Scotland,Northern Ireland,England and Wales all of these are nations with their own rules but united together to bring up a one strong nation called United kingdom.And the strongest arm overtaking all is England.
Na hilo je unalizungumziaje???
Na hapa kinachoitwa muungano ni nini???
Tanganyika inajulikana km Tanzania bara.
Ukisikia Tanzania bara basi ujue Tanganyika tayari hyo.
Kila muungano wa mataifa una policies zake unaozitengeneza kuhusiana na hiyo Union.
Tanzania ni JMT maana yake nini?Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
Ole Sendeka alihudhuria kuwakilisha nchi gani?Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Tunamtegemea na tunamhisi yeye kama miongoni mwa great thinkers wa humu, ila naona wakati mwengine Pascal Mayalla anapenda kuleta ushabiki mbuzi kwenye mambo sensitivePascal tunakutegemea humus ndani kama Mogadishu nguli lkn huitendei haki taaluma yako hivyo wataka kusema hiyo unayoiita ihsani tulofanyiwa na Baba wa taifa gharama yake ni nyinyi kuvichukua hivi Visiwa viwe mali yenu eti tuu mlisaidi kutuliza hali visiwani kwa tafsir hiyo ichukueni South Africa na Mozambique coz mlisaidia nakule pia
Binafsi huwa najitambulisha natokea ZanzibarWaziri mkuu wa JMT lakini hajawahi kwenda Zanzibar kwenye ziara ya kikazi, tuna Rais wa JMT lakini hajaenda kukagua wala kuzindua mradi wowote Zanzibar kama Rais wa nchi zote mbili Zanzibar na Tanganyika.
Swali la msingi:- Je watoto huko Zanzibar wanafundishwa kua Rais Magufuli ni nani kwao? na anakuja huko kwao Zanzibar kama anavyoenda mikoa mingine?
Je watu wanaotoka Zanzibar kwenda nje ya nchi wanajitambulisha kua wanatoka nchi gani? Na wanaotoka Tanganyika wanajitambulisha kua wanatoka nchi gani?.
Kuna case moja nilikua Uchina na rafiki yangu mmoja kutoka Pemba. Yeye akiwa anajitambulisha kua anatokea nchi ya Zanzibar na Mimi natokea Tanzania wakati huohuo wenyeji wetu wanajua tunatoka nchi moja.
Kabudi anafahamika aliingia kufanya nini , huyu Shein yeye kaenda kufanyaje ?Yeye ni mwenyekiti wa baraza la mapinduzi zanzibar na ni Rais wa zanzibar ambayo ni part ya jamhuri ya muungano wa Tanzania
Rais wa Tanzania bara ni nani na wimbo wa Taifa lake ni upi , je bendera yake ni ipi ?
aliteuliwa lini na aliapishwa lini ?Dr. Shein aliteuliwa Waziri wa JMT na rais Magufuli na aliapishwa Ikulu jijini Dar es Salaam.
P
Refer to United Kingdom.Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ina Rais, Tanzania ina Rais, wakiwa pamoja tuta Ma Rais wawili? Au Cheo cha mmoja kinakuwa Kipi?
Nafikiri Swali lake linamsingi na Lijibiwe bila kasfa
Bro swali lako haliingii akilini.JPM anawakilisha Serikali ya Zanzibar? Anacheo gani huko?
Bro rejea upya post yanguUnamaanisha Tanganyika ndio ina Strongest Army katika Tanzania?
Yeye ni moja kat ya viongoz wakuu wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania.Hapa Anauliza nafasi ya Kiuongozi Tanzania
HABARIaliteuliwa lini na aliapishwa lini ?
kwa maelezo uliyoyatoa. Rais wa Tanganyika au Tanzania bara ni nani ?Muungano wetu ni unique, nje ya muungano kimataifa, Tanzania ni nchi moja ya JMT na muungano wetu ni union yenye nchi moja tuu ya JMT, yenye rais mmoja na serikali moja ya JMT. Hivyo kimataifa Rais wa JMT, Makamo na Waziri Mkuu ndio viongozi wakuu wa JMT. Hivyo Makamo ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar.
Ndani ya muungano, muungano wetu ni federation wenye nchi mbili, serikali mbili na marais wawili, kwa upande wa Zanzibar rais wa Zanzibar ndiye Mkuu kuliko hata rais wa JMT.
P
kwa mantiki hiyo unamaanisha JPM ni rais wa Tz bara kitu. Anyway naendelea kujifunza kwamba hata wenye upungufu wa busara nao huwa wanazeeka.Yes nje ya muungano, ndani ya muungano rais wa Zanzibar ni sawa na Rais wa JMT, akiwa bara JPM bosi, akiwa Zanzibar yeye ndie top.
P
Ni kama Waziri
About 8 years ago....
Hili hata Nguli wa sheria watakubaliana nami kuwa halipo sawa.... Yeye anaingia kwenye baraza kwa nafasi yake kwa mujibu wa ibara ya 54(1) huo uwaziri anaopewa unamaana gani? Kuapishwa si shida ila shida Ni huo uwaziri.....HABARI
DR.SHEIN AAPISHWA RASMI KUWA MJUMBE WA BARAZA LA MAWAZIRI BARA
02/05/2016
Jumatatu, Mei 2, 2016
JAJI MKUU wa Tanganyika,ambae alikuwa mgombea urais wa chama chake cha CCM Mohamed Chande amemuapisha Rais wa Zanzibar, Dk Ali Mohamed Sheni kuwa ni mjumbe wa Baraza la Mawaziri la nchi hiyo, leo katika Ikulu ya Chamwino, Dodoma.
Viongozi kadhaa wa Tanganyika, walishuhudia tukio hilo, akiwamo Rais wa nchi hiyo, Dk John Magufuli, Makamu wa Rais, Samia Suluhu, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi.
Aidha, Rais Magufuli, baadaye mchana aliongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri akiwamo Dk Shein, kama WAZIRI asiyekuwa na Wizara Maalumu, kikao hicho kilifanyika katika ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Rais TAMISEMI, mjini Dodoma.
Dr. Shein anakuwa na heshima ile ile ya Nape Nnauye ila yake ni ya chini kidogo kwa kuwa yeye ni mjumbe tu na pia hana wizara l
Kwa hiyo ndugu paskali njaa, unamaanisha kuwa kama maalim Seif wa ACT akikamata dola atakuwa anaingia kwenye vikao vya BM, hahahaaa. Nadhan huu n ukakasi na n vgumu vyama viwil tofauti kutawala. Kwa style hii n lazima chama kinachoongoza bars kiongoze na visiwani. Hizi ndio hasa Keri za muungano.Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
P.
- Rais wa JMT
- Makamo wa Rais
- Waziri Mkuu
- Rais wa Zanzibar
- Makamo wa Zanzibar
Kiukweli elimu ya uraia inahitajika sana. Kumbe watu hamjui kuwa rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum na alifanikiwa na JPM. Nchi yetu Ina viongozi wakuu 5 wa kisiasa wanaotembea na msafara wa vingora.
P.
- Rais wa JMT
- Makamo wa Rais
- Waziri Mkuu
- Rais wa Zanzibar
- Makamo wa Zanzibar