The Khoisan
Platinum Member
- Jun 5, 2007
- 18,258
- 17,454
Swali lako lingekuwa la msingi kama Sheni angekuwa kwenye picha ya pamoja ya viongozi wa SADC.... Kama kuwepo tu hata akina Warioba walikuwepo
Sawa kabisa. Kwa pale Urais upo mfukoniKwa hiyo pale mkutanoni ana hadhi sawa na Kigwangala sio. Duh urais kauweka mfukoni nadhani ataurejelea akirudi visiwani
Kusema ukweli hawa mabwana tumeshawazulumu (Zanzibar) Kwa hiyo kila sehemu tunayojiunga na wao wanatufuata.
Huu ni ukweli mchungu sana.
Hili hata Nguli wa sheria watakubaliana nami kuwa halipo sawa.... Yeye anaingia kwenye baraza kwa nafasi yake kwa mujibu wa ibara ya 54(1) huo uwaziri anaopewa unamaana gani? Kuapishwa si shida ila shida Ni huo uwaziri.....
Ni Kama AG angeapa pale mjengoni kuwa mbunge asiye na Jimbo maalumu
Sasa mbona wanabendera yao na nyimbo yao ya Taifa lisilojulikanaHawawezi kwa kuwa wao si dola!! Katika mikataba ya kimataifa sovereign state ndio inaingia mikataba na si sehemu ya nchi ama mkoa kama ilivyo Zanzibar. Duniani hakuna nchi inaitwa Zanzibar
Alikuwa meza kuu? Mbona Kassim Majaliwa kahudhuria alikuwa anawakilisha nchi gani? Lukuvi naye vipi? Shein kahudhuria kama Waziri tu wa JMT
hizi ndio kero za muungano , kama zanzibar iliungana na Tanganyika na bado ipo je Tanganyika iko wapi ? au Tanzania ndio Tanganyika , kwanini ? ndio maana wazanzibar wanataka kero zitatuliwe , kumbuka wanasema Zanzibar ni Nchi , ina bendera na wimbo wake wa Taifa , sasa kinachoitwa muungano ni nini ?
Hata RC Makonda angeingia nisingeshamgaa.Hivi Shen kahudhuria mkutano anawakilisha nchi gani?
Uzi tayari
HAYA MAJITU YA LUMUMBA HAYAFAHAMU LOLOTE, YAPO KUPIGA MAKOFI! jibu lilitolewa na mahakama ya rufaa katika kesi hii!yeye ni nani kwenye serikali ya Tanzania ?
Mkuu wa mkoa wazir ana mamlaka makubwa sanaNi kama Waziri
Hawawezi kwa kuwa wao si dola!! Katika mikataba ya kimataifa sovereign state ndio inaingia mikataba na si sehemu ya nchi ama mkoa kama ilivyo Zanzibar. Duniani hakuna nchi inaitwa Zanzibar
Zanzibar Sio nchi ni kama mkoa mmoja wapo wa Tanzania. Bajeti ya Zanzibar ni bajeti ya wilaya moja ya Tanzania. Ile ni kama mkoa. Yeye mheshimiwa shein kiutaratibu anatakiwa kuhudhuria kwenye Baraza la mawaziri wa Tanzania. Shein anafahamika Zanzibar tuu. Umoja wa mataifa haumtambuiMsilete kujuana kwenye mali za watu , Sadc si mali ya ccm , ni mali ya nchi wanachama tu , Zanzibar haimo , hizi ndio kero za Muungano , ni kama vile mlivyoihujumu Zanzibar kule CAF
Hawawezi kwa kuwa wao si dola!! Katika mikataba ya kimataifa sovereign state ndio inaingia mikataba na si sehemu ya nchi ama mkoa kama ilivyo Zanzibar. Duniani hakuna nchi inaitwa Zanzibar
yeye ni nani kwenye serikali ya Tanzania ?
Zanzibar Sio nchi ni kama mkoa mmoja wapo wa Tanzania. Bajeti ya Zanzibar ni bajeti ya wilaya moja ya Tanzania. Ile ni kama mkoa. Yeye mheshimiwa shein kiutaratibu anatakiwa kuhudhuria kwenye Baraza la mawaziri wa Tanzania. Shein anafahamika Zanzibar tuu. Umoja wa mataifa haumtambui
Sheikh vipi tena? Umefika kwenye kuinamishwa na kuvuliwa pichu?Wallah huo ni ujinga uliopevuka. sasa nashangaa sijui kwa nini tunabaki ktk muungano? Leo kwa mfano CCM znz ikishindwa znz basi hakutakuwa na muungano. hatuutaki hata kuusikia. Yaani znz huina mamlaka hata ya kulala na mkeo mpak uombe ruhusu kwa mkoloni tanganyika . Hasara iliyoje? Hata kukohoa huwezi mpka uombe ruhusu kwa Mipango waziri wa fedha wa tanganyika naye anaweka ngumu kwa lenye maslahi na znz. Lanatullah. natamani yangetokea mataifa yakatubeba ktk kutetea haki ya yetu ya kujitawala ningeshukuru sana kama ilivyobebwa iliyokuwa East Timor ( iliyokouwa part of Indonesia), South Sudan, Eritrea iliyokuwa part of Ethiopia. Lkn kwa bahati mbaya tuna vibaraka wa wakoloni ( CCM zanzibar ) hakuna chochote kitakachokuwa. Lilibaki ni kuinamishwa tu na kuvuliwa chupi.