Zanzibar tushakuwa tayari kujitenga

Hiyo kodi wanayolipa TRA ni sehemu tu ya faida wanayoipata kwa kufanya biashara na si vinginevyo. Wanafanya biashara kwa kuwa kuna demand na population kubwa ya kununua bidhaa wanazotengeneza. Bakhresa akiondoka kesho au hata akifilisika bado uhitaji wa maji,ngano,ice cream n.k utabaki pale pale, na tena itakuwa fursa kwa wajasiliamali wengine watanganyika kuanzisha biashara hiyo kuziba pengo na kukidhi hilo hitaji na TRA itapata kodi vilevile. Kwahiyo kumbe ni hao akina Bakhresa wanufaikao zaidi na Tanganyika!!

Mnaweza kufanya walichokifanya akina Bakhressa au unaropoka tu. Nenda Tandale na Temeke kila siku zinaanzishwa bakery mpya na kufa na watanganyika mnajiuliza kwanini zinakufa. Wenzetu wapemba, wahindi wanamaadili mazuri ya pesa sie akina meku, nshomile tukipata faida tunataka matawi ya juu unakuta baada ya miaka mitatu hakuna tena biashara. Tuonyeshe kwanza tunaweza badala ya kuwa tunaropoka kufurahisha kijiwe.
 
Kabisa mzee(R.I.P) alikosea huwezi kuunganisha Madagascar na Sychelles au South Africa na Swaziland au na Lesotho au Congo na Burundi then wawe na haki sawa katika kuongoza na kuwakilisha,wangejumuishwa katika Tanganyika, ilitakiwa kuwa mkoa tu,muungano nchi zikaribiane ukubwa au population! muungano ungekuwa wa tanganyika na mfano Kenya au Uganda au Mozambique au Zambia, Zanzibar wangejumuishwa tu na kuwa mkoa

Mkuu,

katika medani za kimataifa, nchi ni nchi..ikiwa kubwa au ndogo kieneo inakuwa na hadhi yake.Kuna nchi ndogo zaidi ya Zanzibar kieneo, pitia ramani ya dunia. huku kutokuheshimu hadhi ya Zanzibar kama nchi ndio kulikotupelekea haya tunayoyaita kero za muungano. Hatukuwaheshimu Zanzibar kama m-bia wa muungano pamoja nasi . tulijifanya wajanja sasa wacha yatukute, mwishowe tusiporekebisha kasoro hii basi muungano utakuwa na mwisho m-baya.

Ni vizuri Mkapa akimaliza ya South Sudan aje aitishe kura ya maoni kuhusu muungano hapa TZ ili nasi tuamue nini tunakitaka. Tukumbuke Sudan ni nchi moja ambayo kuna uwezekano mkubwa kugawiwa kuwa nchi mbili. Tanzania ni nchi mbili kwa hiyo si ajabu kama tutarudi kuwa nchi mbili huru kama zamani na tukiona umuhimu wa kuungana tena basi tutaaungana tena. Si tunakumbuka EAC, tulikuwa nayo, tuliivunja na sasa ,tumeirudisha tena, kwa sababu heshima kwa members imerudi tena.
 
Naona wote wanaipiga chenga mada ya kuwa Zanzibar ndio imetawala na hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika.
 
"Dhambi ya Ubaguzi ni sawa na kula nyama ya mtu - huachi" - JKN. Sitashangaa kuona na Pemba ikitaka kupiga kura ya kujitoa. Panapofuka moshi...
 
Naona wote wanaipiga chenga mada ya kuwa Zanzibar ndio imetawala na hakuna kitu kinachoitwa Tanganyika.

Zomba, nimepitia Post zako nakuhakikishia kuwa hujaweza kuweka Points zenye mashiko. Nimeweka maswali katika post yangu ya kwanza hujajibu hata moja. Narejea nakukuuliza maswali yatokanayo na hoja zako.
1. Wazanzibar mnanyimwa nini ndani ya muungano? malalamiko yenu ni nini hasa.
2.Mnachangia kiasi gani katika muungano tukijua kuwa mapato na uchumi wenu ni kidogo kuliko bajeti ya wizara moja bara.
3. Kwanini wazanzibar wamejaa bara 400,000 ukilinganisha na wabara 1000 visiwani.?
4. Bara watapoteza nini ninyi mkiondoka ndani ya muungano?
5. Wazanzibar wanafanya nini katika wizara na idara za bara kama wana nchi yao?
6.Kwaninini msiondoke bara ili kwenda kudai nchi yenu mkiwa kwenu?
7. Ni document au utafiti gani na uliofanywa na nani kuthibitisha kuwa Mwalimu Nyerere alileta machafuko visiwani( HATUTAKI SIMULIZI AU HEKAYA ZA MABABU)
8. Kama Znz ilikuwa ya kwanza kupata umeme hoja hiyo inaingia vipi katika suala la muungano, na je umeme unathibitisha ubora wa nchi? mbona mamia ya Waznz bado wanajisaidia baharini na viwango vyao vya elimu ni duni?
9. Waznz wanaosomeshwa kwa kodi za wabara elimu ya juu na vyuoni wnachangia nini katika muungano.
10. Znz ilitawala eneo la A.Mashariki, je ni Wazanzibar au Waarabu? maana Znz ni zao la utumwa.
11. Kama mnajirisha mnatawala bara, sasa kelele zenu juu ya muungano ni zipi Zomba.
12. Kama mnajitawala iweje Rais wenu achaguliwe Dodoma?

