Zanzibar vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana

Mention hizo tabia chafu
Madawa?
Ushoga umalaya au kitu gani kimek
IMG-20211122-WA0011.jpg
 
Ni wengi sana hao mkuu, vijana wengi hasa wa kike huzamia Zanzibar kwa lengo la kutafuta kazi kwenye mahoteli, ukihadithiwa story mitaani unawezaona ni rahisi kutisua, ila sio hivo kabisa, mana wanaotafuta hizo kazi ni wengi kuliko hata uwezo wa hizo hoteli zenyewe, Kila mwaka kuna wabara wengi sana wanaoelekea zanzibar kwenda kujaribu bahati zao, Kuna wakenya, wataliano na wazungu wengine, mbali na wenyeji wa zanzibar. kwahiyo sio rahisi kabisa kutisua.

Sasa wengi wakishafika kule straggle zikishakua nyingi huishia kwenye ukahaba tu wakaamua kuishi kwa misingi hiyo.
Ok, angalau wewe umeeleza vizuri, sasa ndio napata picha kamili.
 
Ni ujinga kukaa na kuwazia kuwa huyu anafilwa au hafilwi..ni mawazo ya kijinga sana haya...
Yaani jitu zima linatembea barabarani kutazama mbele yake na kuanza kudhania huyu bila shaka ji shoga!! Ili iweje
Nina wasiwasi na Wewe itabidi ukaguliwe huko Nyuma km kupo sawasawa, maana sio kwa povu hilo.
 
hata enzi za kina petro walisema kama wewe siku za mwisho, sasa ni zaidi ya miaka elfu mbili imepita. Hiyo siku ya mwisho mtaisubiri sana.

Afu hata mambo yanayofanyika sasa ni kwamba yanajirudia tuu, mengi yalishaga tokea. Kwa mfano: Sodoma na Ghomora (mambo ya kishoga) yalishafanyikaga enzi na enzi, sasahivi yanajirudia tuu. Hakuna jipya.
Kwa hiyo wewe unaona fresh tu??
 
Znz.. ..

Ni sehemu ya utalii..wengi Tena ni wengi wanao deal na hiyo biashara ni wageni..tuwe wakweli..

Ukichunguza kwa kutulia utagundua..ule mji una haribiwa na watafutaji..kutoka sehemu tofauti mpaka nje ya Tz...wanataka vya wazungu..

Ukienda shamba zisizo na balaa la utalii ndio utaona ..wenyeji wanaishi vipi...

Ni kweli utalii umeharibu sana kwa kuleta watu mbali mbali wenye Tabia tofauti ..ndio maana ...wenyeji hawaitaki ile chama ya mboga mboga..maana ndio ime ruhusu zahma hizo.

Hata huko Pemba ..wameanza kujenga mahoteli na kukaribisha wafanya kazi na watafutaji pesa toka kwa wageni kuanza kufukuzia... ..

Wasubirie maharibiko makubwa tu!

Ila Dar..Tanga na Arusha jumlisha Dodoma

znz ipo nyuma na ndio wengi wanao vuka maji ..kwenda kudanga!
Kha!kha!,Jamani tuombe tu MUNGU anusuru kizazi hiki.
 
Kwa hiyo wewe unaona fresh tu??
hata malaria ilivoingia walisema siku za mwisho, typhod siku za mwisho ebola wakasema siku za mwisho, ukimwi siku za mwisho, covid siku za mwisho, ushoga siku za mwisho, hio mwisho kwio, mbona haijafika? mambo mengine ni kudanganyana tuu, dunia itaendelea kama kawa.
 
Zanzibar Vijana wameharibika sana miaka 10 ijayo hakutakua na vijana hapa

Wakuu nimekata maji nipo upande wa pili wa muungano katika nchi ya Zanzibar

Nikiri nina miaka 11 sijaitembelea Zanzibar

Mara ya mwisho ni mwaka 2010 ndo nilikua huku

Hii nchi vijana wameharibika sana ukiambiwa ndo ile Zanzibar ya maadili, Zanzibar kisiwa cha watu wacha mungu watu wanaoijua dini, Zanzibar iliyokua kituo cha maarifa ya kiislam, na utamaduni wa kiswahili na ustaarabu Afrika mashariki na kati leo hii panahuzunisha sana.

Hapa nazungumzia Vijana wa Unguja,Vijana wameharibika sana huku sijui ndo hawa watalii au sijui ninini kuna mambo yanafanyika Zanzibar machafu hata bara hayafanyiki

Zamani nikiri sisi wabara ndo tulikua tunaonekana tunapeleka maadili yasofaa huku kisiwani asahivi vipi tena.

Makuzi ya vijana huku sijui ndo tatizo? Kama kijana wako anakulia Zanzibar jiandae kisaikolojia tu

Kiukweli watu wameharibika humu kimaadili au vijana wanapenda mteremko au shortcut?Au vijana hawataki kufanya kazi? Au ni utandawazi...Dunia imeharibika lakini sio kwa kiwango hiki

Watalii wameharibu vijana wengi sana hapa Zanzibar yaani Zanzibar Unguja ni tel-aviv ijayo najua mshanielewa.Mliofika Zanzibar siku za karibuni ni mashahidi wa niyazungumzayo

Hizi fukwe ziangaliwe upya,,,hawa watalii waangaliwe upya sikatai watalii lakini kuna haja ya kuwa na taratibu maalum maalum maana utalii umeharibu vijana wengi sana wamekua "machachi"

Miaka 20 au 10 jiandaeni kuwa na asilimia 95 ya vijana "machachi" kama hatuwa hazitochukuliwa mapema
HuJatuelewesha ni kwa namna gani wameharibika
 
Nilitegemea kusoma, wameharibika vipi, au ni nini ambacho umekiona hakijakupendeza au kina haribu maadili ya mtanzania na ustaarabu wa kiswahili.
 
walishaharibika siku nyingi hao, kuna limoja nalihifadhi lina kiherehereee kule mbogamboga kuna siku nililiita jina lake la kazi yake aliyoianza tangu akiwa mdogo nikalimwa BAN humu, kiufupi kule hakuna watu
 
Maharibiko kwa kweli yapo kila sehemu, unapomnyooshea kidole mwenzako kuhusu kitu fulani hakikisha hicho kitu wewe au kwa upande wako hakifanyiki.
Unapoinyooshea kidole Zanzibar hakikisha yanayoendelea Zanzibar basi upande wa pili hayafanyiki au hakuna vijana wenye maharibiko kiasi hicho bila ya hivyo ni useless.
Kiujumla kwa sasa mikoa yote ya bara ndio inayoongoza kwa kuwa na machoko kuliko hata hiyo Zanzibar!
 
vijana kupenda mtelezo na ugumu wa maisha watu wanahangamia kila kona ila kuna sehemu ni midset imejengwa watu wanapashooshea vidole kwa sana
 
Back
Top Bottom