Zanzibar tushakuwa tayari kujitenga

sasa na hawa wapemba waliojazana tz bara itakuwaje watafute pasport 2 kama wadosi?

Hao ndio waliyoitawala Tanganyika, lazima udai uhuru kutoka kwao. Una nchi wewe? hebu niambie nchi yako inaitwaje, waPemba yao Zanzibar. Umelala.
 
wameitawala tanganyika kiuchumi, kisiasa au ki CCM bado zanzibar ni kisiwa kidogo sana hata muungano Ukivunjika rasmi, kuna hatari ya zanzibar kuchafuka
 
Zanzibar kabla ya Nyerere kuwa Rais, haijawahi kuwa na machafuko, na hivi hayupo, sidhani kama kutakuwa na machafuko, kwani wewe hujui kwa nini Nyerere anataka kupewa utakatifu?
 
Mkuu huoni hata aibu kutaka kupindisha historia????????????????
 
Mkuu,
Mjadala ungepata ladha kama ungeweka historia sahihi katika kuipinga hoja ya Zomba.
Tuekee hapa ili tuelimike. Hoja tuijibu kwa hoja.
 
Hili wala si tatizo; kwa vile tunaenda kuzungumzia Katiba Mpya ni vizuri Zanzibar waje na hoja ya kupiga kura ya maoni kama wanataka kubakia kwenye Muungano au watoke. Asilimia 60 ya Wazanzibari wakikubali kutoka basi tunawashika mkono wa kheri na tutawasaidia kulipa madeni yenu na kuwapiga jeki kidogo ili muanzie pazuri.

Hapo kwenye kutulipia madeni nadhani hapastahiki kabisa,kama ni wandugu tuliopendana kidhati basi nina hakika 100% ,Zanzibar itaisaidia Tanganyika ,kama tuliwahi kusaidia nchi za Ulaya kifedha basi safari hii tutasaidia ndugu zetu wa damu Tanganyikaika ,hilo halina ubishi na uhakika wa kuwafutia na kuwalipia madeni yenu upo na utatekelezwa kwa marefu na mapana ,Wazenji hatuna ngendembwe wala ngalambe.
 
Unaweza ukasaidia japo ulichonacho hakitoshi-infact, assistance rely in wils rather than ability! Nadhani rejea zaidi historia ya kwnn zenj ilikuwa ikiweza kutoa misaada kwa wakt huo
 
Duuh na wale wamasai waliojazana mahotelini zenj kama walinzi.......

Lamba,tunachosema n kwamba hao wamasai hawana economic base yyte zenj-so they will easly back home! Bt most of us islanders hv economic base in tanganyika(permanent employments,petty trade,import base trade,buildngs) Binafsi nataka tujitenge lkn ukweli n kwmba we gonna suffer mostly than tanganyika!
 
Zanzibar kabla ya Nyerere kuwa Rais, haijawahi kuwa na machafuko, na hivi hayupo, sidhani kama kutakuwa na machafuko, kwani wewe hujui kwa nini Nyerere anataka kupewa utakatifu?

Kajifunze historia ya Zanzibar kwanza ndio utajua kuwa machafuko hayakuja baada ya Muungano na wala mtu asijidanganye kuwa yataisha baada ya kutoka kwenye Muungano.
 
Haa! Zomba, hata kama upo chumbani mwenyewe lazima uone aibu. Unaijua Historia ya visiwa vya Unguja na Pemba kweli! Hata kama hujui, je hukumbuki ASP, ZPP, ZNPPP n.k. Hivi hujui Karume alipigwa risasi, Huwakumbuki akina Mohamed Abdurahman Babu, akina Kassim Hanga.
Duu! Mkuu! Rejea kitu inaitwa PAFMECA, soma akina Nkrumah na Nyerere walivyokuwa wanahaha kuwapatanisha hawa jamaa.
Hii vurugu na miafaka imeanza kuanzia zamani, na kwa taarifa tu, mwafaka wa kwanza Zanzibar ulitiwa saini 1957, haya mengine ni marudio tu.
 
Hata ile gharama ya kuhudumia wabunge toka Znz, Umeme nk itakuwa nafuu kubwa kwa Tanganyika mpya. Kila lakheri wazo hili.
Umeme si watalipia kwa dola! We waache tuu. Hata chakula toka bara kinachowalisha watalipia kwa dola hatutapokea fedha zao mbuzi.
 
Kajifunze historia ya Zanzibar kwanza ndio utajua kuwa machafuko hayakuja baada ya Muungano na wala mtu asijidanganye kuwa yataisha baada ya kutoka kwenye Muungano.

Sio mimi nikajifunze historia ya Zanzibar, wewe ukajifunze historia au hukubali kuwa Zanzibar ndio Taifa lililokuwa linatawala hii himaya yote ya pwani ya Afrika Mashariki mpaka Kongo? Au huamini kuwa machafuko Zanzibar yalianzishwa na Nyerere? Au huamini kuwa Tanganyika ndio iliomezwa na Zanzibar? Niambie ni nini katika hivyo huamini nikupe ushahidi wa kitaalam kabisa nawe utowe wako halafu tuendelee, nakuhakikishia huna.
 
Umeme si watalipia kwa dola! We waache tuu. Hata chakula toka bara kinachowalisha watalipia kwa dola hatutapokea fedha zao mbuzi.

Zanzibar ndio nchi ya kwanza katika Afrika kuwa na umeme wake. Kama ulikuwa hujui hilo, sasa unajuwa.

Zanzibar haipewi umeme bure kutoka bara. Inanunuwa kama mteja mwingine yeyote yule.

Zanzibar, kula kwake haitegemei bara kama ufikiriavyo wewe, kula ya Zanzibar na waZanzibar ni Rizki ambayo hata ufanye nini huwezi kuiziba labda ugeuke Mungu, kitu ambacho hakiwezekani.

Matatizo ya umeme Zanzibar iliisha jitatulia na mijenereta imemwagwa huko hata umeme ukatike sasa hivi, Zanzibar bwereree, au na hili ulikuwa hujui?

Tatizo ni kwako wewe, kabla ya kuja Dar kutoka kwenu ulikuwa hujawahi kuona umeme. Tanzania watumiaji umeme ni 10 kwa mia ukitowa Zanzibar, on the other side, Zanzibar watumiaji umeme ni 90 kwa mia. Sasa nani hapo ni mwanjo mwanjo wa umeme?
 
Haa! Zomba, hata kama upo chumbani mwenyewe lazima uone aibu. Unaijua Historia ya visiwa vya Unguja na Pemba kweli! Hata kama hujui, je hukumbuki ASP, ZPP, ZNPPP n.k. Hivi hujui Karume alipigwa risasi, Huwakumbuki akina Mohamed Abdurahman Babu, akina Kassim Hanga.
Duu! Mkuu! Rejea kitu inaitwa PAFMECA, soma akina Nkrumah na Nyerere walivyokuwa wanahaha kuwapatanisha hawa jamaa.
Hii vurugu na miafaka imeanza kuanzia zamani, na kwa taarifa tu, mwafaka wa kwanza Zanzibar ulitiwa saini 1957, haya mengine ni marudio tu.

Machafuko zanzibar yalianza wakti wa Nyerere, rejea data zako. 1957 kama kulikuwa namuafaka kulikuwa hakuna machafuko. Karume kapigwa risasi wakati wa Nyerere, au ulikuwa hujuwi hilo? Hao uliowatja wote ilikuwa ni wakati wa Nyerere na si kabla.
 
Hii mada inawezakua imeletwa hapa na watu wachache lakini hawa ndugu zetu wa zbar tusiwalazimishe kujitenga...tuwaache wenyewe waamue kama kweli wanataka hivyo basi si bara tuwe kimya ili dhambi ya ubaguzi iwaangukie wao kama vile nyerere alivyokwisha kulaani.
Ni kweli kabisa raia wa zbar hawana chochote wanachoweza kusema wanatusaidia bara....maana wao ndo wapo wengi bara na kule kwao mishahara ni midogo sana kulingana na uchumi wao....mi ofcn kwangu ninao watano na ukisikiliza story zao utawaonea huruma.
ILA TUSIWATENGE NDUGU ZETU TUWAACHE WENYEWE WAAMUE.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom