mkuu...bidhaa za bakhresa zinanunuliwa sana na nani yaani...market.. na ipo wapi.?
Mkuu nenda katika record za TRA uhakikishe hilo na jiulize wewe kwa siku umenunua bidhaa ngapi za Bakhressa, Kama hujanunua maji ya kunywa umenunua mkate, kama sio mkate, ice cream, kama sio ice cream umepanga katika nyumba zake, kama sio kupanga umekula ugali wa unga wake, kama sio ugali chapati ulizokula zimetoka katika unga wake supu asubuhi, Jamaa anatisha