Kwamba yeye Ni waziri
Kwamba yeye Ni waziri
Aisee tuna safari ndefu. Siamini kama (IQ yako ni ndogo kiasi hicho? Wale wageni wote waliohudhuria ni marais wa nchi gani?Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
yeye ni nani kwenye serikali ya Tanzania ?
Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Rais kivuliyeye ni nani kwenye serikali ya Tanzania ?
Kwani wengine hapo juu hawajajibu au?
ukijibiwa hii unitag.ana cheo gani kwenye serikali ya Muungano ?
Tanzania ni JMT ya TZ Bara na TZ Visiwani, Rais wa Zanzibar ni mmoja wa viongozi 5 wakuu wa JMT wakiongozwa na President, VP, PM, Rais wa Zanzibar na Waziri Kiongozi kwa mujibu wa katiba ya JMT, au Makamo wa I na II kwa mujibu wa katiba ya Zanzibar ambapo rais wa Zanzibar ni mjumbe wa cabinet ya JMT kama Waziri asiye na Wizara maalum. Hivyo amehudhuria kama kiongozi wa kitaifa.
P
CCM unaitaja ili iweje haswa.. kama unashida nao nenda Lumumba ukawasalimu. Inaonyesha una mawazuuuuu na hicho chama chao.. na bado utaendelea kuisoma namba maana Mwenyekiti wao ni bonge la Jembe..
Tena inakuwaje Mwenyekiti wenu hamumupambi bali muko bizi na Jembe kila wakati na Chama chake?
Kwan ni nan rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ???
Hivi Tanzania inaweza kuwepo pasi na Zanzibar ???
Sijui dada sijui kaka vp Mbona unauliza maswali ambayo hayaingiii kichwan???
Yeye ni rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ambayo inaunda pia serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Na SADC summit ilikua ikihusiana na Tanzania as the host of the summit sio Tanganyika.
Na ingetokea km ndio waje wawakilishi wa muungano km ilivyo kwa watabe Nyerere na Karume basi wawakilishi contemporary wa pioneers wangetoka Magufuli na Shein.
Au ww mzanzibar unaongea kwa hisia???!!!!
SAMAHANI ILA HILI NI SWALI LA KITOTO,SAMAHANI KWA HII KAULI.
Tanganyika ni member ?
Asa atakuaje mwanachama wa CAF ilhali Tanzania yawakilisha serikali zote????
Nikuulize na ww,kwan Zanzibar kama Zanzibar ipo ktk wanachama wa UN???
t zanzibar sio nchi ni kimkoa tu chenye mamlaka fulani fulani kama lilivyokuwa jimbo la Kashmir kule India.Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Nafikiri swali ungeuliza ni kama ana kura ya maamuzi ndani ya mkutano wa wakuu wa nchi SADC!!!Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
Tanzania....mbona umejitoa ufahamu?
Mkuu Paskali,Mkuu Dega, muwe angalau na shukrani japo kidogo kwa sababu ni muungano ndio umewafanya baadhi yenu mpo hadi leo, ingekuwa sio muungano kuna watu fulani , baada ya yale Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar, wangekuwa wiped kwenye uso wa dunia, the wiper alikuwa ana wipe tuu, lakini ni kupitia Muungano huu adhimu Nyerere akazuia watu fulani wasiwe wiped.
Shukuru kwa hilo.
P
Alikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
Scotland,Northern Ireland,England and Wales all of these are nations with their own rules but united together to bring up a one strong nation called United kingdom.And the strongest arm overtaking all is England.
Na hilo je unalizungumziaje???
Na hapa kinachoitwa muungano ni nini???
Tanganyika inajulikana km Tanzania bara.
Ukisikia Tanzania bara basi ujue Tanganyika tayari hyo.
Kila muungano wa mataifa una policies zake unaozitengeneza kuhusiana na hiyo Union.