Jibu Hoja na si matusi, kama hujui historia bado kuna nafasi ya kurudi shuleni Ndugu Zomba.
 
Mnaweza kufanya walichokifanya akina Bakhressa au unaropoka tu. Nenda Tandale na Temeke kila siku zinaanzishwa bakery mpya na kufa na watanganyika mnajiuliza kwanini zinakufa. Wenzetu wapemba, wahindi wanamaadili mazuri ya pesa sie akina meku, nshomile tukipata faida tunataka matawi ya juu unakuta baada ya miaka mitatu hakuna tena biashara. Tuonyeshe kwanza tunaweza badala ya kuwa tunaropoka kufurahisha kijiwe.

Hiyo mbona haikuhusu ukiwa na tumbo la kuharisha usifanye mazoezi ya kujamba dogo!
 
1. Visiwani wapo watu 1m against 43m wa Bara! Muungano ukivunjika Visiwani will be the loosers!

2. Katika hawa wati 1 million ( sawa na 25% ya wakaazi wa Dar!)... wana Makamu wa Raisi, Majaji.. Mabalozi..Mawaziri, Makatibu Wakuu..Wabunge zaidi ya 50 N.k!

3. Budget ya Zanzibar ni 500 Billions ambapo ni less than 5% ya budget ya Bara!

4. Kama sii Bara Visiwani wasingekuwa stable (Angalia Comoro, Madagaska)...nii ukweli kuwa Bara imesaidia kuleta na kulazimisha Wapemba na Waunguja washikamane.. hivyo Visiwani ni lazima kumshuru sana Mwal. Nyerere na Karume kwa hili.

5. Kazi..Waunguja wengi ni wavivu kufanya kazi.. badala yake ni walalamishi tu saa zote! Angalia hata kuku, nyanya, vitunguu hutoka bara! Utakuta mtu anauza nazi 5 barazani..ndo occupation yake! Kazi nyingi ngumu za ujenzi wa mahoteni utakuta zinafanywa na wasukuma, wachaga..Wazanzibari ni wavivu hawazipendi kazi hizi! wao wanapenda kazi kutawala... wamtawale nani?? Maendeleo ni Kazi!

6. Ni bora kuwe na Katiba mpya na kura ya maoni ..ili wawe huru zaidi na nchi yao! Maana malalamiko haya kila siku yamezidi!
 
Bahamas ina watu laki tatu ,hatujasikia kusambaratika na haina kitu isipokuwa wanategemea utalii ,Iweje Zanzibar yatokee yale mnayoyawaza ya akina Nyerere ,wakati ndio kwanza hata petrol haijaanza kusimbuliwa. Zanzibar will prevail na na nyie machogo tutawagaia petrol dollar
 
My Ndugu, Are you sure of what you're writing? If Bahaama is prevailing, then tell us what's happening in Haiti! Are Fiji and Tonga better than Zanzibar ! The size of the country is not an absolute factor for Prosperity.
Secondly, Nigeria is a member of OPEC, currently She is the Chair for the Organization. The country is still in third world category, with abject poverty perhaps worst than Tanzania. Ask youself how Petro Dollar is helping a Niger Delta resident the least to say.
By the way Mwiba, did you answer my questions! Post number 146 above.
 
Jambo la kwanza ambalo Zanzibar linalihitajia ni kuisaidia Tanganyika IZALIWE tena Kikatiba na kila mtu, Zanzibar na Tanganyika awe na Chake au Vyake kama walivyo wengi duniani. Oh! Wapenzi au wagonjwa wa mrengo wa aina moja wa Pan-Africanism ndio watakaokuwa kwa kwanza kuruka na kujirusha. ”Si itakuwa mmeuvunja Muungano na Umoja wa Kiafrika – Pan-Africanism?” Kwani Pan-Africanism haiwezi ikafikiriwa kuwa na mfumo wa kama European Union (EU) au Gulf Cooperation Council (GCC)?

