Unaongea kuwakandia hao ndugu zetu ama una uhakika usemacho??!!

Ungekuwa umeishi Greece na Luxembourg usingeongea maneno hayo 🤣🤣

IMHO dunia hii imejaa watu wa tabia hizo in all walks of life....

Ukitembea na kuzunguka unabaki tu kuangalia na kuwaachia wenyewe.....
ulaya yote imejaa watu wasio na marinda, majority ya wanawake hawana marinda, wanaume mashoga pia ni wengi. discuss hapa africa ukiondoa south africa, ....ila kwa ulaya nakubaliana na wewe ni uchafu mtupu. mara yangu ya kwanza kwenda ulaya kwenye ndege nililetewa chakula na mzungu mwanaume, nimekula nilivyofika huko nilikokuwa naenda nikaambiwa majority ya wale flight attendants wanaume ni mapunga,nilitamani nitapike chakula lakini ikashindikana.
 
chapwa24

JF-Expert Member
Apr 10, 2019
1,851
2,000
Huyo Myahudi mweusi ana mahaba yaliyopitiliza na taifa teule bila kujua miji Kama Tel Aviv ni mbingu ya machoko wengi hawana information kabisa ila Mimi binafsi nimewahi yapokea hayo majamaa Kwa wingi Kwenye hotel Moja pale Unguja Kwa kweli inasikitisha Sana Yaani nilikua Sina namna kwa sababu ilikua job tu ila ndio hivyo mangapulila!
kwahiyo ulipoyapokea na wewe si yalikuchokonoa mzee au:
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,331
2,000
Huyo Myahudi mweusi ana mahaba yaliyopitiliza na taifa teule bila kujua miji Kama Tel Aviv ni mbingu ya machoko wengi hawana information kabisa ila Mimi binafsi nimewahi yapokea hayo majamaa Kwa wingi Kwenye hotel Moja pale Unguja Kwa kweli inasikitisha Sana Yaani nilikua Sina namna kwa sababu ilikua job tu ila ndio hivyo mangapulila!
Ninawashangaa watu wanaoshadadia kuwa sehemu fulani imejaa watu wa aina hiyo tu....

IMHO Maisha ya Jerusalem ,Ashdod ,Jaffa ,Ashkelon ni tofauti sana na Tel Aviv....Tel ndio jiji kubwa lenye bandari kubwa....limejengeka kibiashara mno....matajiri wayahudi wa Ashkenazi waliotoka Ulaya ndio walioujenga kwa "standards za ulaya" tofauti na "ancient holy city of Jerusalem....

So Tel Aviv is full of night life ,exquisite restaurants and all those stuff....

YetzerHatov Barukh Atah Adonai🙏
 
Jumbe Brown

JF-Expert Member
Jun 23, 2020
10,331
2,000
ulaya yote imejaa watu wasio na marinda, majority ya wanawake hawana marinda, wanaume mashoga pia ni wengi. discuss hapa africa ukiondoa south africa, ....ila kwa ulaya nakubaliana na wewe ni uchafu mtupu. mara yangu ya kwanza kwenda ulaya kwenye ndege nililetewa chakula na mzungu mwanaume, nimekula nilivyofika huko nilikokuwa naenda nikaambiwa majority ya wale flight attendants wanaume ni mapunga,nilitamani nitapike chakula lakini ikashindikana.
Sawa....ila si wote mkuu wangu....

Sema dunia ya kiliberali inazidi kupigia chapuo tabia hizo....

Mathalani hao RAINBOW COALITIONS na LGBTQ+ 🤣🤣
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
14,385
2,000
Kama Zanzibar ni Tel Aviv ijayo ni jambo jema, huko sio kuharibika bali ni maendeleo.

Umelalama uzi mzima ila hujaonyesha tatizo lolote la hao vijana wa Zanzibar.
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
 
Percy

JF-Expert Member
Jul 21, 2014
6,395
2,000
Tafsida ikizidi sana kwenye uandishi ladha inapotea. Nenda straight mkuu wazenji wana shida gani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom