Zanzibar tushakuwa tayari kujitenga | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Zanzibar tushakuwa tayari kujitenga

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mwiba, Jan 11, 2011.

 1. Mwiba

  Mwiba JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 23, 2007
  Messages: 7,606
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  [​IMG] Takribani maoni ya Wazanzibari walio wengi mtandaoni na hapa nyumbani basi huhubiri Zanzibar kujitoa ndani ya Muungano.Suali hili kwa sasa limekuwa ndio uradi wa Wazalendo walio wengi. Kwa ufupi wanataka Zanzibar isimame kama Zanzibar na sio Sehemu au hata tuite nchi iliyo chini ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  Jan 11, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Nendeni zenu!
   
 3. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #3
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0

  اذهبي بسلام
  Go in Peace. Kama mlilazimishwa kuingia bado mna haki ya kuamua kutoka.

  Pigeni kura kama nchi ya kimaamuzi, then tambaeni
   
 4. M

  Mdondoaji JF-Expert Member

  #4
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Ndio wanaishia na tutawalilia sana tu
   
 5. Z

  ZenaTulivu Senior Member

  #5
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ondoke leo msingoje kesho wala kugeuka nyuma. Nenda mwanakwetu nenda.
   
 6. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #6
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Hili wala si tatizo; kwa vile tunaenda kuzungumzia Katiba Mpya ni vizuri Zanzibar waje na hoja ya kupiga kura ya maoni kama wanataka kubakia kwenye Muungano au watoke. Asilimia 60 ya Wazanzibari wakikubali kutoka basi tunawashika mkono wa kheri na tutawasaidia kulipa madeni yenu na kuwapiga jeki kidogo ili muanzie pazuri.
   
 7. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #7
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,261
  Trophy Points: 280


  Ndio uzuri wa kuwa na wazee humu JF, yaani umemaliza kazi na umenifilisi hoja. kwa sababu thanks unazo nyingi, mimi nakugongea ya hapahapa kavukavu THANKS
   
 8. j

  jamal_tanga Member

  #8
  Jan 11, 2011
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  zanzibari ijitenge mara ngapi toka zamani ilisha jitenga lakini umbuke kama mutachimba mafuta basi itakuwa ya mungano
   
 9. MaxShimba

  MaxShimba JF-Expert Member

  #9
  Jan 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2008
  Messages: 35,816
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Pigeni kura kama Wasudan na wekeni hoja yenu kwenye Katiba yenu mpya. Uhuru wa fikra na mwili ni jambo jema sana. Wazanzibari, mna haki ya kuwa huru.
   
 10. Nanren

  Nanren JF-Expert Member

  #10
  Jan 11, 2011
  Joined: May 11, 2009
  Messages: 1,738
  Likes Received: 184
  Trophy Points: 160
  Who cares?

  Hasta la vista!
   
 11. L

  LAT JF-Expert Member

  #11
  Jan 11, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kuvuja kwa pakacha ... nafuu ya mchukuzi..... heri na fanaka ZNZ
   
 12. Chakaza

  Chakaza JF-Expert Member

  #12
  Jan 11, 2011
  Joined: Mar 10, 2007
  Messages: 23,645
  Likes Received: 21,857
  Trophy Points: 280
  Hata ile gharama ya kuhudumia wabunge toka Znz, Umeme nk itakuwa nafuu kubwa kwa Tanganyika mpya. Kila lakheri wazo hili.
   
 13. Edward Teller

  Edward Teller JF-Expert Member

  #13
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 3,818
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  the earlier the better-mi nataka kwenye hotuba yao ya kesho waliseme hili-NITASHUKURU SANA WAKIJITOA
   
 14. Mpasuajipu

  Mpasuajipu JF-Expert Member

  #14
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 22, 2010
  Messages: 838
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Nyie Wazanzibar asili yenu wote bara sasa mnajitenga na nani? na babu zenu walioko huko bara siyo?

  Acheni mawazo finyu na wazo la kujitenga hilo msahau kabisaaaa vizazi na vizazi haitkaa kamwe itokee.:smile-big:
   
 15. Nono

  Nono JF-Expert Member

  #15
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 11, 2008
  Messages: 1,305
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  By the way, sababu za msingi zilizoasilisha muungano kama hazipo tena. Siamini kuwa mwaweza tena kutawaliwa na Sultani, hivyo tafuteni forum ya kupigia kura kuihuisha Zanzibar yenu! Mnaweza pia kupata kasi ya maendelea kama msipokuwa na ubinafsi
   
 16. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #16
  Jan 11, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Tuwalilie kwa misingi gani? Wametufanyia nini miaka yote hii mbali na malalamiko?
   
 17. Nguruvi3

  Nguruvi3 Platinum Member

  #17
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 21, 2010
  Messages: 12,220
  Likes Received: 7,340
  Trophy Points: 280
  Maswali ambayo nimekuwa nauliza na hakuna Mzanzibar aliyewahi kunijibu ni kuwa
  1. Tanganyika itapoteza nini kwa Zanzibar kujitenga?
  2. Kwanini Wazanzibar wasiondoke kwanza bara wakadai nchi yao wakiwa kwao?
  3. Wazanzibar 400,000 wanafanya nini bara Vs Wabara 1000 walioko visiwani
  4. Wazanzibar zaidi ya 50 wanafanya nini latika bunge la bara? mbona hawasusii bunge na kurudi kwenye baraza lao la uwakilishi.
  5. Kwa uchumi wa bilioni 500, wabara wanafaidika nini kutoka Zanzibar? Hii ni sawa na bajeti ya wizara ya akina mama na watoto au mapato ya soko la kariakoo.
  6. Zanzibar inachangia kiasi gani kuendesha serikali ya muungano.

  Tujadiliane kwa haya
   
 18. musmyl

  musmyl Member

  #18
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  tumechoka we na tumeshindwa twamuomba mungu atusaidie kuondokana na koloni la tanganyika
   
 19. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #19
  Jan 11, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  Si mwende tu!
   
 20. musmyl

  musmyl Member

  #20
  Jan 11, 2011
  Joined: Jun 5, 2009
  Messages: 38
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  waulize .C.C.M watakijibu
   
Loading...