Hapana shaka yoyote wenye ati ati na wito huu wana uhalali wa kujadili chochote kile kwa uwazi kabisa na hakuna ambaye ana uwezo wa kumzuia mwenzake asiuseme ukweli au asiipiganie haki ya nchi ya Zanzibar au Tanganyika. Almuradi wasiutumie uhuru wao kusambaza fikra potofu yenye kuinyima Zanzibar nafasi ya kihistoria ya kuutambua na kuurejesha Utaifa wake na wa Tanganyika.
 
Mwiba, Just something to help you as a member. By the way Senior expert status does not mimic your intellectual, however MoD reserves the right for the same.
Please answer the following questions first.
1. Tanganyika inafaidka na nini ndani ya muungano, kwamba Znz ikijitoa Tanganyika ita lose!
2. Znz Inchangia kiasi gani ku-run muungano
3. Wale wabunge 60 wa Znz pale Dodoma wanalipwa na nani
4. Wznz 400, 000 wanafanya nini bara
5. Bajeti ya Sh Biliion 500 ya Znz na ile ya Billion 500 toka soko la kariakoo zinatofautina nini.
6. Kwanini WZNZ wanakataa kurudi kwao, ili wadai nchi yao wakiwa kwao, wamejazana bara
7. Kwa bajeti ya Billion 500 Znz VS Kariakoo Market, kwanini meneja wa soko la kariakoo asipewe ulinzi wa polisi na ving'ora akienda
kazini Kariakoo

Lete hoja nikiamini wewe ni mmoja wa Wznz walioelimika sana.
 
Wacha walete choko2 halafu ziwabackfire,hawa waznz zaidi ya laki 4 waliopo bara tuone kama watabaki,maana ndo tutakaoanza nao
 
Mwiba, Just something to help you as a member. By the way Senior expert ststus does not mimic your intellectual, however MoD reserves the right for the same.
Please answer the following questions first.
1. Tanganyika inafaidka na nini ndani ya muungano, kwamba Znz ikijitoa Tanganyika ita lose!
2. Znz Inchangia kiasi gani ku-run muungano
3. Wale wabunge 60 wa Znz pale Dodoma wanalipwa na nani
4. Wznz 400, 000 wanafanya nini bara
5. Bajeti ya Sh Biliion 500 ya Znz na ile ya Billion 500 toka soko la kariakoo zinatofautina nini.
6. Kwanini WZNZ wanakataa kurudi kwao, ili wadai nchi yao wakiwa kwao, wamejazana bara
7. Kwa bajeti ya Billion 500 Znz VS Kariakoo Market, kwanini meneja wa soko la kariakoo asipewe ulinzi wa polisi na ving'ora akienda
kazini Kariakoo

Lete hoja nikiamini wewe ni mmoja wa Wznz walioelimika sana.

Tanganyika? Kwani bado kuna nchi inaitwa Tanganyika?

Kama ipo, Rais wake nani?

Bendera yake ipi?

Serikali yake iko wapi?

Cha msingi ni kudai Uhuru tu kutoka Zanzibar.
 
Mwiba, Just something to help you as a member. By the way Senior expert ststus does not mimic your intellectual, however MoD reserves the right for the same.
Please answer the following questions first.
1. Tanganyika inafaidka na nini ndani ya muungano, kwamba Znz ikijitoa Tanganyika ita lose!
2. Znz Inchangia kiasi gani ku-run muungano
3. Wale wabunge 60 wa Znz pale Dodoma wanalipwa na nani
4. Wznz 400, 000 wanafanya nini bara
5. Bajeti ya Sh Biliion 500 ya Znz na ile ya Billion 500 toka soko la kariakoo zinatofautina nini.
6. Kwanini WZNZ wanakataa kurudi kwao, ili wadai nchi yao wakiwa kwao, wamejazana bara
7. Kwa bajeti ya Billion 500 Znz VS Kariakoo Market, kwanini meneja wa soko la kariakoo asipewe ulinzi wa polisi na ving'ora akienda
kazini Kariakoo

Lete hoja nikiamini wewe ni mmoja wa Wznz walioelimika sana.

Mimi ni miongoni mwa watanzania wasio ona umuhimu wa muungano wa
Tanganyika na zanzibar
 
tanganyika? Kwani bado kuna mchi inaitwa tanganyika?

Kama ipo, rais wake nani?

Bendera yake ipi?

Serikali yake iko wapi?

cha msingi ni kudai uhuru tu kutoka zanzibar.

toka umezaliwa hii mdo point ya kwanza kuongea, kwakweli tanganyika inataka uhuru toka zanzibar.
 
[/b][/color] toka umezaliwa hii mdo point ya kwanza kuongea, kwakweli tanganyika inataka uhuru toka zanzibar.

Mbona hii nimeshaizungumza sana hapa JF search post zangu utakuta mengi tu.
 
Mwiba, Just something to help you as a member. By the way Senior expert ststus does not mimic your intellectual, however MoD reserves the right for the same.
Please answer the following questions first.
1. Tanganyika inafaidka na nini ndani ya muungano, kwamba Znz ikijitoa Tanganyika ita lose!
2. Znz Inchangia kiasi gani ku-run muungano
3. Wale wabunge 60 wa Znz pale Dodoma wanalipwa na nani
4. Wznz 400, 000 wanafanya nini bara
5. Bajeti ya Sh Biliion 500 ya Znz na ile ya Billion 500 toka soko la kariakoo zinatofautina nini.
6. Kwanini WZNZ wanakataa kurudi kwao, ili wadai nchi yao wakiwa kwao, wamejazana bara
7. Kwa bajeti ya Billion 500 Znz VS Kariakoo Market, kwanini meneja wa soko la kariakoo asipewe ulinzi wa polisi na ving'ora akienda
kazini Kariakoo

Lete hoja nikiamini wewe ni mmoja wa Wznz walioelimika sana.
Naamini kabisa wewe ndio unahitaji kusaidiwa maana hicho unachokizungumza hakipo ,ndio kinachotafutwa kirudishwe ,ukisikia vichwa mchunga ndio kama hivyo.
Embu nguruvi3 nipe tofauti ya Tanzania Tanganyika na Zanzibar ,kwa muda huu tuliona karne 21 kuelekea 22 ,naamini hujui unaishi Nchi gani au ni mzaliwa kutoka nchi gani.
 
Tofauti nitakupa, lakini ili twende sambamba Jibu maswali namba 1-7. Mimi nitakujibu tu hakuna wasi wasi, lakini tufuate utaratibu wa swali na jibu. Kama huna majibu basi niambie ili mimi nijibu swali lako.
Kumbuka jibu la swali si swali kama unavyotaka kuamini. Maswali yangu jayo hayajawahi kujibiwa na Mzanzibar yoyote hapa JF, Zanznet, Ungijanet n.k. Kwa vile umeonekana kuwa ni mmoja wa WZnz walioelemika kwa kuandika ndiio maana tunataka ujibu maswali. Hapa ni JF Watu wanataka data na facts, hapa si maskani ya fitna, umbea au ubabaishaji. Zomba Jibu hoja acha tararira. Namba 1-7.
 
Mwiba,

Unajua kama umesoma historia ya Afrika hata kitabu kimoja wakati mzungu anakuja kutaka kujua whats inside Africa. Alikuta mambo ya ajabu sana moja wapo ni kwamba utumwa ulikuwa bado unaendelea ndani ya afrika despite ya kwamba wao walishauzuwia kwa kuwa ulikuwa auna faida tena.

Walijaribu sana kupambana na slave traders na walipo washinda wale watumwa wakifunguliwa wote wanarudi tena kwa slave master wao wenyewe bila ya kutafutwa. Hili liliwanya wazungu wamuone mwafrika kwa mara ya kwanza ya kuwa ni very dependent individuals hataki kabisa kuumizwa kichwa. Matokeo yake ikawa wakikutana na watumwa wapya wapo njiani wanapelekwa wanapopelekwa ikawa wana wa ignore kwa sababu wanajua what will happen hata wakiingilia.

Baada ya hapo ndipo mzungu ndipo alipo pata akili ya kusema bora tuchukue sisi na tuliendeleze bara la afrika kwa maslahi yao lakini the initial plan was to discover afrika inside out na kufanya biashara na waafrika.

Nakufananisha wewe na mtumwa wa zama hizo kwa fikra zako, muungano auko perfect lakini badala ya kutoa sababu za msingi wewe ni pumba tupu zikiongozwa na sababu za udini kutaka muungano ufe. Sasa kwa nini usipande ndege wewe na wenzako wote msiopenda uhuru mkamuombe huyo sultan wa Oman aje tena hawapandishe minazi hawatungue kwa starehe yake akiona mnavyo anguka.

Trust me not much as changed since then serikali za afrika bado zina rely heavily na misaada ya wakoloni, kuibiana wenyewe kwa wenyewe na mara nyingi anaefaidika juu zaidi ni mtu asie na asili ya uafrika. They know us and not much as changed wewe na wenzako wote mnaochangia udini humu ndani ni aibu na chanzo cha matatizo ya afrika.

Kwanza hata historia yako utaki kuijua umetokea wapi umekazana tu kutaka kurudi utumwani kwa misingi ya dini au huku bara viongozi wetu wamen'gan'gana kutumiwa (kushikwa kwa akili ya utumwa) na ku rely on donors help. Ni aibu na tusipo jirekebisha tutaendelea kuwa watumwa na kutumiwa kwa muda mrefu, mwisho wa siku mipaka imeshachorwa watu tujifunze tu kuishi na makundi tuliyokuwa nayo, it makes me wonder at times why a reputable site like this one tolerate such view points.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom